OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mfano unaotoa ni irrelavant kabisa. Kinachozungumzwa hapo ni wewe uache kutoa huduma badala yake umuachie Abood na kampuni yake wewe uingie mitini.Tuliingia mkataba na wewe au Abood? Muwe mnasoma vizuri ripoti sio kukaza shingo tu.Ok mimi umenipa kazi ya kupeleka wafanyakazi ofisini na kurudi umenilipa kwa mwaka mzima
Mabasi yangu nikaona yana shida kidogo nikaenda kuchukua mabasi kwa Aboud bus service mazuri kuliko hata yangu wafanye kazi hiyo ili nisivunje uaminifu wafanyakazi waende na kurudi kazini bila shida kipindi chote cha mkataba na ikawa hivyo wewe shida yako nini hata kama ulinilipa bilioni moja Aboud.nikamlipa milioni mia lakini huduma ulipewa kinsmuuma nini? Mkataba mimi na wewe nimeuvunja wapi? Ulinitaka nikuletee mabasi nimepita kwa bilioni moja sasa huyo third party unamtakia nini? Kazi ikiwa mbovu nilaumu mimi sio huyo third party lakini issue ya kuwa huyo third party nimemlipa kiasi gani non of your business
CAG ni mtu makini sana. Unachosema wewe ni sawa na huyo mkandarasi angepungukiwa mitambo akaenda kukodi kwa wenzie ili apige kazi,kitu ambacho sio issue