Ripoti ya CAG, ufisadi kwenye ubalozi wa Sweden. Je, CAG ameamua kumchafua Dkt. Slaa?

Kipindi Wanafanya Ukarabati wangekuwa wamekaa wapi? Wao wawape fedha za Ukarabati, wakarabati basi.

Kupanga bado hakuepukiki Kama Makazi yanahitaji kukarabatiwa. Ukikarabati lazima upishe Ukarabati.

Kama nimepanga kutokana na ubovu wa miundombinu, na hujaniwezesha fedha za kukarabati hiyo miundombinu yenyewe nitapanga tu. We karabati, nikiendelea kupanga nilime hoja. Lakini bila kukarabati afu unanilima hoja, ni upishi wa hoja.

Hicho ni kiashiria Cha hoja, ambacho serikali inatakiwa kukiondoa kwa kutoa fedha za Ukarabati. Basi.

Labda ingekuw hivi, "Pamoja na Nchi yetu kutumia fedha kadhaa kukarabati nyumba za ubalozi wa Tanzania nchini A, B, C lakn bado Mabalozi katika nchi hizo wameendelea kuishi katika nyumba za kupanga. Jambo hilo limeiingizia serikali hasara ya kiasi Cha shilingi ......!". Hiyo ndo hoja.

Lakn Kama hoja iko Kama alivyoiwasilisha, inaibana Serikali na siyo Dr. Slaa!

Lugumya.

Sent using Jamii Forums mobile app

..Jengo linaweza kukarabatiwa bila watumiaji / wapangaji kuhama.

..Kwa mfano, wewe unapoamua kupaka nyumba yako rangi na kufanya marekebisho mengine, je huwa unahama?

..Pia huwezi kusema inayopaswa kulaumiwa ni serikali. Hapo utakuwa unakosea. Wanaopaswa kulaumiwa ni watendaji au wahusika walioko ktk nafasi za kutoa maamuzi.

..Dr.Slaa anatakiwa atoe MAJIBU ya nini kimesababisha hali hiyo, na amechukua hatua gani kurekebisha.
 
Sema maccm wengi ni wapumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga na upimbav hapo ulipo unasomeshwa na maCCM, kama sio wewe wadogo zako, na kama sio watoto wako. Unadhani akiingia huyo baba yako mwenye makengeza ndo nchi itatema maziwa na asali. Fanya kazi ujikwamue kiuchumi.

Kwa akili yako, kwanini mzee Sabodo alikataa kuwapa jengo la owrld cinema kama makao makuu yenu muondoke uchochoroni kwenye kabila la Rukwa, ni kwanini alikata ule msaada wa mamilion ya pesa kuchimba visima. Kwa sababu ya ufisadi. Unashindwa kutambua ufisadi hauna chama wala itikadi na unaliangamiza taifa
 
Dr. Slaa atakuwa kafanya matumizi mabaya ya fedha, atarudishwa nyumbani sasa hv.
 
Kitendo cha Dr. Slaa kuondoka ccm bado kinawauma Chadema kibaya zaidi huyo mtu waliyemchua amesharudi ccm lakini kama kawaida badala ya Chadema kukaa na kutafakari wapi walikosea wameamua bado kupambana na Dr. Slaa kwa kifupi chadema wao wanajiona wanajua kila kitu.
Kuna mtu alipotoa post ya kutamani Corona ije iwamalize ccm ni wazi alikuwa anaonyesha upeo wa wafuasi wengi wa Chadema ulivyo bahati mbaya Corona imeingia na kuleta madhara bla kujali ni watu wa chama gani
 
Acheni ujinga, ufisadi inaweza kuwa ulifanyika miaka 3 hadi 5 nyuma na huyo Slaa inawezekana ndiye mpuliza kipenga (whistle blower) wa hiyo issue. Mnadandia treni kwa mbele bila kusoma undani wa reporti. Watanzania wengi wapumbav sana.
Watanzania wengi wapumbavu hasa wewe
 
Nyerere alinunua nyumba nyingi sana kwenye balozi zetu mfano London wana nyumba nyingi ila ata kupaka rangi hawapaki...wafrika ni mwafrika tu
 
Acheni ujinga, ufisadi inaweza kuwa ulifanyika miaka 3 hadi 5 nyuma na huyo Slaa inawezekana ndiye mpuliza kipenga (whistle blower) wa hiyo issue. Mnadandia treni kwa mbele bila kusoma undani wa reporti. Watanzania wengi wapumbav sana.
Wewe ndio mjinga namba moja, soma hiyo habari hapo chini kwanza ndipo uropoke

VIDEO: Bilioni 1 ilivyotumika kukodi makazi ya balozi tatu

Kwa ufupi
  • CAG Kichere amesema kiasi hicho cha fedha kingeweza kuepukika kama Balozi hizo zingekarabati nyumba zao za makazi
ADVERTISEMENT

By Peter Elias, Mwananchi pelias@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi wake unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm/Sweden zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi.

