Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Lengo la kuhitaji report za miaka ya nyuma ni lipi?Tuwekee hapa walau 2 tuu tupate ground ya huu mjadala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lengo la kuhitaji report za miaka ya nyuma ni lipi?Tuwekee hapa walau 2 tuu tupate ground ya huu mjadala
Unafahamu taratibu za serikali kuhusiana na official documents?Tuwekee hapa walau 2 tuu tupate ground ya huu mjadala
Kujua Pesa zetu zimetumikajeLengo la kuhitaji report za miaka ya nyuma ni lipi?
Kwa miaka 5 zimekuwa na dosari nyingi Sana ikiwemo upotevu Mkubwa sana wa pesa zetuUlishawahi sikia report zingine za CAG au hii ndio ya kwanza?
Hebu nitajie wabunge watatu watakaoweza kupitia hii ripoti kwa kina!1. Natamani taarifa ile ungeichambua ukaweka hayo madudu moja baada ya lingine tukayajadili hapa.
2. Masuala mengine ni wahusika kuwa wazembe kushindwa kurejesha majibu kwa wakati kwa CAG (kujibu hoja)
3. Nina imani kubwa Bunge litakapojadili mengi yatatolewa ufafanuzi na yataondoka!
4. Tunamshukuru sana CAG ametekeleza maagizo ya mzee marehemu Hayati JPM na Rais wa sasa Mhe. Samia Sukuhu Hassan kama alivyomwambia ukaandike report ya kina ili tuisaidie serikali na kukomesha ufisadi na wizi. Hivyo CAG amefanya kazi yake kwa weledi kama mwalimu wetu Prof. Assad
Tuwe na akiba ya maneno ndg zangu. Tusubiri Bunge lipitie taarifa hiyo kwa kina tujue mbivu na mbichi.
Namshauri Rais wetu mama yetu Mhe. Samia. Kama kuna mtendaji yoyote yupo madarakani na itathibitika kuiletea Serikali hasara na pia uzembe wa kutokujibu hoja za CAG, basi amtoe haraka sana kabla hajamuharibia kazi.
Kaka Mshana wewe ni mzoefu, nadhani unakumbuka ripoti ya 2014 ambapo hoja karibu zote zilipanguliwa! Nadhani hata hizi ngoja ziende Bungeni. Nina mdogo wangu mahali ananiambia watu wanakimbizana kujibu hizi hoja.Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana?
Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika.
Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA yanatisha na kutia kinyaa.
Madudu ya MTETEZI WA WANYONGE Yanatia hasira sana.
Chukulia hili moja BILIONI 3.9 kwenye matengenezo ya ndege moja ambayo HAIKUFAA![emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Upinzani uliwahi kusema upigaji wa awamu hii utavunja rekodi, watu wakabeza sana. Lakini wakati ni hakimu mzuri. Uongo hupanda lift lakini ukweli hukwea ngazi. Mahakama ya mafisadi inaweza kuanzia pale kwenye nyumba ya milele ya mwendaAzakwe marehemu hayati.
Huu uozo uliendelea kuwekwa wazi peupe hivi tusishangae kuona siku moja marehemu akalikimbia kaburi lake. N itokee kuna kitu kinaitwa maandamano kifanyike[emoji848][emoji848][emoji848] Bila udhibiti imara si ajabu kuwakuta waandamanaji wakilicharaza bakora kaburi la shujaa wa Afrika na kuipopoa mawe picha yake.
Baada ya kusomwa hii ripoti, masikio yote yako kwa Bimkubwa. Je, atasemaje? Watu wamefura kwa hasira. I hope hatawazingua
Mahabusu ziandaliwe za kutosha sasa. Ni zamu ya kubadilisha wapangaji. Karibia kila wizara ina vimeo vya kutisha.
Zitaje tuzijadili hapa!Kwa miaka 5 zimekuwa na dosari nyingi Sana ikiwemo upotevu Mkubwa sana wa pesa zetu
NafahamuUnafahamu taratibu za serikali kuhusiana na official documents?
Kaka Mshana wewe ni mzoefu, nadhani unakumbuka ripoti ya 2014 ambapo hoja karibu zote zilipanguliwa! Nadhani hata hizi ngoja ziende Bungeni. Nina mdogo wangu mahali ananiambia watu wanakimbizana kujibu hizi hoja.
Najiuliza walikuwa wapi kabla? Huu ni uzembe wa hali ya juu. Tunaimani na Bi Mkubwa kuwachukulia hatua wahusika kabla hawajaichafua serikali ya awamu ya sita.
- Ikithibitika wizi na ufisadi fukuzaa
- waliichelewa kujibu hoja fukuzaaa
- waliohonga hela pale OR TAMISEMI wakapata hati safi na kwenye ma taasisi ya umma fukuzaaaa! Wakiwemo hao watumishi wa CAG
Wanadamu ni wabaya sana jamani wasimzingue mama!
Wamesema tuandike Katiba yenye taasisi huru mumekataa sasa kwa nini kila mtu asipigweShida yetu kubwa ni kwamba tunapojadili haya mambo hatuji na masuluhisho. Na kila mwaka ni yale yale. Upigaji wa kutisha!
Kama jamii tufanye nini ili kuikomesha hali hii? Tunawezaje kuukomesha ufisadi? Kwa nini viongozi wetu wanakuwa hivi? Tufanye nini?
Mwendazake keshalala. Hata tukipopoa mawe na kucharaza bakora kaburi lake hatatusikia. Kimbembe ni kwetu tuliobakia. Ni kweli hatuwezi kuikomesha hali hii?
Ilani ya ccm 2020 - 2025 inasema tutaendelea kupambana na rushwa na ufisadi kwa nguvu zote.Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana?
Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika.
Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA yanatisha na kutia kinyaa.
Madudu ya MTETEZI WA WANYONGE Yanatia hasira sana.
Chukulia hili moja BILIONI 3.9 kwenye matengenezo ya ndege moja ambayo HAIKUFAA![emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Upinzani uliwahi kusema upigaji wa awamu hii utavunja rekodi, watu wakabeza sana. Lakini wakati ni hakimu mzuri. Uongo hupanda lift lakini ukweli hukwea ngazi. Mahakama ya mafisadi inaweza kuanzia pale kwenye nyumba ya milele ya mwendaAzakwe marehemu hayati.
Huu uozo uliendelea kuwekwa wazi peupe hivi tusishangae kuona siku moja marehemu akalikimbia kaburi lake. N itokee kuna kitu kinaitwa maandamano kifanyike[emoji848][emoji848][emoji848] Bila udhibiti imara si ajabu kuwakuta waandamanaji wakilicharaza bakora kaburi la shujaa wa Afrika na kuipopoa mawe picha yake.
Baada ya kusomwa hii ripoti, masikio yote yako kwa Bimkubwa. Je, atasemaje? Watu wamefura kwa hasira. I hope hatawazingua
Mahabusu ziandaliwe za kutosha sasa. Ni zamu ya kubadilisha wapangaji. Karibia kila wizara ina vimeo vya kutisha.
Huyu alikuwa anapakua haswaNi kweli kabisa kuwa ufisadi uliofanyika kipindi hiki cha mwendazake kinavunja rekodi ya tawala za awamu zote tokea nchi ipate Uhuru wake toka kwa mkoloni.
Yuko wap mzalendo wa kweli etwege?Mataga na waimba mapambio hawana kwa kuweka sura zao maana walijiona wazalendo kuunga juhudi kila kitu