Ripoti ya CAG: TRC imepata Hasara ya shilingi Bilioni 224. Ni Mara 2 ya mwaka uliopita

Ripoti ya CAG: TRC imepata Hasara ya shilingi Bilioni 224. Ni Mara 2 ya mwaka uliopita

Haya mashirika hela zipo ni wao wanashi dwa kuzifuata...huwezi kunikalisha Njiani 4hrs kisa umeme then utegemee upate hela.
SGR ,DSM-DOM kuna pesa ya maana sana..waweke vichwa vyao chini chini...kuna hela..hapo uwekwe ushindani waje waone kazi yake.

Miungu watu wachache tu wanaotaka kuabudiwa.
 
Nilidhani zimeliwa, kumbe shida ni mvua, sasa nani ataweza kuzuia kazi ya Mungu kuleta mvua, ndio maana tunakaza buti na reli mpya ambayo haitaathirika na mvua
Shida ya watu weusi ni kutumia akili nyingi sana kwa mambo ya kipumbavu na ufisadi
 
Mizigo ipi hiyo? 70 % ya mizigo ya Bandari ya Dar inaenda Sadc njia ya Tunduma,huko kwingine mtabeba nini cha maana mpate faida?
My dear friend may be you dont understand the economic dynamics of East, Central Africa, however your survival and my survival depends on how we see it how we investigate aka research and how we implement it.
Political drop about party of yours will not and can not they are mercenaries. Employed by Belgium imperialist,compromised as Motse Shombe and Kasabubu of present DRC congo former Congo Repodiville.
 
Siyo Hilo tu mashirika yote tena yameongeza hasara sasa hv Kila mwaka wanaongeza hasara Hela zetu zinapotea tu
Kwa maana nyingine hao walioko kwenye vitengo wanatakiwa wapishe watu wengine wafanye hizo kazi
 
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema mwaka wa Fedha wa 2023/2024, Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Shilingi bilioni 224 ikilinganishwa na Shilingi bilioni 102 mwaka uliopita.

CAG imesema hasara hiyo imechangiwa na kupungua kwa mapato ya usafirishaji kutokana na uhaba wa vichwa vya treni na mabehewa pamoja na mvua kubwa iliyosababishwa kufungwa kwa njia kwa miezi minne.

Uwasilishaji ripoti ya CAG - Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Pia soma
- Ripoti ya CAG 2021-2022: TRC ilimkataa mzabuni wa Tsh bilion 616.4 na kumpa mzabuni wa tsh trilion 1.119 bila sababu za msingi

My Take
Mama akiyabinafsisha mnasema anauza mali zenu za Watanganyika,tuendelee hivi hivi Ili akili ziwakae sawa.
Huyu mama ni tatizo kubwa
 
Kwa hili deni kubwa la Taifa, nikisikia mama ameolewa Uingereza sitashangaa
 
Kuna mambo mawili tofauti hapa TRC ina SGR ambayo haijakamilika na inategemea kupata mapato makubwa kutokana na mabehewa ya mizigo.

Pili kuna ukarabati wa Meter gauge train ambao nao haujakamilika kutokana kwamba miundo mbinu mingi ili KUFA baada ya shirika kusitiza huduma.

Tatu kuna ujasusi wa uchumi kutoka nchi mmoja ya jirani inayodaiwa na taasisi mbali mbali duniani madeni makubwa sana ya kuuza nchi yao hata kutawaliwa.

Mwisho nampongeza Raisi M7 wa Uganda kwa nia yako safi ya kutambua mchango wa Tanzania katika kuikomboa Uganda tokea kwa Amin.
Sasa tuna bomba la mafuta crude oil kukamilikaa kwake Tanzania ndio munufaika mkubwa.
Ujenzi wa reli kutokea Tanga hadi Musoma kama njia mbadala ya kusafirisha mizigo ya Uganda.
Na wakati huo tutasafirisha Magadi soda,na Minjingu Phosphate kupitia Tanga Port.

Na mwisho mradi wa Saudia wa kujenga na kuendesha Bwagamoyo Port kisasa ndio tutapata mapato makubwa.
Huko Marekani Saudia ndio muekezaji mkubwa hadi Silcon Valley.
Eti mjinga mbwakokoo anadai Bwagamoyo imeuzwa complete nonsense.
Leta maelezo tukupe upanga wa Solmon
Sijui umeongea nini yaani umechanganya mashudu na mchele humohumo..
 
Kwanini wanazunguka si waseme zimepigwa?
Eti moja ya hasara ni kutokuwa na vichwa vya kutosha.
Kwa hiyo kama hakuna vichwa hasara inatoka wapi?
Nyingine ya mvua ya miezi 4
Hiyo mvua inajaa Stesheni mpaka wasafiri wanagoma kupanda
Au reli hazipitiki?
Ina maana unaleta treni na ujenzi wa reli ila akili ya kusema je ikinyesha hakuna eti

Hakuna watu wapole Kama wabongo
 
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema mwaka wa Fedha wa 2023/2024, Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Shilingi bilioni 224 ikilinganishwa na Shilingi bilioni 102 mwaka uliopita.

CAG imesema hasara hiyo imechangiwa na kupungua kwa mapato ya usafirishaji kutokana na uhaba wa vichwa vya treni na mabehewa pamoja na mvua kubwa iliyosababishwa kufungwa kwa njia kwa miezi minne.

Uwasilishaji ripoti ya CAG - Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Pia soma
- Ripoti ya CAG 2021-2022: TRC ilimkataa mzabuni wa Tsh bilion 616.4 na kumpa mzabuni wa tsh trilion 1.119 bila sababu za msingi

My Take
Mama akiyabinafsisha mnasema anauza mali zenu za Watanganyika,tuendelee hivi hivi Ili akili ziwakae sawa.
Haya ndio mambo ya msingi ya kujadili sasa kuhusu hawa mafisadi ambao hawakamatiki kila mwaka wanapiga pesa zaidi ya mwaka jana. Je, tunatokaje hapa? Au tuendelee kuwaachia Yanga wakibishana hatuchezi?
 
Back
Top Bottom