YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Wananchi hatusubiri ripoti tunasubiri miradi ya maendeleo na ya jamii iliyopo ikamilike kws spidi ya Magufuli na zaidi na.mipya tuione hatisibiri ripoti za makaratasi sisiNa hapa bado ripoti ya July 2020 mpaka March 2021 itakuwa mbaya sana... Mtulie wananchi wafurahie matunda ya Demokrasia ambayo waliyakosa muda mrefu..
Ripoti za Magufuli hazikuwa kwenye makaratasi tulikuwa tukiziona Live kwa macho barabsta4,miradi ya umeme kila kijiji,zahanati nk hatuna muda mchafu wa kud
kusubiri ripoti za vikaratasi vya CAG
Ripoti za Magufuli hazikuwa makaratasi zilikuwa moja tu mwenye macho hasmbiwi tazama oneni wenyewe kilichofanyika.Hatutaki ripoti za press conference tunataka vinavyoobekana na wanyonge vya kusaidia wanyonge
Ripoti someaneni huko huko kwenu mkimaliza leteni maendeleo