Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

Chanzo kikubwa Cha upotevu wa fedha za umma ni mikataba mibovu.

Mikataba mibovu inayo ingiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) ndio chimbuko la upigaji.

Mikataba mibovu inayo andaliwa kwa nia ya kupata mgao ndio inayo ididimiza Taifa letu.

Endapo ofisi ya AG itafanya majukumu yake kwa weledi na uzalendo nchi itasonga mbele lkn endapo ofisi ya AG itatumika kama kichaka Cha kupiga dili basi nchi itaangamia kiuchumi.
 
Mkulima!? Mkulima anapata wap nguvu ya kuwashitaki mafisad wakubwa wenye pesa zao. Itakua katumwa uyu
 

Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG...​


CHANZO. Jambo Tv


Hela iliyokwapuliwa ni nyingi mnoo
Mungu aingilie kati
 
Kwakuwa kazi yenu ni kuiba Mali ya hii wananchi subirini mpelekwe vizuri
Umeona Musiba yaliyo mkuta? Sasa anaomba asamehewe.

dawa ya watu kama hawa ni kuwafilisi hadi wakose chakula.

Tabia ya kuchafua watu sio sawa ni ujinga na ulimbukeni ..huyo anaye jiita mkulima atakuja kujutia matamshi yake ya kuwatuhumu na kuwachafua watu.
 
Huyu msukuma kavimbiwa viazi naona anabwabwaja.... Sasa ngoja ageuziwe kibao yeye kwa kuwachafua watu na heshima zao.
Unaugonvi na Wasukuma ?? Au umasikin na ujinga na uozo uloujaza kichwan umekufanya uwe hoehae ?.


Changia, kama hun Hela tuliaa !!.


Kawachafua au CAG kawaweka wazi??.

Taifa likiwa na Raia kama wewe, ni Bora liangamie Kwa mafuriko.
 
Mkulima kakurupuka. Anatumika kama toilet paper.
Kwa sababu wee ni Chadomo na hamna mlichofanya kama wapinzani.

Sasa mnaanza kuona wivu hata Kwa mtu ambaye Kwa uzalenzo wake kaamua kujitutumua tu japo vita ni Kubwa.


Ndomaana Huwa nasema, Afrika na pengine Dunian kite, Upinzani wa TZ ndio Upinzani wa ovyooooo wenye wapuuzi chungu nzima.
 
Ripoti ya CAG mpaka sasa haijakamilika kulingana na mchakato wa ukaguzi na utakamilika pindi bunge likimaliza kuijadili na kuja na maazimio. Sasa huyo 'tapeli 'atatumiaje nyaraka isiyokamilika kufungua mashtaka? Tupunguze ujuaji watanzania sio kila kitu Cha kujitafutia umaarufu.
Ujinga mtupu


Kwan Bunge ndio linakamikisha report ya CAG? Kwamba Bunge ndio litaamua hapa ni sahihi na hapa sio Sahihi??.


Unajielewa kweli???.
 
Umeona Musiba yaliyo mkuta? Sasa anaomba asamehewe.

dawa ya watu kama hawa ni kuwafilisi hadi wakose chakula.

Tabia ya kuchafua watu sio sawa ni ujinga na ulimbukeni ..huyo anaye jiita mkulima atakuja kujutia matamshi yake ya kuwatuhumu na kuwachafua watu.
Kachafua au report ya CAG imeonyesha hivo??.
 
Back
Top Bottom