Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha

Viongozi wote wa nchi hii ni mchwa,acheni kupigia Mbuzi Gita,kuna haja ya CCM kuondoka sasa miaka zaidi ya 50,imewatosha,hata huyo mama yenu SASHA ni wale wale, enough is enough,upinzani msiungane na hawa wahuni na matapeli wa nchi hii tengenezeni sera na mjijenge kisiasa wakati ndo huu,tatizo na nyinyi mna vichwa maji mtaendelea kucheza ngoma ya CCM mpaka uchaguzi unafika,mnakuja na nyimbo za Bob Marley "One Love"
 
Kwa taarifa zipi? Au wewe ulidakia Escrow tuu ndio ukajua kukimbia nayo jf🤣🤣🤣🤣
Nilikukumbusha tu kwamba wakati wa JK, kulikuwa na kashfa za kutosha, ambazo ukizijumlisha hela zilizopigwa kwenye kashfa hizo inafikia 784B, kwa miaka yote kumi... Sasa huyu mnayemtetea, 1.5T hazikujulikana ziliko, ndani ya mwka mmoja... AU wewe unajuwa ziliko? Polepole naye alijaribu kuelezea lakini wapii... SIJAELEWA HAPO UNA TATIZO NAPO LIPI
 
Pumzika sasa maana hakuna unalojua
CAG akihitimisha uje na hoja
 
Wengi wanaopiga debe kudai "madudu" yamefichuliwa hawajawahi kusoma ripoti za CAG, wanadakia ya kusikia tu. Kopi za hii ripoti ya mwaka huu mimi sijaiona, lakini nilishasoma za kila mwaka kwa miaka 11 iliyopita tangu waanze kuziweka mtandani. Utashangaa ukija kusoma hii ukakuta ni sawa kabisa na zile za zamani. Hati chafu ni kama 5% au chini ya hapo kwa nchi nzima.
Kwa hiyo unataka kutuambia Nini mkuu ....bado Meko no mzalendo no 1 Shujaa was Afrika?
 
Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana?

Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika.

Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA yanatisha na kutia kinyaa.

Madudu ya MTETEZI WA WANYONGE Yanatia hasira sana.

Chukulia hili moja BILIONI 3.9 kwenye matengenezo ya ndege moja ambayo HAIKUFAA![emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]

Upinzani uliwahi kusema upigaji wa awamu hii utavunja rekodi, watu wakabeza sana. Lakini wakati ni hakimu mzuri. Uongo hupanda lift lakini ukweli hukwea ngazi. Mahakama ya mafisadi inaweza kuanzia pale kwenye nyumba ya milele ya mwendaAzakwe marehemu hayati.

Huu uozo uliendelea kuwekwa wazi peupe hivi tusishangae kuona siku moja marehemu akalikimbia kaburi lake. N itokee kuna kitu kinaitwa maandamano kifanyike[emoji848][emoji848][emoji848] Bila udhibiti imara si ajabu kuwakuta waandamanaji wakilicharaza bakora kaburi la shujaa wa Afrika na kuipopoa mawe picha yake.

Baada ya kusomwa hii ripoti, masikio yote yako kwa Bimkubwa. Je, atasemaje? Watu wamefura kwa hasira. I hope hatawazingua
Mahabusu ziandaliwe za kutosha sasa. Ni zamu ya kubadilisha wapangaji. Karibia kila wizara ina vimeo vya kutisha.

Tulisema kweli Awamu ya JIWE ndio kuna wapigaji na ufisadi wa hatari.

MATAGA wataanza kubishana na CAG.

Mama pia alisema kuchelewesha malipo kumbe nayo ni Janja janja ya Ubipagaji , Ona kuna bilioni karibia 34 kama fidia kwa kuchelewesha malipo ,hizo zinaenda kwenye mifuko ya mafisadi.
 
Nilikukumbusha tu kwamba wakati wa JK, kulikuwa na kashfa za kutosha, ambazo ukizijumlisha hela zilizopigwa kwenye kashfa hizo inafikia 784B, kwa miaka yote kumi... Sasa huyu mnayemtetea, 1.5T hazikujulikana ziliko, ndani ya mwka mmoja... AU wewe unajuwa ziliko? Polepole naye alijaribu kuelezea lakini wapii... SIJAELEWA HAPO UNA TATIZO NAPO LIPI

Bado hela aliyokopa kikwete kwa miaka 10 ,JIWE ameichukua karibu mara mbili kwa muda wa miaka mi5 halafu sijui zimeenda wapi maana alisema miradi karibu mingi tumeijenga kwa fedha zetu wenyewe sisi ni MATAJIRI tutembee kifua MBEREE.
 
Ripoti ya CAG ni sawa na repoti ya matokeo ya final exams
Sio wote wanapata A, B, C wapo pia wa D, E....... na yote hayo ni matokeo

Tusubiri hati safi na chafu tujue wale walioPass na walioDisco
Mbona umeandika kinyonge sana nini shida? Leo sio mataga hamkati viuno kabisa yani mmesinyaa kweli kweli[emoji1787]
 
Niliwahi kusema Ukiona Kiongozi hataki uhuru wa democrasia na uhuru wa habari ujue hyo anauchafu ulipitiliza. Sasa Vijana wa chama changu cha green mlioapa kiongozi alipga vita ufisadi Je ni kweli? Tumedanganywa sana Ndugu zangu!!
 
