ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Mama akiyabinafsisha mnasema anawauzia Waarabu.Hakuna shirika linaloendeshwa Kwa ufanisi na serikali
Hivi hili shirika lilishawahi ku generate faida?Mama akiyabinafsisha mnasema anawauzia Waarabu.
Mtamula hasara Hadi akili ziwakae sawa ππ
View: https://www.instagram.com/p/DHsrI3nsyDH/?igsh=MXZwaWcyNWg3aWs0ZA==
Na bado hujaelewa, mantiki ya ripoti kwa kiezi minne ambayo shughuli zilisimama kwasababu njia za treni zilisimama. Na hata hivo vichwa vya treni ni vichache. Mantiki kuu watu hawajasafiri, na mapato yakakosekana.NO REFORMS NO ELECTION ili tuingize Viongozi ambao sio wezi wa mali za Umma.
never everHivi hili shirika lilishawahi ku generate faida?
Hakuna shirika la Umma linaloleta faida ukiacha Mabenki.Hivi hili shirika lilishawahi ku generate faida?
Wewe Mtutsi rudi kwenu kwa Kagame ya TZ waachie watz wenyewe!NO REFORMS NO ELECTION ili tuingize Viongozi ambao sio wezi wa mali za Umma.
Hapana anaeupiga mwingi ni yule aliyetoa mabilioni kununua ndege ambazo Hazina Abiria ππππBibi chura kiziwi anaupiga mwingi
Unajaribu kutetea nini?Na bado hujaelewa, mantiki ya ripoti kwa kiezi minne ambayo shughuli zilisimama kwasababu njia za treni zilisimama. Na hata hivo vichwa vya treni ni vichache. Mantiki kuu watu hawajasafiri, na mapato yakakosekana.
Ila pia wafanyakazi wamelipwa hapo.
Ww unadhani hela imeibiwa.πππππ.
Watanzania bwana. Yaani mawazo yako watu wameiba bilion almost 400+ in two yearsπππππ. Aiseee
Huwezi kuelewa kama unaita huko kutete. Kaa kimya sio mada zako hizi. Hayo ni maelezo kwa wanaofatilia na si kusikia.Unajaribu kutetea nini?
Sasa mamako si aache zikae tu kuliko kuendelea kutia hasara?Hapana anaeupiga mwingi ni yule aliyetoa mabilioni kununua ndege ambazo Hazina Abiria ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DHsrI3nsyDH/?igsh=MXZwaWcyNWg3aWs0ZA==
Kwahiyo hapo hakuna wa kulaumiwa?Na bado hujaelewa, mantiki ya ripoti kwa kiezi minne ambayo shughuli zilisimama kwasababu njia za treni zilisimama. Na hata hivo vichwa vya treni ni vichache. Mantiki kuu watu hawajasafiri, na mapato yakakosekana.
Ila pia wafanyakazi wamelipwa hapo.
Ww unadhani hela imeibiwa.πππππ. Na hiyo miezi minne si mfululizo, in 12 months all together ni sawa na miezi minne imepotea. Leo ilisimama keshokutwa ikasimma next month ikasimma siku tatu mfululizo. Vichwa ni viwili cha kuvuta nyuma na mbele kwa week treni ni mara moja. Ingekua inatembea kila siku, au ziko njia hata tatu. Mantiki hayo mapato yangefikika. Tuwaeleweshe kila kitu jamani.
Watanzania bwana. Yaani mawazo yako watu wameiba bilion almost 400+ in two yearsπππππ. Aiseee
Wewe ni kapumbavu sanaHuwezi kuelewa kama unaita huko kutete. Kaa kimya sio mada zako hizi. Hayo ni maelezo kwa wanaofatilia na si kusikia.
Chura kiziwi hamna kitu kabisa nazi koroma haina maji wala nazi yenyeweOfisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema mwaka wa Fedha wa 2023/2024, Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Shilingi bilioni 224 ikilinganishwa na Shilingi bilioni 102 mwaka uliopita.
CAG imesema hasara hiyo imechangiwa na kupungua kwa mapato ya usafirishaji kutokana na uhaba wa vichwa vya treni na mabehewa pamoja na mvua kubwa iliyosababishwa kufungwa kwa njia kwa miezi minne.
My Take
Mama akiyabinafsisha mnasema anauza mali zenu za Watanganyika.
Sas twende hivi hivi Ili Waarabu wasifaidi na nyie Watanganyika mufaidi πππππ
View: https://www.instagram.com/p/DHsrI3nsyDH/?igsh=MXZwaWcyNWg3aWs0ZA==