Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha

Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha

Kulinganisha na miaka mingapi
Nakulinganishia hivi...
1. Miaka 10 ya JK, kulikuwa na makashfa ya kutosha (eg EPA, ESCROW, RICHMOND, RADA etc). Makashfa hayo yote yalisababisha zipigwe 784 Bilioni kwa miaka 10....!!!

2. Lakini kwa awamu ya tano, 1.5T hazikujulikana ziliko NA NI KWA MWAKA MMOJA tuuuuuuuuuuuuu wallah...!!!! Hebu Sikitika kidogo kwakwanza.. @%#$&()*&%#^@...!!!!!

Sasa embu jumlisha na hizi zilizosemwa na CAG wa sasa kwa taarifa ya leo...!!! Zitafika ngapi?

Hivi angepewa mitano tena ingekuwaje?

Wale wa atake asitake, wanaweza wakasimama na kusema lolote?
 
Ripoti ya CAG ni sawa na repoti ya matokeo ya final exams
Sio wote wanapata A, B, C wapo pia wa D, E....... na yote hayo ni matokeo

Tusubiri hati safi na chafu tujue wale walioPass na walioDisco
Kwa maelezo haya, akili ingekuwa ni kiungo cha uzazi, wewe ungekuwa huzai wallah... EMBU KUBALINI UKWELI BASI..!!! Na hapo CAG sio wa CDM...
 
Sukuma Gang wamechanganyikiwa waliifanya nchi kama bustani yao wanajichumia kadri wanavyojisikia.
hatuna ukabila nchi hii acha upumbavu,,,maneno hayo kayaseme kwenye familia yako...sijuw yani goja nikuache tu
 
Wengi wanapiga soga tu hawajasoma ripoti hizo wala hawajui ziko wapi. Wanadandia tu kusudi wapate la kulaumu
Kwani CAG anaposoma ripoti yake, huwa anamsomea nani? Unadhani kwa nini vyombo vya habari vinahusishwa? Anachokisema ndicho tunachokijadili.. KWAMBA WIZARA YA MALIASILI IMEPIGA 34B, yeye ndo katuambia..!! Au unataka tupewe nakala ya ripoti yote ndo tuje tuseme?

Wakati mwingine kubalini ukweli
 
Hivi dada hii Ripoti inahusu Serikali yaMzalendo nNo Moja ,Shujaa was Afrika ,Kipenzi Cha Wanyonge kweeli??
Au ni vibaraka wa Mabeberu wanaona wivu
wewe naweeeee
Hizo za awamu zingine zilikuaje labda tuanzie hapo

Hivi hii ndio report ya kwanza ya CAG au ndio mmepata upenyu wa kumnanga hayati?

Tulia wabadhirifu wawajibishwe acha maneno
 
Ripoti ya CAG ni sawa na repoti ya matokeo ya final exams
Sio wote wanapata A, B, C wapo pia wa D, E....... na yote hayo ni matokeo

Tusubiri hati safi na chafu tujue wale walioPass na walioDisco
Mama D kila mara nakusihi pima mambo kwenye angle zote... Mizaha hii mliitumia kwa shujaa wenu.. Shauri yenu.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
wewe naweeeee
Hizo za awamu zingine zilikuaje labda tuanzie hapo

Hivi hii ndio report ya kwanza ya CAG au ndio mmepata upenyu wa kumnanga hayati?

Tulia wabadhirifu wawajibishwe acha maneno
Ya JK inajulikana... Yaani huyu wenu kapiga haswaa... We mwaka wa kwanza tu ule 1.5T hazikujulikana ziliko... wakati mwenzie JK, miaka 10 zilipigwa 784B... Just do simple comparison mama D... 784 Kwa miaka 10, ni wastani wa 78.4B kwa mwaka.. sasa huyo mnayemtetea yeye 1.5T (1500B, YAANI SAWA NA MARA 19 YA HELA ZILIZOPIGWA KWA MWAKA, WAKATI WA JK) ule mwaka wa kwanza..!!!!! Na hii ripoti ya leo ukizijumlisha, nazo zipo mbali sana na 78.4B ya JK kwa mwaka... TWAFWA ...
 
Alikuwa mtu mwema sana
Alikuwa na upendo sana
Aliwajali wanyonge wote
Hakubagua watu kwa imani zao wala mitazamo yao
Alipendwa sana na watu wote
Hakuwa fisadi
Hakuwa mwizi
Hakuwa mbinafsi
Hakuwa na kiburi
Alikuwa shujaa wa Africa
Msiba wake ulifuatiliwa na watu billion NNE na ushee duniani kote

Mwendazake kafa lakini hataoza, na hata akiona hatanuka na akinuka atanukia marashi
Hahaahhahahaha
 
Shida yetu kubwa ni kwamba tunapojadili haya mambo hatuji na masuluhisho. Na kila mwaka ni yale yale. Upigaji wa kutisha!

Kama jamii tufanye nini ili kuikomesha hali hii? Tunawezaje kuukomesha ufisadi? Kwa nini viongozi wetu wanakuwa hivi? Tufanye nini?

Mwendazake keshalala. Hata tukipopoa mawe na kucharaza bakora kaburi lake hatatusikia. Kimbembe ni kwetu tuliobakia. Ni kweli hatuwezi kuikomesha hali hii?
Mkuu labda unaishi ughaibuni na solution yake sio rocket science,tuwe na TAASISI imara zenye kujitegemea,means police wawe na uwezo wa kujitegemea wa kupeleleza tuhuma na kuzifungulia kesi mahakamani na judiciary iamue kwa haki,hili la kumtegemea no 1 lina matatizo makubwa.
 
Back
Top Bottom