Kichere ameyasema hayo leo Machi 26 jijini Dodoma wakati akiwasilisha ripoti yake kwa Rais John Magufuli ya ukaguzi wa mwaka 2018/19.
Kichere amesema kiasi hicho cha fedha kingeweza kuepukika kama balozi hizo zingekarabati nyumba zao za makazi.

Pia, Kichere amesema katika ukaguzi wake amebaini kwamba balozi 14 za Tanzania zina majengo ambayo yametelekezwa, hivyo ameshauri majengo hayo kukarabatiwa ili kuokoa fedha ambazo zinatumika kukodi nyumba.

Amezitaja baadhi ya balozi hizo kuwa ni pamoja na Canada, Burundi, Kenya, Sweden na Algeria.
 
Acheni ujinga, ufisadi inaweza kuwa ulifanyika miaka 3 hadi 5 nyuma na huyo Slaa inawezekana ndiye mpuliza kipenga (whistle blower) wa hiyo issue. Mnadandia treni kwa mbele bila kusoma undani wa reporti. Watanzania wengi wapumbav sana.
Kama watanzania ni wapumbavu na wewe Ni BONGE LA MKUNDUNYAU KUBSBAKO [emoji855][emoji855][emoji855]

Sent from my TECNO F2LTE using JamiiForums mobile app
 
Acha ujinga na upimbav hapo ulipo unasomeshwa na maCCM, kama sio wewe wadogo zako, na kama sio watoto wako. Unadhani akiingia huyo baba yako mwenye makengeza ndo nchi itatema maziwa na asali. Fanya kazi ujikwamue kiuchumi.

Kwa akili yako, kwanini mzee Sabodo alikataa kuwapa jengo la owrld cinema kama makao makuu yenu muondoke uchochoroni kwenye kabila la Rukwa, ni kwanini alikata ule msaada wa mamilion ya pesa kuchimba visima. Kwa sababu ya ufisadi. Unashindwa kutambua ufisadi hauna chama wala itikadi na unaliangamiza taifa

Wewe mburulas mbona unaongea ujinga? Tangu lini Ma-FisiCCM wakasomesha watu?
Kodi zetu ndo zinazo somesha Watz.. !
Tunajua Sabodo alisimamisha misaada na kutoa jengo la World Cinema kama ofisi za CHADEMA baada ya kupewa vitisho na Maficcm kuwa biashara zake zingefilisiwa na TRA kwa Kodi za kubambikiwa!
 
Kitendo cha Dr. Slaa kuondoka ccm bado kinawauma Chadema kibaya zaidi huyo mtu waliyemchua amesharudi ccm lakini kama kawaida badala ya Chadema kukaa na kutafakari wapi walikosea wameamua bado kupambana na Dr. Slaa kwa kifupi chadema wao wanajiona wanajua kila kitu.
Kuna mtu alipotoa post ya kutamani Corona ije iwamalize ccm ni wazi alikuwa anaonyesha upeo wa wafuasi wengi wa Chadema ulivyo bahati mbaya Corona imeingia na kuleta madhara bla kujali ni watu wa chama gani
hapa tayari umeshapanic.
 
Acha ujinga na upimbav hapo ulipo unasomeshwa na maCCM, kama sio wewe wadogo zako, na kama sio watoto wako. Unadhani akiingia huyo baba yako mwenye makengeza ndo nchi itatema maziwa na asali. Fanya kazi ujikwamue kiuchumi.

Kwa akili yako, kwanini mzee Sabodo alikataa kuwapa jengo la owrld cinema kama makao makuu yenu muondoke uchochoroni kwenye kabila la Rukwa, ni kwanini alikata ule msaada wa mamilion ya pesa kuchimba visima. Kwa sababu ya ufisadi. Unashindwa kutambua ufisadi hauna chama wala itikadi na unaliangamiza taifa

Wewe ndiye taahira kweli unafikiri kila mtu anaishi kwa fadhila ya hilo genge lenu la kigaidi? Sijasomeshwa na CCM, watoto wangu wote nawasomesha kwa hela yangu wala hata hiyo mikopo yenu ya kibaguzi hawakuomba.
 
Kitendo cha Dr. Slaa kuondoka ccm bado kinawauma Chadema kibaya zaidi huyo mtu waliyemchua amesharudi ccm lakini kama kawaida badala ya Chadema kukaa na kutafakari wapi walikosea wameamua bado kupambana na Dr. Slaa kwa kifupi chadema wao wanajiona wanajua kila kitu.
Kuna mtu alipotoa post ya kutamani Corona ije iwamalize ccm ni wazi alikuwa anaonyesha upeo wa wafuasi wengi wa Chadema ulivyo bahati mbaya Corona imeingia na kuleta madhara bla kujali ni watu wa chama gani

Siyo kuwa Chadema wanajiona wanajua kila kitu ila wanajua kweli ndiyo maana nyie vilaza mnatumia mitutu ya bunduki na mabomu kupambana nao badala ya kujibu hoja zao

FB_IMG_1583367012744.jpg

FB_IMG_1583310167549.jpg

FB_IMG_1582080397242.jpg

FB_IMG_1584512051906.jpg
 
Back
Top Bottom