RIPOTI YA CAG: CHADEMA ilitumia Tsh Milioni 377 bila idhini ya Baraza la Chama

RIPOTI YA CAG: CHADEMA ilitumia Tsh Milioni 377 bila idhini ya Baraza la Chama

Hii coment inaonyesha ukubwa wa elimu yako.
Magari Yana bei fotauti kulingana na aina, unataka Bei ya Vitz iwe sawa na V8?
Vipi wewe una elimu kubwa sana?? Hao the so called wenye elimu kubwa ndiyo wanafanya madudu hayo yote
 
Wanatia wasiwasi hawa watu hata kabla ya kupewa nchi wanafanya ubadhilifu wa namna hii?

Chadema kilinunua magari matano yenye thamani ya Sh. 227.43 milioni na nyumba moja Sh. 50 milioni iliyopo Serengeti bila idhini ya Baraza Kuu la Chama.

Pia, Sh.100 milioni zilitumika kwenye matumizi ya kawaida ya chama bila ya idhini ya baraza kuu la chama.
Chadema na wizi wa ruzuku ni kama mgonjwa na uji!

Chadema haiwezi kununua nyumba sh milioni 50 huko porini.
Wafuasi wa Jiwe bwana !!. Mnajaribu kutwist mambo .

Jiwe limeondoka na halirudi tena. CAG na kagongelea jeheneza 6" . Mungu ni fundi mkuu

Odhis *
 
Yaani chini kuna miba juu kuna moto aisee!!!! Africa bwana yaani ni USHUZI MTUPU.
 
Mimi nawaakikishia Kua Mama akisema wote ambao kawateua yeye mwenyewe wakaguliwe hawezi kukosa upigaji Tena unaweza kuta watu wamesha piga mamilion watanzania Hua tukipata chance ni kutupia wavun tu

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Wafuasi wa Jiwe bwana !!. Mnajaribu kutwist mambo .

Jiwe limeondoka na halirudi tena. CAG na kagongelea jeheneza 6" . Mungu ni fundi mkuu

Odhis *
Chadema kutumia mil 377 bila idhini ya baraza la chama ina uhusiano gani na kifo cha JPM?
 
Chadema wajibikeni, mnanuka ufisadi

Report ya mwaka juzi ya CAG ilishawahi kuonesha namna Mwenyekiti anavyotumia pesa za chama kujilipa madeni kwa mikopo aliyoikopesha chama ilhali hakukuwa na vithibitsho vya kutosha kuonesha deni hilo
 
CCM waliwahi kuwajibika??
 
Hii taarifa hata siiamini, nadhani mtakuwa mmeiokota kwenye vile vi blog vyenu vilivyofunguliwa juzi.
Hahahaa mbona mko wanyoonge kwenye hii taarifa?
Simuoni salary slip na G sam hapa, au bado wamelala?
 
Back
Top Bottom