Na bado hujaelewa, mantiki ya ripoti kwa kiezi minne ambayo shughuli zilisimama kwasababu njia za treni zilisimama. Na hata hivo vichwa vya treni ni vichache. Mantiki kuu watu hawajasafiri, na mapato yakakosekana.
Ila pia wafanyakazi wamelipwa hapo.
Ww unadhani hela imeibiwa.😂😂😂😂😂. Na hiyo miezi minne si mfululizo, in 12 months all together ni sawa na miezi minne imepotea. Leo ilisimama keshokutwa ikasimma next month ikasimma siku tatu mfululizo. Vichwa ni viwili cha kuvuta nyuma na mbele kwa week treni ni mara moja. Ingekua inatembea kila siku, au ziko njia hata tatu. Mantiki hayo mapato yangefikika. Tuwaeleweshe kila kitu jamani.
Watanzania bwana. Yaani mawazo yako watu wameiba bilion almost 400+ in two years😂😂😂😂😂. Aiseee