Watanzania sio wajinga kama mnavyofikiria.Na bado hujaelewa, mantiki ya ripoti kwa kiezi minne ambayo shughuli zilisimama kwasababu njia za treni zilisimama. Na hata hivo vichwa vya treni ni vichache. Mantiki kuu watu hawajasafiri, na mapato yakakosekana.
Ila pia wafanyakazi wamelipwa hapo.
Ww unadhani hela imeibiwa.πππππ. Na hiyo miezi minne si mfululizo, in 12 months all together ni sawa na miezi minne imepotea. Leo ilisimama keshokutwa ikasimma next month ikasimma siku tatu mfululizo. Vichwa ni viwili cha kuvuta nyuma na mbele kwa week treni ni mara moja. Ingekua inatembea kila siku, au ziko njia hata tatu. Mantiki hayo mapato yangefikika. Tuwaeleweshe kila kitu jamani.
Watanzania bwana. Yaani mawazo yako watu wameiba bilion almost 400+ in two yearsπππππ. Aiseee
Zikikaa tuu ndio zitapunguza hasara au kuwa scrappers ?Sasa mamako si aache zikae tu kuliko kuendelea kutia hasara?
By the way, kumbe hata hii awamu mnapata hasara?
Excuses ya kufichia uzembe na ujingaNilidhani zimeliwa, kumbe shida ni mvua, sasa nani ataweza kuzuia kazi ya Mungu kuleta mvua, ndio maana tunakaza buti na reli mpya ambayo haitaathirika na mvua
Awamu ya 5 Ya Chuma ATCL na TRC zilikuwa zinapata faida πππππChura kiziwi hamna kitu kabisa nazi koroma haina maji wala nazi yenyewe
Kwahiyo Makalla ndiye amewaambia mje na hoja hizo za ukabila?!Wewe Mtutsi rudi kwenu kwa Kagame ya TZ waachie watz wenyewe!
Mtajua hamjui π πImebakia kubinafsisha wake na familia zenu msaidiwe kuziendesha.
CHADEMA, CHADEMA , CHADEMA ndo wamesababisha haya yote!!!Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema mwaka wa Fedha wa 2023/2024, Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Shilingi bilioni 224 ikilinganishwa na Shilingi bilioni 102 mwaka uliopita.
CAG imesema hasara hiyo imechangiwa na kupungua kwa mapato ya usafirishaji kutokana na uhaba wa vichwa vya treni na mabehewa pamoja na mvua kubwa iliyosababishwa kufungwa kwa njia kwa miezi minne.
Uwasilishaji ripoti ya CAG, soma Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Pia soma
- Ripoti ya CAG 2021-2022: TRC ilimkataa mzabuni wa Tsh bilion 616.4 na kumpa mzabuni wa tsh trilion 1.119 bila sababu za msingi
My Take
Mama akiyabinafsisha mnasema anauza mali zenu za Watanganyika.
Mizigo ipi hiyo? 70 % ya mizigo ya Bandari ya Dar inaenda Sadc njia ya Tunduma,huko kwingine mtabeba nini cha maana mpate faida?Kuna mambo mawili tofauti hapa TRC ina SGR ambayo haijakamilika na inategemea kupata mapato makubwa kutokana na mabehewa ya mizigo.
Pili kuna ukarabati wa Meter gauge train ambao nao haujakamilika kutokana kwamba miundo mbinu mingi ili KUFA baada ya shirika kusitiza huduma.
Tatu kuna ujasusi wa uchumi kutoka nchi mmoja ya jirani inayodaiwa na taasisi mbali mbali duniani madeni makubwa sana ya kuuza nchi yao hata kutawaliwa.
Mwisho nampongeza Raisi M7 wa Uganda kwa nia yako safi ya kutambua mchango wa Tanzania katika kuikomboa Uganda tokea kwa Amin.
Sasa tuna bomba la mafuta crude kukamika kwake Tanzania ndie munufaika mkubwa.
Ujenzi wa reli kutokea Tanga hadi Musoma kama njia mbadala ya kusafirisha mizigo ya Uganda.
Na mwisho mradi wa Saudia wa kujenga na kuendesha Bwagamoyo Port kisasa ndio tutapata mapato makubwa.
