Ripoti ya CAG 2021-2022: TRC ilimkataa mzabuni wa Tsh bilion 616.4 na kumpa mzabuni wa tsh trilion 1.119 bila sababu za msingi

Alisema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake , na yeye asituchanganye bhana
 
Hata ya Sasa Haina hicho kipengele shida ni kwamba utekelezaji wa Katiba hasa kuchukua maamuzi inategemea utashi wa Rais
Maamuzi yanakuwa mazito sababu uliyempa madaraka ni mpwa wako, mtoto wa jamaa yako. Shemeji yako!

Ila kama ni nobodys child kafanya blunder kumfyeka ni chap chap tu.
 
Mzabuni wa billions hakuwa na vifaa vya kisasa, ndio maana tukampa mzabuni wa trion., ha ha haaa ukipata nafasi we piga tu hata kama hutazikwa nazo, wanaobaki ndio watakaoendelea kulamba asali.
 
Maamuzi yanakuwa mazito sababu uliyempa madaraka ni mpwa wako, mtoto wa jamaa yako. Shemeji yako!

Ila kama ni nobodys child kafanya blunder kumfyeka ni chap chap tu.
Kwa taarifa Yako ndio Tanzania ilivyo kuanzia kwenye siasa Hadi kwenye vitengo nyeti vya serikali..

Hii tabia ni ya kipuuzi sana,Ili hatua zichukukiwe lazima watu wakiamshe huko kitaa
 
Kwa taarifa Yako ndio Tanzania ilivyo kuanzia kwenye siasa Hadi kwenye vitengo nyeti vya serikali..

Hii tabia ni ya kipuuzi sana,Ili hatua zichukukiwe lazima watu wakiamshe huko kitaa
Kuna haja ya kuungana na wafaransa
 
Aisee kuna watu hawana hata aibu,yaani wanakwapua hela ndefu kiasi hicho?
Ujue Kwa nini inafanyika hivyo,huyo mwenye bei kubwa Huwa anatoa mlungula mrefu Kwa Timu ya wafanya zabuni kuanzia client Kwa CEO,PMU na evaluators..

Hii sio Mpya Serikalini wanafanya sana ila Hawa wamezidi upumbavu Wenzao Huwa wanahakikisha yule contractor wanaemtaka anakuwa lowest bidder..

Kuna taasisi Fulani iliwahi fanya haya ya kumchukua mkandarasi wa bei kubwa visingizio Huwa ni kwamba wanasema wa bei ndogo eti hana uwezo.
 
Mchemba, Mbarawa, yule aliyepelekwa kuwa gavana wa BOT na kadogosi awakwepi
 
Mzabuni wa billions hakuwa na vifaa vya kisasa, ndio maana tukampa mzabuni wa trion., ha ha haaa ukipata nafasi we piga tu hata kama hutazikwa nazo, wanaobaki ndio watakaoendelea kulamba asali.
Niliwahi kusema ile siku yule msemaji wa TRC anaongelea story za kubadili contract toka kule alikolipa Magufuli kwa kusingizia alikuwa hana capacity ya ku deliver kwa wakati.

Wakampa kampuni ingine nilijua to from there lazma tuje kusikia upigaji wa maana. Yani sahizi sio kama zama za Jakaya watu walikuwa wanaiba sana 100M-1B!

Sahizi watu wanajichotea 50 Billions->>Trillions. Watu wanalamba asali sio mchezo. Imagine wamelamba 400B hapo wakigawana hata watu 20 kila mtu hakosi Billions za kutosha.

Tambua tu kuwa you need no more than 3 billions kuishi mpaka kufa very comfortably. Imagine umekula mgao wa 50 Billions sio mchezo.
 
Behind the scene wanasiasa, wabunge na wafanyabiashara wakubwa ambao wanamiliki malori ya mizigo na mabasi ya kubeba abiria, hawawezi kukubali TRC isimame na ukiangalia wao ndio wamejenga urafiki wa kinafiki na mama ili mambo yao yaende huku waki ihujumu TRC.

Hii nchi muda uendavyo ndivyo tunavyo mkumbuka Mwendazake zake.Ukitaka kuiongoza hii nchi hutakiwi kucheka na kima.
 
Tanzania ni shamba la Bibi.......Acha tuendelee kulipa tozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…