Ripoti ya CAG: TRC imepata Hasara ya shilingi Bilioni 224. Ni Mara 2 ya mwaka uliopita

Ripoti ya CAG: TRC imepata Hasara ya shilingi Bilioni 224. Ni Mara 2 ya mwaka uliopita

Jielimieshe kidogo juu ya elimu kuhusu taarifa za fedha, upate maarifa yatakayokuwezesha kuchangia kwa tija juu ya mambo haya.

Hasara au faida kwa taasisi au kampuni tunazungumzia "perfomance". Katika kipindi cha miezi kumi na mbili (mwaka) tunalinganisha mapato "revenue/turnover" yaliyopatikana kwa kipindi hiko dhidi ya matumizi "expenses" yaliyotumika katika kuendesha shughuli za kampuni. Kukabiliana na hali hiyo, jitihada za makusudi zinahitajika kuhakikikisha mapato yanaongezeka huku matumizi zikishushwa, faida itapatikana.

Gharama za reli, mabehewa na injini hazijumuishwi katika kukokotoa faida au hasara, hizo gharama hujumuishwa katika kukokotoa mali za shirika.
Bwana Orosso unataka kuniambia cost za investment haziingizwi kwenye balance sheet na Financial Statement ya shirika?
Wewe nawe ficha ujinga wako huko, kama shirika lilipata pesa, na hiyo pesa ikatumika kuboresha miundombinu yake mingine basi isinge hesabika kuwa shirika limepata hasara,
Badala yake wangesema kuwa shirika limepata faida kiasi fulani, na likatoa kiasi fulani kwa ajili ya uendelezaji wa ujenzi wa reli mpya, kinachopatikana kwenye uwekezaji si hasara, hata kama kimetumika kwenye shughuli nyingine ila kama kilipatikana basi hicho ni faida, hapa inazungumziwa hasara.
Wewe ndio mjinga kabisa. Ukifanya investment lazima costs kwa muda fulani ziongezeke, kwa mfano TRC imeajiri wafanyakazi zaidi, matumizi ya umeme, services za injini, mabehewa n.k. wakati mapato hayaongezeki sana, TRC bado hawajaanza safari za mizigo ambazo ndizo zinafaida zaidi ya abiria. Pia kumbuka usafiri wa train duniani kote huwa ni huduma faida yake inapatika kwa kuchochea faida kwenye sector nyingine.
 
Swaga ya kuingia kwenye kutafuta madaraka hii...😍😍😍😍
 
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema mwaka wa Fedha wa 2023/2024, Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Shilingi bilioni 224 ikilinganishwa na Shilingi bilioni 102 mwaka uliopita.

CAG imesema hasara hiyo imechangiwa na kupungua kwa mapato ya usafirishaji kutokana na uhaba wa vichwa vya treni na mabehewa pamoja na mvua kubwa iliyosababishwa kufungwa kwa njia kwa miezi minne.

Uwasilishaji ripoti ya CAG - Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Pia soma
- Ripoti ya CAG 2021-2022: TRC ilimkataa mzabuni wa Tsh bilion 616.4 na kumpa mzabuni wa tsh trilion 1.119 bila sababu za msingi

My Take
Mama akiyabinafsisha mnasema anauza mali zenu za Watanganyika,tuendelee hivi hivi Ili akili ziwakae sawa.
Kulikobinafisishwa ,mpaka sasa tija yake ipo wapi,
 
CC Pascal Mayalla
 
Mkuu ChoiceVariable , naunga mkono hoja kwenye mada yako hii Ripoti ya CAG: TRC imepata Hasara ya shilingi Bilioni 224. Ni Mara 2 ya mwaka uliopita
Mkuu Ngali, Ngalikihinja , asante kuni tag!, hili nimeiona and its not news to me kwasababu hili la hasara, nililiona kitambo, nikashauri kwa kuliandika Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...

Tulipobinafshisha bandari kwa DPW, nikashauri tena kuhusu SGR, ATCL na DART Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?

P
 
Back
Top Bottom