Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

juma30

Senior Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
159
Reaction score
459
Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG.

Chanzo: Jambo TV

 

Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG...​


CHANZO. Jambo Tv


kila la heri anaonesha nia ya kusimamisha gogo lenye unene wa pipa peke yake.Ni vema aungwe mkono ingawa ndani ya nia yake kuna nia binafsi.(siasa)
 
Pesa za Umma nyingi kiasi hicho zinapotea na viongozi mnapotezea kama vile halipo kilichotokea, hili halikubaliki.

Naunga mkono HOJA.

Na michango iendelee.
 
Huyu ndiye alikuwa na kikao na Luhaga Mpina hivi karibuni akapewa na kahela ka kuanzia
 
Kitendo Cha kuona kabudi naye kaorodheshwa nimewaza ujinga wa huyo anayeitwa MKULIMA
 
Ila hii nchi eti mkulima, mkulima gani anashindwa kukomaa na mavuno amekuja kukimbizana na walamba asali mjini.
[emoji23][emoji23][emoji23]

My Tanzania
 
Mkulima asubiri kipindi cha kura ya maoni akachukue fomu ya Urais.
 
Huyu msukuma kavimbiwa viazi naona anabwabwaja.... Sasa ngoja ageuziwe kibao yeye kwa kuwachafua watu na heshima zao.
 
Ripoti ya CAG mpaka sasa haijakamilika kulingana na mchakato wa ukaguzi na utakamilika pindi bunge likimaliza kuijadili na kuja na maazimio. Sasa huyo 'tapeli 'atatumiaje nyaraka isiyokamilika kufungua mashtaka? Tupunguze ujuaji watanzania sio kila kitu Cha kujitafutia umaarufu.
 
Back
Top Bottom