kila la heri anaonesha nia ya kusimamisha gogo lenye unene wa pipa peke yake.Ni vema aungwe mkono ingawa ndani ya nia yake kuna nia binafsi.(siasa)Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG...
CHANZO. Jambo Tv
Hujitambui wewe sukuma gang ni kina Nani?Hizi ni figisu za sukuma gang