Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha


Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha, je Fedha hizi ziliibiwa zilipelekwa nchi gani,au bank gani ? Kwà sababu kwenye mabank hakuna fedha na mitaani hakuna fedha. Je aliyekuwa katibu mkuu wizara ya fedha ,Doto James kwanini asilale kwanza segerea uçhunguzi ukiwa unaendeleaje?
 
Niliwahi kuandika hapa kuwa jizi mwendazake liliruhusu mijizi nduguze wakwapue wanavyoweza ila mwingine akijaribu anapigwa vibaya na kulia fisadi fisadi!! Tumkamate makonda atueleze utajiri kaupatia wapi? Kamata Doto james ana mengi mno.
 
Amewekwa pending...Subiri CAG amalize kusoma kisha Bimkubwa aseme neno
 
Niliwahi kuandika hapa kuwa jizi mwendazake liliruhusu mijizi nduguze wakwapue wanavyoweza ila mwingine akijaribu anapigwa vibaya na kulia fisadi fisadi!! Tumkamate makonda atueleze utajiri kaupatia wapi? Kamata Doto james ana mengi mno.
Hawa wawili au watatu hivi ndio wakuanza nao
 
Sio vyema kumsema vibaya marehemu hubiri yale yake mazuri!
 
Ripoti ya CAG ni sawa na repoti ya matokeo ya final exams
Sio wote wanapata A, B, C wapo pia wa D, E....... na yote hayo ni matokeo

Tusubiri hati safi na chafu tujue wale walioPass na walioDisco
Yaaani mataga bwana.... nyie si ndo mlikua mnasema Mwendazake kafyekelea mbali ufisadi? Kuna ndege imelala aiport toka 2015 ila mnatoa pesa za maintanance. Mnanunua na nyingine... [emoji23][emoji23][emoji23]unataka kuniambia alikua hajui? Yaani wizara zifanye ubadhirifu halafu asijue wakati kina Aika walikula buku 20 za wamachinga wanatakiwa kuzilipa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aibu kubwa sana !
 

Ulisikiaga report ya CAG bila hayo mambo
Wewe final exams ulipata 100% kila somo eeee
 
Sio vyema kumsema vibaya marehemu hubiri yale yake mazuri!
Alikuwa mtu mwema sana
Alikuwa na upendo sana
Aliwajali wanyonge wote
Hakubagua watu kwa imani zao wala mitazamo yao
Alipendwa sana na watu wote
Hakuwa fisadi
Hakuwa mwizi
Hakuwa mbinafsi
Hakuwa na kiburi
Alikuwa shujaa wa Africa
Msiba wake ulifuatiliwa na watu billion NNE na ushee duniani kote

Mwendazake kafa lakini hataoza, na hata akiona hatanuka na akinuka atanukia marashi
 

Hakuna fedha iliyoibwa labda kama hujui kusoma vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…