Nasemaje Pumbavu haiwezekani..Tungetegemea sasa kuona wanasiasa wanaitisha maandamano kesho kushinikiza wezi wa mali za umma wachukuliwe hatua kali ikiwemo wale waliotajwa kwenye report ya CAG.
Tulitegemea kesho watu waingie barabarani kushinikiza mawaziri wenye hizo wizara wote wajiuzuru nafasi zao na kuchunguzwa dhidi ya tuhumu za ubadhirifu.
kadogosa kwani ndo anayenunua mabehewa?utaratibu wa manunuzi mbona unajulikana na uko wazi.muwaseme na board members basi mbona mnamsakama kadogosa kwa lipi?Huo ni mchongo wa Kadogosa na Mwendazake
Hao pia wezi wakitaka waunde serikali ya mseto wizara moja unachanganya watu Wana itikadi tofauti hata wageni ili wasiwe wanazoeana .Hata ukienda huko Kwa Machadema nako yamepeana hivyo hivyo Sasa hapa sio kutegemea Wanasiasa ni watu wenyewe kuliamsha ndio mabadiliko yatakuja.
Mzee ni mwendo wa misumari tu hawa vijana wa chadema na chawa wa mama kila siku tunawapa Elimu ya utambuzi kwa mtu mmoja mmoja ila hawajielewi.Una mavi kichwani,
Kabisa mkuu, kampeni ni fedha.Wizi kama huu sio wa kuchekea,TRC ya kadogosa mara kadhaa imekuwa ikilazimisha single source Kwa bei kubwa sana lakini wanawakalia kimya..
Nahisi.ccm Huwa inanifaika na wizi wa Mali za umma.