Shazili mnali
JF-Expert Member
- Mar 25, 2023
- 362
- 569
Itakua nyuma yake kuna mtu kamtumaKaka mkulima tu yule wa jembe la mkono.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua nyuma yake kuna mtu kamtumaKaka mkulima tu yule wa jembe la mkono.
KWeliNaingana naye, hawa mafisadi wa ccm tukiwachekea watatuvua nguo mchana kweupe
Inamaana kuna baadhi ya watu wameridhika kuibiwa?Huyu msukuma kavimbiwa viazi naona anabwabwaja.... Sasa ngoja ageuziwe kibao yeye kwa kuwachafua watu na heshima zao.
Binafsi nachukia sana wizi na ubadhirifu wa fedha za umma.Inamaana kuna baadhi ya watu wameridhika kuibiwa?
Tatizo la mkulima wa kisukuma katumiwa vibaya...alitakiwa ajiongeze kidogo tu.....ila sasa yeye kaenda mzimamzima kama robotii!!![emoji28]Daah Watanzania akili zenu mnazijua wenyewe yaani mnamlaumu Mkulima anaetaka kufungua kesi kwa ajili ya hela za Umma ambazo wahuni wachache wanafanya mradi wao huku wakiongeza Lundo la Tozo na wizi wa mihamala kwenye vifurushi vya simu...huyo jamaa nipo pamoja nae Uzalendo gani wa kushabikia wizi mkubwa..
Report ya CAG kila mwaka inatoka sio mara ya kwanza na hakuna kinachotokea Mkuu ninyi ni sahihi kumlaumu mtu anaetetea kodi zenu?Tatizo la mkulima wa kisukuma katumiwa vibaya...alitakiwa ajiongeze kidogo tu.....ila sasa yeye kaenda mzimamzima kama robotii!!![emoji28]
Wenye akili zao wamekaa kimya wanavutia timing kusubiria Kamati ya Bunge PAC ikae kujadili ripoti na watu ambao ofisi zao zimehusika.
Hata Rais mwenyewe alionyesha hadharani kukereka na ubadhirifu ulio ibuliwa na ripoti ya CAG na kuahidi kuchukua hatua, ila kwa kuwa Rais wetu ni mtu wa kutenda haki hawezi kukurupuka ndio maana kwanza ana fuatilia kwa umakini Kisha achukue hatua, na baadhi ya maeneo Kesha anza.Report ya CAG kila mwaka inatoka sio mara ya kwanza na hakuna kinachotokea Mkuu ninyi ni sahihi kumlaumu mtu anaetetea kodi zenu?
Ujinga huo siyo wa mkulima pekee. Sukuma gang wote wanatumia nguvu badala ya akili. Si unakumbuka hata mamauzi na vitendo mkurupuko vya "Mungu wao" wa Chato?Tatizo la mkulima wa kisukuma katumiwa vibaya...alitakiwa ajiongeze kidogo tu.....ila sasa yeye kaenda mzimamzima kama robotii!!![emoji28]
Wenye akili zao wamekaa kimya wanavutia timing kusubiria Kamati ya Bunge PAC ikae kujadili ripoti na watu ambao ofisi zao zimehusika.
Jiwe anadaiwa trilioni 1.5 na washirika wake tunawadai trilioni 0.9, jumla ni trilioni 2.4 .Tunamdai mwigulu 1.7 trilioni.
Mkuu unachojua ni kuandika na kusoma tuu bora nimsikilize huyo Mkulima wa Viazi daah Nchi yangu Tanzania imefikia kuwa na Watanzania wasomi wa aina yako aisee kazi tunayo...Hata Rais mwenyewe alionyesha hadharani kukereka na ubadhirifu ulio ibuliwa na ripoti ya CAG na kuahidi kuchukua hatua, ila kwa kuwa Rais wetu ni mtu wa kutenda haki hawezi kukurupuka ndio maana kwanza ana fuatilia kwa umakini Kisha achukue hatua, na baadhi ya maeneo Kesha anza.
Kila mwananchi kakerwa na ubadhirifu hata chama tawala nao wamekerwa na wameitaka Serikali kuchukua hatua.
Sasa huyo mkulima wa viazi katokea nchi gani?!!!!!!
Ukiachana na 1.7 Kuna 1.2 na dola milioni 46 hapo total ni trilioni 3 kwa mwaka Jana tu wa Samia madarakani achana na wizi wa manisapaa itafikia 4.Jiwe anadaiwa trilioni 1.5 na washirika wake tunawadai trilioni 0.9, jumla ni trilioni 2.4 .
Jiwe alikuwa najisi na laana ya taifa
Tofautisha kati ya wizi wa mtu (jiwe) na wizi wa watumishi wa serikali(enzi hizi za rais Samia).Ukiachana na 1.7 Kuna 1.2 na dola milioni 46 hapo total ni trilioni 3 kwa mwaka Jana tu wa Samia madarakani achana na wizi wa manisapaa itafikia 4.
Sasa niambie laana ipo kwa nani maana mwaka mmoja tu wa Samia tumepoteza trilioni 4.
Akikaa miaka mingine itakua hasara ya namna gani??
Sasa hivi Kuna wizi wa trilioni 4 kwa mwaka mmoja tu.Tofautisha kati ya wizi wa mtu (jiwe) na wizi wa watumishi wa serikali(enzi hizi za rais Samia).
Jiwe alikuwa mwizi yeye binafsi.