Huko Marekani Saudia ndio muekezaji mkubwa hadi Silcon Valley.
Eti mjinga mbwako anadai Bwagamoyo imeuzwa complete nonsense.
Jpm alikuwa ni janga. Hakuna shirika linawweza kuendeshwa na serikali lika succeed labda wafiche tu takwimu kama jpm alivyokuwa anafanya. Nxo mana marekani akina elon musk ndo wanaoendesha uchumi wa nchi (ppp)ATCL ndio majanga zaidi. Tunachoweza labda ni kukopa tu kwa mabeberu.
Hivi wewe kwa akili yako mashirika ya TRC na ATCL yako kwenye phase ya kufufuliwa unategemea yapate faida leo!! Una akili za kibiashara kweli wewe mkuu?Hakuna shirika la Umma linaloleta faida ukiacha Mabenki.
Wewe ndio fala na zero brain kabisa,Kwa nini hasara iongezeke badala ya kupungua?Hivi wewe kwa akili yako mashirika ya TRC na ATCL yako kwenye phase ya kufufuliwa unategemea yapate faida leo!! Una akili za kibiashara kweli wewe mkuu?
TRC wako kwenye phase ya kujenga reli itakayodumu miaka 150, kununua mabehewa na injini yaani ni uwekezaji wa matrillioni unategemea wapate faida leo!!?
Itachukua muda si chini ya miaka 20 ndio utegemee faida tena kwa kufanyakazi kweli kweli. ATCL wamenunua ndege karibu 12 mpya ambazo lifetime zake si chini ya miaka 50 unategemea wapata faida leo!!?
Uwekezaji uliofanywa kwenye TRC na ATCL utaanza kuonyesha mwelekeo wa faida ya moja kwa moja baada ya miaka 20 ijayo ila kuchochea faida kwenye sector zingine hata sasa hivi zinachangia kwa kiasi kikubwa tu.
Ndege hazina abiria mkuu? Au kwa kuwa wewe husafiri na ATCL ndio maana unasema hivyo.Hapana anaeupiga mwingi ni yule aliyetoa mabilioni kununua ndege ambazo Hazina Abiria ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DHsrI3nsyDH/?igsh=MXZwaWcyNWg3aWs0ZA==
Sasa unabisha nini? Wangapi Wana uwezo wa kusafiri na ndege?Ndege hazina abiria mkuu? Au kwa kuwa wewe husafiri na ATCL ndio maana unasema hivyo.
Na bado hujaelewa, mantiki ya ripoti kwa kiezi minne ambayo shughuli zilisimama kwasababu njia za treni zilisimama. Na hata hivo vichwa vya treni ni vichache. Mantiki kuu watu hawajasafiri, na mapato yakakosekana.
Ila pia wafanyakazi wamelipwa hapo.
Ww unadhani hela imeibiwa.πππππ. Na hiyo miezi minne si mfululizo, in 12 months all together ni sawa na miezi minne imepotea. Leo ilisimama keshokutwa ikasimma next month ikasimma siku tatu mfululizo. Vichwa ni viwili cha kuvuta nyuma na mbele kwa week treni ni mara moja. Ingekua inatembea kila siku, au ziko njia hata tatu. Mantiki hayo mapato yangefikika. Tuwaeleweshe kila kitu jamani.
Watanzania bwana. Yaani mawazo yako watu wameiba bilion almost 400+ in two yearsπππππ. Aiseee
Wewe ndio fala na shithole kabisa kwani hujui kuwa kuna ujenzi wa reli na ununuzi wa mabehewa na injini za treni umefanyika mwaka wa fedha uliokaguliwa? Hasara itaendelea kuwepo sana tu mpaka uwekezaji utakapokamilika. Sasa wewe mlima vitunguu huko Mwakareli utaelewa uwekezaji kweli!!?Wewe ndio fala na zero brain kabisa,Kwa nini hasara iongezeke badala ya kupungua?
Tupo wengi tu sisi wanakanda ya ziwa wewe mlima vitunguu endelea kupanda Mabus tuSasa unabisha nini? Wangapi Wana uwezo wa kusafiri na ndege?