Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Sasa Idugunde . Ripoti imeongelea vyama vyote. Angalau Cdm wanayo hayo mapungufu madogo ya kutoishirikisha Baraza kuu. Ccm wa wana matumizi mabaya. Cuf mali za chama zinasomeka majina ya watu .Chadema kutumia mil 377 bila idhini ya baraza la chama ina uhusiano gani na kifo cha JPM?
Kwa hiyo mapungufu yapo kwa vyama vyote na ya Ccm ni mbaya zaidi .
Kikubwa vyama hivi vinapata mwanya wa kufanya vibaya kisiasa, kijamii, kimatumizi nk. kwa sababu katiba mama ya nchi ina matobo . Tatizo hapo la Cdm ni dogo ukilinganisha na wenzao Ccm .
Odhis *