Ripoti ya CAG: TRC imepata Hasara ya shilingi Bilioni 224. Ni Mara 2 ya mwaka uliopita

Haya mashirika hela zipo ni wao wanashi dwa kuzifuata...huwezi kunikalisha Njiani 4hrs kisa umeme then utegemee upate hela.
SGR ,DSM-DOM kuna pesa ya maana sana..waweke vichwa vyao chini chini...kuna hela..hapo uwekwe ushindani waje waone kazi yake.

Miungu watu wachache tu wanaotaka kuabudiwa.
 
Nilidhani zimeliwa, kumbe shida ni mvua, sasa nani ataweza kuzuia kazi ya Mungu kuleta mvua, ndio maana tunakaza buti na reli mpya ambayo haitaathirika na mvua
Shida ya watu weusi ni kutumia akili nyingi sana kwa mambo ya kipumbavu na ufisadi
 
Mizigo ipi hiyo? 70 % ya mizigo ya Bandari ya Dar inaenda Sadc njia ya Tunduma,huko kwingine mtabeba nini cha maana mpate faida?
My dear friend may be you dont understand the economic dynamics of East, Central Africa, however your survival and my survival depends on how we see it how we investigate aka research and how we implement it.
Political drop about party of yours will not and can not they are mercenaries. Employed by Belgium imperialist,compromised as Motse Shombe and Kasabubu of present DRC congo former Congo Repodiville.
 
Siyo Hilo tu mashirika yote tena yameongeza hasara sasa hv Kila mwaka wanaongeza hasara Hela zetu zinapotea tu
Kwa maana nyingine hao walioko kwenye vitengo wanatakiwa wapishe watu wengine wafanye hizo kazi
 
Huyu mama ni tatizo kubwa
 
Kwa hili deni kubwa la Taifa, nikisikia mama ameolewa Uingereza sitashangaa
 
Sijui umeongea nini yaani umechanganya mashudu na mchele humohumo..
 
Kwanini wanazunguka si waseme zimepigwa?
Eti moja ya hasara ni kutokuwa na vichwa vya kutosha.
Kwa hiyo kama hakuna vichwa hasara inatoka wapi?
Nyingine ya mvua ya miezi 4
Hiyo mvua inajaa Stesheni mpaka wasafiri wanagoma kupanda
Au reli hazipitiki?
Ina maana unaleta treni na ujenzi wa reli ila akili ya kusema je ikinyesha hakuna eti

Hakuna watu wapole Kama wabongo
 
Haya ndio mambo ya msingi ya kujadili sasa kuhusu hawa mafisadi ambao hawakamatiki kila mwaka wanapiga pesa zaidi ya mwaka jana. Je, tunatokaje hapa? Au tuendelee kuwaachia Yanga wakibishana hatuchezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…