Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha

Ripoti ya CAG ni sawa na repoti ya matokeo ya final exams
Sio wote wanapata A, B, C wapo pia wa D, E....... na yote hayo ni matokeo

Tusubiri hati safi na chafu tujue wale walioPass na walioDisco
Endelea kumpigania marehemu, labda atakupa kacheo fulani huko aliko. Kilangila.
 
Good enough wanaolipa wimbo ni wale wale wanaopigiwa wimbo..walipiga makofi na leo wanapiga makofi tena.
Pumzika kwa amani JPM.
 
Supika anajiumauma na kujichekesha eti Bwagamoyo bandari anaogopa jina litatoka kuuliza matibabu ya India
Watu wanahasira hatarii
Eti Wasafi nao walipewa mgao hawa mbuzi waende jela vinginevyo tusilaumiane mtaani
Mungu atawaangamiza walioikosea Tz
 
FACT CHECK
Billion 3.9 ni USD ngapi? Kwa leo hii hizo ni USD 1.7 million; je kutengeneza ndege kwa bei hiyo ni gharama kubwa? Mleta hoja hajui maaana ya ndege, anafikiri ndege ni gari lake lile la mtumba wa japani.
Hata kama alitumia hizo pesa kutengenezea ndege, sawa kabisa, kuna receipts, je aliweka mfukoni kwake? Hapana, alitengeneza ndege, sasa hizo allgations zinatoka wapi??

Wapinzani mkibadirishiwa "narrative" mnarukia; Kikwete aliiba EPA na ESCROW akaweka mfukoni. Huyu katengeneza ndege. Wapi na wapi? Kikwete na Samia wanawatengenezea "Narrative" mnarukia. And they know you are stupid.

Let us talk about JPM human rights, not this Shit;
 

Billion 3 zililipwa kwa Madai ya kutengeneza ndege ambayo tangu 2015 ipo grounded hadi Leo... hela ililipwa 2018 lakini hadi Leo haijatengemaa kwamaana ipo chini umeelewa?
 
Billion 3 zililipwa kwa Madai ya kutengeneza ndege ambayo tangu 2015 ipo grounded hadi Leo... hela ililipwa 2018 lakini hadi Leo haijatengemaa kwamaana ipo chini umeelewa?
Billion 3 zililipwa kwa Madai ya kutengeneza ndege ambayo tangu 2015 ipo grounded hadi Leo... hela ililipwa 2018 lakini hadi Leo haijatengemaa kwamaana ipo chini umeelewa?
Zililipwa? Au "Zililipwa kwa madai ya?" na ndege haikutengenezwa. Kwa hiyo JPM ali 'divert" hizo pesa kwingine - mfukoni? Ilikuwa 2018 na ndege ilikuwa grounded tangu 2015; wakati JPM hajawa Rais. Kwa nini report itoke leo? Wakati ule alikuwa Assad ndiyo CAG
 
Ni kwamba zimeliwa!!

Huku wanasema tumelipa kutengeneza ndege huku kwenda kukaguliwa ndege haikutengenezwa so zilipigwaaaa
 
Hili CAG nalo ni jambazi tu na mpua wake kama kibama cha ndizi, Linajaribu kunata na beat tu ya Swaumu.
 
Shujaa wa chato sasa mambo yanamwendea kombo najua hajaenda mbali ya ghamboshi anayaona yote haya ila sasa hawezi kufanya lolote.
 
Marehemu anaona jitihada zako za kumpigania. Utapata uteuzi kwenye himaya yake mpya. Kilangila.
Hapa si wote tunalia huu upigaji mkubwa, wengine kati yetu ni sehemu ya huo upigaji na wafaidikaji wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…