Ripoti ya CAG: TRC imepata Hasara ya shilingi Bilioni 224. Ni Mara 2 ya mwaka uliopita

Bwana Orosso unataka kuniambia cost za investment haziingizwi kwenye balance sheet na Financial Statement ya shirika?
Wewe ndio mjinga kabisa. Ukifanya investment lazima costs kwa muda fulani ziongezeke, kwa mfano TRC imeajiri wafanyakazi zaidi, matumizi ya umeme, services za injini, mabehewa n.k. wakati mapato hayaongezeki sana, TRC bado hawajaanza safari za mizigo ambazo ndizo zinafaida zaidi ya abiria. Pia kumbuka usafiri wa train duniani kote huwa ni huduma faida yake inapatika kwa kuchochea faida kwenye sector nyingine.
 
Swaga ya kuingia kwenye kutafuta madaraka hii...😍😍😍😍
 
Kulikobinafisishwa ,mpaka sasa tija yake ipo wapi,
 
CC Pascal Mayalla
 
Mkuu ChoiceVariable , naunga mkono hoja kwenye mada yako hii Ripoti ya CAG: TRC imepata Hasara ya shilingi Bilioni 224. Ni Mara 2 ya mwaka uliopita
Mkuu Ngali, Ngalikihinja , asante kuni tag!, hili nimeiona and its not news to me kwasababu hili la hasara, nililiona kitambo, nikashauri kwa kuliandika Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...

Tulipobinafshisha bandari kwa DPW, nikashauri tena kuhusu SGR, ATCL na DART Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…