Tulipokuwa tunapiga kelele tangu 2016 kwamba kuna mtu ambaye hakustahili kuwepo Ikulu kwani ni incompetent na mwizi mkubwa kuwahi kutokea nchi hii tuliambiwa sisi ni wachochezi, tunatumiwa na MABEBERU tulikuwa wapigaji sasa upigaji umezuiliwa blah blah blah! Kumbe ni mapenzi ya kweli ya nchi yetu.
Mwizi jiwe aliruka huku na kule kutisha watu na hata kuwaua na akaogopwa na baadhi kuliko hata wanavyomuogopa Mwenyezi Mungu.
Bahati nzuri Mwenyezi Mungu ni Mkubwa akasikia vilio vya Watanzania na kufanya kweli. 🙏🏾
Sasa UOZO wote nje nje!!!! Yale tuliyokuwa tukiyasema kuhusu jambazi jiwe yamedhihirika kwa mara nyingine tena.

Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana?

Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika.

Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA yanatisha na kutia kinyaa.

Madudu ya MTETEZI WA WANYONGE Yanatia hasira sana.

Chukulia hili moja BILIONI 3.9 kwenye matengenezo ya ndege moja ambayo HAIKUFAA![emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]

Upinzani uliwahi kusema upigaji wa awamu hii utavunja rekodi, watu wakabeza sana. Lakini wakati ni hakimu mzuri. Uongo hupanda lift lakini ukweli hukwea ngazi. Mahakama ya mafisadi inaweza kuanzia pale kwenye nyumba ya milele ya mwendaAzakwe marehemu hayati.

Huu uozo uliendelea kuwekwa wazi peupe hivi tusishangae kuona siku moja marehemu akalikimbia kaburi lake. N itokee kuna kitu kinaitwa maandamano kifanyike[emoji848][emoji848][emoji848] Bila udhibiti imara si ajabu kuwakuta waandamanaji wakilicharaza bakora kaburi la shujaa wa Afrika na kuipopoa mawe picha yake.

Baada ya kusomwa hii ripoti, masikio yote yako kwa Bimkubwa. Je, atasemaje? Watu wamefura kwa hasira. I hope hatawazingua
Mahabusu ziandaliwe za kutosha sasa. Ni zamu ya kubadilisha wapangaji. Karibia kila wizara ina vimeo vya kutisha.
 
Halafu kuna parasites ziko hapa zinaimba "mtamkumbuka". Labda tumkumbuke Kwa ubaguzi wake wa kutaka kundi lake pekee ndio wale tena kwa kuiba keki ya taifa. Wengine nawaona hapa wanabinuka sarakasi kumtetea mwendazake asiesafishika.
 
Hadi polepole alijifanya CAG na kutoa mchanganuo wa 1.5T.....ndo maana naamini hata haya mamiradi ya SGR, stiglaz, Busisi, na manunuzi ya ndege yatakuwa na upigaji wa kufa mtu....
 
Hujaelewa vizuri.. hasara ya Bilioni 60 sio ya miaka mitano, Ni ya mwaka mmoja uliopita. Hasara ya miaka mitano Ni Bilion 690 iliyosababishwa na ndege tu. Mkuu kuwa makini fuatilia vizuri ripoti ya CAG utaona ninachokuambia.
😭😭😭😭😭
 
  • Masikitiko
Reactions: BAK
CAG kama trafiki lazima akukute na kosa akikuchunguza.
 
Wengi wanaopiga debe kudai "madudu" yamefichuliwa hawajawahi kusoma ripoti za CAG, wanadakia ya kusikia tu. Kopi za hii ripoti ya mwaka huu mimi sijaiona, lakini nilishasoma za kila mwaka kwa miaka 11 iliyopita tangu waanze kuziweka mtandani. Utashangaa ukija kusoma hii ukakuta ni sawa kabisa na zile za zamani. Hati chafu ni kama 5% au chini ya hapo kwa nchi nzima.
Hivi kwann tulianimishwa atcl inapata faida wakati sio kweli?
 
wewe naweeeee
Hizo za awamu zingine zilikuaje labda tuanzie hapo

Hivi hii ndio report ya kwanza ya CAG au ndio mmepata upenyu wa kumnanga hayati?

Tulia wabadhirifu wawajibishwe acha maneno
Mbadhilifu wa kwanza amesha wajibishwa na Mungu.
 
QUOTE="BAK, post: 38654230, member: 1397"]
Tulipokuwa tunapiga kelele tangu 2016 kwamba kuna mtu ambaye hakustahili kuwepo Ikulu kwani ni incompetent na mwizi mkubwa kuwahi kutokea nchi hii tuliambiwa sisi ni wachochezi, tunatumiwa na MABEBERU tulikuwa wapigaji sasa upigaji umezuiliwa blah blah blah! Kumbe ni mapenzi ya kweli ya nchi yetu.
Mwizi jiwe aliruka huku na kule kutisha watu na hata kuwaua na akaogopwa na baadhi kuliko hata wanavyomuogopa Mwenyezi Mungu.
Bahati nzuri Mwenyezi Mungu ni Mkubwa akasikia vilio vya Watanzania na kufanya kweli. 🙏🏾
Sasa UOZO wote nje nje!!!! Yale tuliyokuwa tukiyasema kuhusu jambazi jiwe yamedhihirika kwa mara nyingine tena.
[/QUOTE]
Mimi nilipoona tu anavidhibiti vyombo vya habari,vyama vya upinzani na asasi za kiraia za kutetea haki mbalimbali,nikajua basi tumekwisha,kwa sababu hakutakua na transparency,
Kwa sababu vyama vya upinzani,vyombo vya habari na asasi za kiraia Ni watchdogs.
Kwa kiongozi yoyote anaetaka kupambana na rushwa kubwakubwa na ufisadi hizo ndizo tools za kukusaidia kazi kwa kukuinform.
Hebu fikiria kweli mtu unamfukuza Hadi CAG Kama Mussa!
Wafuasi wa Jiwe na Mataga hawaamini kinachotokea.
 
Back
Top Bottom