mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Kwa taarifa zipi? Au wewe ulidakia Escrow tuu ndio ukajua kukimbia nayo jf🤣🤣🤣🤣Kheee... unaposema sijui kwani kuna nilichodanganya? Nimelinganisha awamu ya nne na awamu ya tano....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa taarifa zipi? Au wewe ulidakia Escrow tuu ndio ukajua kukimbia nayo jf🤣🤣🤣🤣Kheee... unaposema sijui kwani kuna nilichodanganya? Nimelinganisha awamu ya nne na awamu ya tano....
Nilikukumbusha tu kwamba wakati wa JK, kulikuwa na kashfa za kutosha, ambazo ukizijumlisha hela zilizopigwa kwenye kashfa hizo inafikia 784B, kwa miaka yote kumi... Sasa huyu mnayemtetea, 1.5T hazikujulikana ziliko, ndani ya mwka mmoja... AU wewe unajuwa ziliko? Polepole naye alijaribu kuelezea lakini wapii... SIJAELEWA HAPO UNA TATIZO NAPO LIPIKwa taarifa zipi? Au wewe ulidakia Escrow tuu ndio ukajua kukimbia nayo jf🤣🤣🤣🤣
Nilikukumbusha tu kwamba wakati wa JK, kulikuwa na kashfa za kutosha, ambazo ukizijumlisha hela zilizopigwa kwenye kashfa hizo inafikia 784B, kwa miaka yote kumi... Sasa huyu mnayemtetea, 1.5T hazikujulikana ziliko, ndani ya mwka mmoja... AU wewe unajuwa ziliko? Polepole naye alijaribu kuelezea lakini wapii... SIJAELEWA HAPO UNA TATIZO NAPO LIPI
Kwa hiyo unataka kutuambia Nini mkuu ....bado Meko no mzalendo no 1 Shujaa was Afrika?Wengi wanaopiga debe kudai "madudu" yamefichuliwa hawajawahi kusoma ripoti za CAG, wanadakia ya kusikia tu. Kopi za hii ripoti ya mwaka huu mimi sijaiona, lakini nilishasoma za kila mwaka kwa miaka 11 iliyopita tangu waanze kuziweka mtandani. Utashangaa ukija kusoma hii ukakuta ni sawa kabisa na zile za zamani. Hati chafu ni kama 5% au chini ya hapo kwa nchi nzima.
Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana?
Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika.
Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA yanatisha na kutia kinyaa.
Madudu ya MTETEZI WA WANYONGE Yanatia hasira sana.
Chukulia hili moja BILIONI 3.9 kwenye matengenezo ya ndege moja ambayo HAIKUFAA![emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Upinzani uliwahi kusema upigaji wa awamu hii utavunja rekodi, watu wakabeza sana. Lakini wakati ni hakimu mzuri. Uongo hupanda lift lakini ukweli hukwea ngazi. Mahakama ya mafisadi inaweza kuanzia pale kwenye nyumba ya milele ya mwendaAzakwe marehemu hayati.
Huu uozo uliendelea kuwekwa wazi peupe hivi tusishangae kuona siku moja marehemu akalikimbia kaburi lake. N itokee kuna kitu kinaitwa maandamano kifanyike[emoji848][emoji848][emoji848] Bila udhibiti imara si ajabu kuwakuta waandamanaji wakilicharaza bakora kaburi la shujaa wa Afrika na kuipopoa mawe picha yake.
Baada ya kusomwa hii ripoti, masikio yote yako kwa Bimkubwa. Je, atasemaje? Watu wamefura kwa hasira. I hope hatawazingua
Mahabusu ziandaliwe za kutosha sasa. Ni zamu ya kubadilisha wapangaji. Karibia kila wizara ina vimeo vya kutisha.
Nilikukumbusha tu kwamba wakati wa JK, kulikuwa na kashfa za kutosha, ambazo ukizijumlisha hela zilizopigwa kwenye kashfa hizo inafikia 784B, kwa miaka yote kumi... Sasa huyu mnayemtetea, 1.5T hazikujulikana ziliko, ndani ya mwka mmoja... AU wewe unajuwa ziliko? Polepole naye alijaribu kuelezea lakini wapii... SIJAELEWA HAPO UNA TATIZO NAPO LIPI
Mbona umeandika kinyonge sana nini shida? Leo sio mataga hamkati viuno kabisa yani mmesinyaa kweli kweli[emoji1787]Ripoti ya CAG ni sawa na repoti ya matokeo ya final exams
Sio wote wanapata A, B, C wapo pia wa D, E....... na yote hayo ni matokeo
Tusubiri hati safi na chafu tujue wale walioPass na walioDisco
Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana?
Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika.
Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA yanatisha na kutia kinyaa.
Madudu ya MTETEZI WA WANYONGE Yanatia hasira sana.
Chukulia hili moja BILIONI 3.9 kwenye matengenezo ya ndege moja ambayo HAIKUFAA![emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Upinzani uliwahi kusema upigaji wa awamu hii utavunja rekodi, watu wakabeza sana. Lakini wakati ni hakimu mzuri. Uongo hupanda lift lakini ukweli hukwea ngazi. Mahakama ya mafisadi inaweza kuanzia pale kwenye nyumba ya milele ya mwendaAzakwe marehemu hayati.
Huu uozo uliendelea kuwekwa wazi peupe hivi tusishangae kuona siku moja marehemu akalikimbia kaburi lake. N itokee kuna kitu kinaitwa maandamano kifanyike[emoji848][emoji848][emoji848] Bila udhibiti imara si ajabu kuwakuta waandamanaji wakilicharaza bakora kaburi la shujaa wa Afrika na kuipopoa mawe picha yake.
Baada ya kusomwa hii ripoti, masikio yote yako kwa Bimkubwa. Je, atasemaje? Watu wamefura kwa hasira. I hope hatawazingua
Mahabusu ziandaliwe za kutosha sasa. Ni zamu ya kubadilisha wapangaji. Karibia kila wizara ina vimeo vya kutisha.
Napendekeza mwili wake ufukuliwe Kisha unyongwe.kukamilisha adhabu juu ya ukatili wake.Pole sana bro tuko wengi na list ni ndefu
Daaaah [emoji23][emoji23][emoji23]Magu aamshwe aeleze kwaa nini alitudanganya
😭😭😭😭😭Hujaelewa vizuri.. hasara ya Bilioni 60 sio ya miaka mitano, Ni ya mwaka mmoja uliopita. Hasara ya miaka mitano Ni Bilion 690 iliyosababishwa na ndege tu. Mkuu kuwa makini fuatilia vizuri ripoti ya CAG utaona ninachokuambia.
Hivi kwann tulianimishwa atcl inapata faida wakati sio kweli?Wengi wanaopiga debe kudai "madudu" yamefichuliwa hawajawahi kusoma ripoti za CAG, wanadakia ya kusikia tu. Kopi za hii ripoti ya mwaka huu mimi sijaiona, lakini nilishasoma za kila mwaka kwa miaka 11 iliyopita tangu waanze kuziweka mtandani. Utashangaa ukija kusoma hii ukakuta ni sawa kabisa na zile za zamani. Hati chafu ni kama 5% au chini ya hapo kwa nchi nzima.
Mbadhilifu wa kwanza amesha wajibishwa na Mungu.wewe naweeeee
Hizo za awamu zingine zilikuaje labda tuanzie hapo
Hivi hii ndio report ya kwanza ya CAG au ndio mmepata upenyu wa kumnanga hayati?
Tulia wabadhirifu wawajibishwe acha maneno
Sawa,your Hero.Jpm atabaki kuwa shujaa