Ripoti ya CAG: TRC imepata Hasara ya shilingi Bilioni 224. Ni Mara 2 ya mwaka uliopita

Wewe ndio fala na shithole kabisa kwani hujui kuwa kuna ujenzi wa reli na ununuzi wa mabehewa na injini za treni umefanyika mwaka wa fedha uliokaguliwa? Hasara itaendelea kuwepo sana tu mpaka uwekezaji utakapokamilika. Sasa wewe mlima vitunguu huko Mwakareli utaelewa uwekezaji kweli!!?
Wewe nawe ficha ujinga wako huko, kama shirika lilipata pesa, na hiyo pesa ikatumika kuboresha miundombinu yake mingine basi isinge hesabika kuwa shirika limepata hasara,
Badala yake wangesema kuwa shirika limepata faida kiasi fulani, na likatoa kiasi fulani kwa ajili ya uendelezaji wa ujenzi wa reli mpya, kinachopatikana kwenye uwekezaji si hasara, hata kama kimetumika kwenye shughuli nyingine ila kama kilipatikana basi hicho ni faida, hapa inazungumziwa hasara.
 
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema mwaka wa Fedha wa 2023/2024, Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Shilingi bilioni 224 ikilinganishwa na Shilingi bilioni 102 mwaka uliopita.

CAG imesema hasara hiyo imechangiwa na kupungua kwa mapato ya usafirishaji kutokana na uhaba wa vichwa vya treni na mabehewa pamoja na mvua kubwa iliyosababishwa kufungwa kwa njia kwa miezi minne.

Uwasilishaji ripoti ya CAG - Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Pia soma
- Ripoti ya CAG 2021-2022: TRC ilimkataa mzabuni wa Tsh bilion 616.4 na kumpa mzabuni wa tsh trilion 1.119 bila sababu za msingi

My Take
Mama akiyabinafsisha mnasema anauza mali zenu za Watanganyika,tuendelee hivi hivi Ili akili ziwakae sawa.

Naona imekuwa sherehe kubwa ya kupata hasara.

Nchi yetu kama hatutaamua kuwa na nidhamu kwenye dhamana tunazopewa hatutatoboa.

Kweli usemi wa kola mbuzi ale urefu wa kamba yake umetimia.

Mwenye macho haambiwi tazama....na njia ya mtu muongo, ni fupi
 
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema mwaka wa Fedha wa 2023/2024, Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Shilingi bilioni 224 ikilinganishwa na Shilingi bilioni 102 mwaka uliopita.

CAG imesema hasara hiyo imechangiwa na kupungua kwa mapato ya usafirishaji kutokana na uhaba wa vichwa vya treni na mabehewa pamoja na mvua kubwa iliyosababishwa kufungwa kwa njia kwa miezi minne.

Uwasilishaji ripoti ya CAG - Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Pia soma
- Ripoti ya CAG 2021-2022: TRC ilimkataa mzabuni wa Tsh bilion 616.4 na kumpa mzabuni wa tsh trilion 1.119 bila sababu za msingi

My Take
Mama akiyabinafsisha mnasema anauza mali zenu za Watanganyika,tuendelee hivi hivi Ili akili ziwakae sawa.
Huyo bibi ni mwizi na hapo anatengeza mazingira ya kutaka kulibinafdisha kwa merchants wa Kiburushi.
TRC ilimkataa mzabuni(kwa mujibu wa maelezo yako) wa TSh billion 616.4 na kumpa mzabuni wa TSh trillion 1.119 hili bila mkono wa serikali lisingewezekana otherwise wahusika wa utoaji tender hiyo wangekuwa wako 'mikono salama'.
 
TRC wako kwenye phase ya kujenga reli itakayodumu miaka 150, kununua mabehewa na injini yaani ni uwekezaji wa matrillioni unategemea wapate faida leo!!?
Jielimieshe kidogo juu ya elimu kuhusu taarifa za fedha, upate maarifa yatakayokuwezesha kuchangia kwa tija juu ya mambo haya.

