Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashangaza sana, matokeo ya mitihani na wizi wa mali ya umma ni vitu viwili tofauti, ccm mnajitoa ufahamu hata kwenye mambo ya msingi yanayohusu maslahi ya TaifaRipoti ya CAG ni sawa na repoti ya matokeo ya final exams
Sio wote wanapata A, B, C wapo pia wa D, E....... na yote hayo ni matokeo
Tusubiri hati safi na chafu tujue wale walioPass na walioDisco
[emoji23][emoji23][emoji23] mr perfect...malaika mkuuLabda utafute ya mwaka 2015 au kabla yake. Zote kuanzia 2016 zinaonesha mambo ni shwari. Mamiradi tu yanatekelezwa masgr, JNHP, n.k si unajua tena serikali ya kiongozi wa Malaika[emoji23][emoji23][emoji23]
Unashangaza wewe usiyejua ukaguzi lazima uje na matokeoUnashangaza sana, matokeo ya mitihani na wizi wa mali ya umma ni vitu viwili tofauti, ccm mnajitoa ufahamu hata kwenye mambo ya msingi yanayohusu maslahi ya Taifa
Tena huko TRC huko sijui tu..Niliwahi kusema kitu cha kuhusu ndege tena nikiwa kigoma hotelini jamaa wakataka kunila nyama kisa namseba vibaya mkuu.
Kuna mturuki alishawahi kufukuzwa baada ya kuwahoji ukweli viongozi wa TRC Juu ya kwanini tunajenga baadhi ya matanuri ya kupitisha reli badala ya kuipitisha njia ya nnje ambayo gharama yake sio kubwa sana?
Muda ni kitu chaajabu sana kwakweli.
Asante kwa kuweka data sawaNi Trillion 1.5 mkuu
Au wewe ndie Bwana fulan wa kule Twittan?😁😁😁Mada ya 2018
Awamu ya tano imetupa pembeni utaratibu wa zabuni na sasa inaamua na kufanya manunuzi au kuingia mikataba wenyewe kwa amri toka juu...
Rejea hii itatukumbusha siku za usoni na hasa kwa Miradi hii.
1. Uwanja wa ndege chato
2. Vitambulisho vya utaifa
3. Fly overs
4. Bombadier
5. Tenda za ujenzi za TBA n.k
6. SGR
7. Bwawa la umeme
Kwa kumalizia tuu.... nimeandika hayo nikiwa full detailed. Kuna vitu duniani havichiki navyo ni Jua mwezi na ukweli.
MUDA NI HAKIMU WA YOTE!!
Credit kwako Lusungo
Kwa lugha nyingine kwa sababu ukaguzi lazima uje na matokeo basi haijalishi hayo matokeo ni ya namna gani, ifike mahali kila sekta iwe na hati safi, kila mwaka ubadhirifu unaongezeka na hakuna anaewajibishwa halafu tunatiana moyo kwamba hii ni sawa na mtihaniUnashangaza wewe usiyejua ukaguzi lazima uje na matokeo
Aibu kubwa majizi yameiba moja limekufaStupid thread & comments as usual hizi mara nyingi zinakuja kwa mlengo fulani hazishtui...
ni team mizogo hii
Ndio tusubiri hizo hati safi na chafu wahusika wawajibishweeKwa lugha nyingine kwa sababu ukaguzi lazima uje na matokeo basi haijalishi hayo matokeo ni ya namna gani, ifike mahali kila sekta iwe na hati safi, kila mwaka ubadhirifu unaongezeka na hakuna anaewajibishwa halafu tunatiana moyo kwamba hii ni sawa na mtihani
Ripoti ya CAG ni sawa na repoti ya matokeo ya final exams
Sio wote wanapata A, B, C wapo pia wa D, E....... na yote hayo ni matokeo
Tusubiri hati safi na chafu tujue wale walioPass na walioDisco
Mataga na waimba mapambio hawana kwa kuweka sura zao maana walijiona wazalendo kuunga juhudi kila kitu
Jizi hiloAisee hii picha inanikumbusha mbali sanaView attachment 1746652
Ndio tusubiri hati safi na chafudada/mama huwa nakuheshimu sana lakini leo umeniangusha. tuzungumze kwa mustakabli mkubwa wa serikali yetu tuache maswala ya uchama.
KwakoJpm atabaki kuwa shujaa