Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Sasa Idugunde . Ripoti imeongelea vyama vyote. Angalau Cdm wanayo hayo mapungufu madogo ya kutoishirikisha Baraza kuu. Ccm wa wana matumizi mabaya. Cuf mali za chama zinasomeka majina ya watu .Chadema kutumia mil 377 bila idhini ya baraza la chama ina uhusiano gani na kifo cha JPM?
Ingekuwa vyema madhaifu ya Ccm ungeyaweka hapa kama Cdm walivyotumia mil 377 kujaza matumbo ya Mbowe na vijana wake. Hivyo habari za Ccm mpaka sasa ni kusadikika tu.Sasa Idugunde . Ripoti imeongelea vyama vyote. Angalau Cdm wanayo hayo mapungufu madogo ya kutoishirikisha Baraza kuu. Ccm wa wana matumizi mabaya. Cuf mali za chama zinasomeka majina ya watu .
Kwa hiyo mapungufu yapo kwa vyama vyote na ya Ccm ni mbaya zaidi .
Kikubwa vyama hivi vinapata mwanya wa kufanya vibaya kisiasa, kijamii, kimatumizi nk. kwa sababu katiba mama ya nchi ina matobo . Tatizo hapo la Cdm ni dogo ukilinganisha na wenzao Ccm .
Odhis *
Mlioko serengeti tupigieni picha ya hiyo nyumbaMagari matano na nyumba mmoja Serengeti. Chadema wanunue nyumba Serengeti badala ya kununua Dar ili muachane na upangaji?
Sababu ya kutokujibu maswali unayoulizwa ni ipi?Sababu ya kuniuliza hilo swali ni ipi?
Sababu sipo hapa kwa ajiri ya kuulizwa tu maswali ndio maana nahitaji kujua sababu ya kuulizwa swali.Sababu ya kutokujibu maswali unayoulizwa ni ipi?
Tupeni mrejesho wa Cag. Au nae ni ACT?Chadema na wizi wa ruzuku ni kama mgonjwa na uji!
Chadema haiwezi kununua nyumba sh milioni 50 huko porini.
Na Mimi sipo hapa kwa akili ya kujibu maswali tu Bali kuuliza. Nataka sababu kwanini hutaki kujibu maswali?Sababu sipo hapa kwa ajiri ya kuulizwa tu maswali ndio maana nahitaji kujua sababu ya kuulizwa swali.
Wapi niliposema sitaki kujibu maswali? mimi nimekuuliza sababu ya kuniuliza lile swali uliloniuliza,unapoouliza huwa kuna sababu na mimi ndio nataka kuijua kwanza.Na Mimi sipo hapa kwa akili ya kujibu maswali tu Bali kuuliza. Nataka sababu kwanini hutaki kujibu maswali?