Hasara au faida kwa taasisi au kampuni tunazungumzia "perfomance". Katika kipindi cha miezi kumi na mbili (mwaka) tunalinganisha mapato "revenue/turnover" yaliyopatikana kwa kipindi hiko dhidi ya matumizi "expenses" yaliyotumika katika kuendesha shughuli za kampuni. Kukabiliana na hali hiyo, jitihada za makusudi zinahitajika kuhakikikisha mapato yanaongezeka huku matumizi zikishushwa, faida itapatikana.

Gharama za reli, mabehewa na injini hazijumuishwi katika kukokotoa faida au hasara, hizo gharama hujumuishwa katika kukokotoa mali za shirika.
 
Huyo bibi ni mwizi na hapo anatengeza mazingira ya kutaka kulibinafdisha kwa merchants wa Kiburushi.
TRC ilimkataa mzabuni(kwa mujibu wa maelezo yako) wa TSh billion 616.4 na kumpa mzabuni wa TSh trillion 1.119 hili bila mkono wa serikali lisingewezekana otherwise wahusika wa utoaji tender hiyo wangekuwa wako 'mikono salama'.
Weka faida kabla ya huyo Bibi
 
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema mwaka wa Fedha wa 2023/2024, Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Shilingi bilioni 224 ikilinganishwa na Shilingi bilioni 102 mwaka uliopita.

CAG imesema hasara hiyo imechangiwa na kupungua kwa mapato ya usafirishaji kutokana na uhaba wa vichwa vya treni na mabehewa pamoja na mvua kubwa iliyosababishwa kufungwa kwa njia kwa miezi minne.

Uwasilishaji ripoti ya CAG - Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Pia soma
- Ripoti ya CAG 2021-2022: TRC ilimkataa mzabuni wa Tsh bilion 616.4 na kumpa mzabuni wa tsh trilion 1.119 bila sababu za msingi

My Take
Mama akiyabinafsisha mnasema anauza mali zenu za Watanganyika,tuendelee hivi hivi Ili akili ziwakae sawa.
Solution sio kuyauza solution ni kuacha kuajiri watu kwa vigezo vya kadi za ccm na kuajiri watu kwa vigezo vya uwezo. Wewe unakuwa na watu kama kina kitila professor wa kiswahili ndio anaadaa dira ya taifa . Halafu eti utegemee nchi isonge mbele?
 
Mizigo ipi hiyo? 70 % ya mizigo ya Bandari ya Dar inaenda Sadc njia ya Tunduma,huko kwingine mtabeba nini cha maana mpate faida?
Are you mad? Unataka lipi? Kongo ipo SADAC na East African Community.
Uganda, Rwanda,Burundi,SouthSudan zipo EAC.
Kuna haja ya kurudisha somo la maarifa hata kwa watu wazima wasiojitambua.
AI ukashindwa kuitumia mmmh kazi kweli kweli.
 
Wewe fala nimekwambia mizigo 70% inapitia njia ya Tunduma.

Mtamula hasara Hadi mkome na mjifunze kukoma kukurupuka
 
Huna takwimu,mimi sitoi matusi, rudi darasani ujifunze A,E,I,O.
Wajunga ndio waliwao.
 
Jielimieshe kidogo juu ya elimu kuhusu taarifa za fedha, upate maarifa yatakayokuwezesha kuchangia kwa tija juu ya mambo haya.

Hasara au faida kwa taasisi au kampuni tunazungumzia "perfomance". Katika kipindi cha miezi kumi na mbili (mwaka) tunalinganisha mapato "revenue/turnover" yaliyopatikana kwa kipindi hiko dhidi ya matumizi "expenses" yaliyotumika katika kuendesha shughuli za kampuni. Kukabiliana na hali hiyo, jitihada za makusudi zinahitajika kuhakikikisha mapato yanaongezeka huku matumizi zikishushwa, faida itapatikana.

Gharama za reli, mabehewa na injini hazijumuishwi katika kukokotoa faida au hasara, hizo gharama hujumuishwa katika kukokotoa mali za shirika.
Bwana Orosso unataka kuniambia costs za investment haziingizwi kwenye Balance Sheet na Financial Statement ya shirika?
 
Back
Top Bottom