stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Nasemaje Pumbavu haiwezekani..Tungetegemea sasa kuona wanasiasa wanaitisha maandamano kesho kushinikiza wezi wa mali za umma wachukuliwe hatua kali ikiwemo wale waliotajwa kwenye report ya CAG.
Tulitegemea kesho watu waingie barabarani kushinikiza mawaziri wenye hizo wizara wote wajiuzuru nafasi zao na kuchunguzwa dhidi ya tuhumu za ubadhirifu.