Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hadi Polepole alijifanya kuzitolea maelezo wallah...Ni Trillion 1.5 mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi Polepole alijifanya kuzitolea maelezo wallah...Ni Trillion 1.5 mkuu
Nakulinganishia hivi...Kulinganisha na miaka mingapi
Yaani...Imagine hii kitu ingeenda mpaka twenteeee tweenteeee faivuuuuu....walahiiiiii sijui tungeliishiaa wapi
Kwa maelezo haya, akili ingekuwa ni kiungo cha uzazi, wewe ungekuwa huzai wallah... EMBU KUBALINI UKWELI BASI..!!! Na hapo CAG sio wa CDM...Ripoti ya CAG ni sawa na repoti ya matokeo ya final exams
Sio wote wanapata A, B, C wapo pia wa D, E....... na yote hayo ni matokeo
Tusubiri hati safi na chafu tujue wale walioPass na walioDisco
hatuna ukabila nchi hii acha upumbavu,,,maneno hayo kayaseme kwenye familia yako...sijuw yani goja nikuache tuSukuma Gang wamechanganyikiwa waliifanya nchi kama bustani yao wanajichumia kadri wanavyojisikia.
Kwani ripoti ya CAG anaisomea bungeni?Bunge liko live kwani? Au mnafatilia kupitia njia ipi Mshana Jr
Kwani CAG anaposoma ripoti yake, huwa anamsomea nani? Unadhani kwa nini vyombo vya habari vinahusishwa? Anachokisema ndicho tunachokijadili.. KWAMBA WIZARA YA MALIASILI IMEPIGA 34B, yeye ndo katuambia..!! Au unataka tupewe nakala ya ripoti yote ndo tuje tuseme?Wengi wanapiga soga tu hawajasoma ripoti hizo wala hawajui ziko wapi. Wanadandia tu kusudi wapate la kulaumu
wewe naweeeeeHivi dada hii Ripoti inahusu Serikali yaMzalendo nNo Moja ,Shujaa was Afrika ,Kipenzi Cha Wanyonge kweeli??
Au ni vibaraka wa Mabeberu wanaona wivu
Yaani nao tunashangaa nao... Hawaamini na si unawaona, hata kumtetea wanshindwa..wanyonge hawaamini wanachokisikia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kigogo2014 alikuwa na Project yake ya Kunya juu ya kaburi! Ngoja nikamuulize amefikia wapi
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mama D kila mara nakusihi pima mambo kwenye angle zote... Mizaha hii mliitumia kwa shujaa wenu.. Shauri yenu.Ripoti ya CAG ni sawa na repoti ya matokeo ya final exams
Sio wote wanapata A, B, C wapo pia wa D, E....... na yote hayo ni matokeo
Tusubiri hati safi na chafu tujue wale walioPass na walioDisco
Ya JK inajulikana... Yaani huyu wenu kapiga haswaa... We mwaka wa kwanza tu ule 1.5T hazikujulikana ziliko... wakati mwenzie JK, miaka 10 zilipigwa 784B... Just do simple comparison mama D... 784 Kwa miaka 10, ni wastani wa 78.4B kwa mwaka.. sasa huyo mnayemtetea yeye 1.5T (1500B, YAANI SAWA NA MARA 19 YA HELA ZILIZOPIGWA KWA MWAKA, WAKATI WA JK) ule mwaka wa kwanza..!!!!! Na hii ripoti ya leo ukizijumlisha, nazo zipo mbali sana na 78.4B ya JK kwa mwaka... TWAFWA ...wewe naweeeee
Hizo za awamu zingine zilikuaje labda tuanzie hapo
Hivi hii ndio report ya kwanza ya CAG au ndio mmepata upenyu wa kumnanga hayati?
Tulia wabadhirifu wawajibishwe acha maneno
HahaahhahahahaAlikuwa mtu mwema sana
Alikuwa na upendo sana
Aliwajali wanyonge wote
Hakubagua watu kwa imani zao wala mitazamo yao
Alipendwa sana na watu wote
Hakuwa fisadi
Hakuwa mwizi
Hakuwa mbinafsi
Hakuwa na kiburi
Alikuwa shujaa wa Africa
Msiba wake ulifuatiliwa na watu billion NNE na ushee duniani kote
Mwendazake kafa lakini hataoza, na hata akiona hatanuka na akinuka atanukia marashi
Mkuu labda unaishi ughaibuni na solution yake sio rocket science,tuwe na TAASISI imara zenye kujitegemea,means police wawe na uwezo wa kujitegemea wa kupeleleza tuhuma na kuzifungulia kesi mahakamani na judiciary iamue kwa haki,hili la kumtegemea no 1 lina matatizo makubwa.Shida yetu kubwa ni kwamba tunapojadili haya mambo hatuji na masuluhisho. Na kila mwaka ni yale yale. Upigaji wa kutisha!
Kama jamii tufanye nini ili kuikomesha hali hii? Tunawezaje kuukomesha ufisadi? Kwa nini viongozi wetu wanakuwa hivi? Tufanye nini?
Mwendazake keshalala. Hata tukipopoa mawe na kucharaza bakora kaburi lake hatatusikia. Kimbembe ni kwetu tuliobakia. Ni kweli hatuwezi kuikomesha hali hii?
Wengi wanapiga soga tu hawajasoma ripoti hizo wala hawajui ziko wapi. Wanadandia tu kusudi wapate la kulaumu
HahhahaahahaHalafu wale Mbwiga walikuwa wanakata viuno na kusema Jambazi lao litawale milele