Nakubaliana na wewe, mi issue najiuliza ni ile ya kuwaita watu mbumbumbu, wapunguze uoga waandamane, wagome, watumie nguvu. Halafu unacheki watarajiwa au wahamasishwaji aina ya maisha waliyo nayo wakafanye hivyo kweli?Sidhani kama dhamira ikiwepo,, kuna atakayekuwa maskini hapa Tanzania. Rasilimali lukuki, ila nia ikiwa sifuri hadi Yesu arudie hamna kitu. Ardhi, maji, misitu, utalii, madini, wanyama wote ama wa kufugwa au porini, nguvu kazi nk
Kikubwa opponent wetu kenya yuko juu..
Sina maana ya kuendelea kuspread hate Ila kwa picha Tu unaona Africa haitakuja kuwa united
Lakini hawana zezetaKikubwa opponent wetu kenya yuko juu..
Sina maana ya kuendelea kuspread hate Ila kwa picha Tu unaona Africa haitakuja kuwa united
Tatizo ni hawa watanganyika mtandao wanampa nguvuYaani watanganyika wote hatuna cha kumfanya huyu mama?
MmhTatizo ni hawa watanganyika mtandao wanampa nguvu
Mkuu wanajua nini embu tusadie MkuuChawa hawaelewi takwimu
Mbona la Kenya ni kubwa zaidi yetu? Basi bado tuko vizuri
Kuitikia korasi za wimbo wasiouelewa.Mkuu wanajua nini embu tusadie Mkuu
Ukimtawala mtu asiye na uchungu na rasilimali zake, utachukua chochote akikuangalia na kukufurahia na kukuchekea tu.Nakubaliana na wewe, mi issue najiuliza ni ile ya kuwaita watu mbumbumbu, wapunguze uoga waandamane, wagome, watumie nguvu. Halafu unacheki watarajiwa au wahamasishwaji aina ya maisha waliyo nayo wakafanye hivyo kweli?
Nadhani hata approach ya upinzani ingebadilika, sina pendekezo lakini hii ya migomo na maandamano kwa sasa haiwezi kufanya kazi.
Consciousness ya jamii hailazimishwi, inakuja taratibu tu kwa wtu kuamshana, kuna time mambo yatabadilika ingawa kwa sasa hakuna dalili za moja kwa moja.Ukimtawala mtu asiye na uchungu na rasilimali zake, utachukua chochote akikuangalia na kukufurahia na kukuchekea tu.
Hii haipo duniani popote isipokuwa Tanzania tu.
Mpaka atokee mtu mwingine nje yetu atuonee huruma ya kutuendeleza, kitu ambacho hakitatokea asilani.
Aliishia Nyerere tu aliyejenga viwanda zaidi ya 400 Watanganyika wakaviuza na kubinafsisha kila shirika la umma kwa watu binafsi na wawezekezaji matapeli , hata yaliyokuwa yanazalisha faida kubwa na taasisi zote.
Asilimia 77.4 ya deni la nje la Tanzania linashikiliwa na Central government, ikimaanisha kuwa serikali ndiyo mkopaji mkuu. Hii inaashiria utegemezi mkubwa wa mikopo ya kimataifa kwa ajili ya maendeleo, miundombinu, na mahitaji ya kifedha.
Tanzania ambayo deni lake la Taifa limepaa kwa kasi na kufikia kiasi cha shilingi za Kitanzania Tril 107.7 katika muda mfupi wa uongozi wa Raisi Samia Suluhu Hassan huku kukiwa hakuna mnyambulisho na mchanganuo bora juu ya matumizi ya mkopo huo kwa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Mkopo ukiwa umefunikwa na Giza zito la wanasiasa wasioitakia mema Tanzania.
Mtaalamu wa uchumi mzaliwa wa Zambia na Master's Graduate katika chuo cha Havard University, Dambisa Felicia Moyo, anapinga vikali dhana hii, akiwa na uzoefu mkubwa katika taasisi za kifedha kama World Bank na Goldman Sachs. Kupitia kitabu chake cha "Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa", Anaweka bayana kwamba licha ya Afrika kupokea matrilioni ya dola za misaada katika kipindi cha zaidi ya miaka hamsini, bado bara hili limeendelea kuwa masikini, tegemezi, na lenye migogoro ya kijamii na kisiasa.
Tusipo kuwa makini Nchi hii itapigwa mnada ---> "In Ndugai Voice"
LIST & LINK BELOW
View attachment 3462764
![]()
10 African countries with the highest IMF debt in July 2025
Just in July alone, the International Monetary Fund (IMF) is reported to be looking into the disbursements of loans to Egypt and Ethiopia, raising new worries about Africas growing reliance on IMF financingafrica.businessinsider.com
#DeadAid
Hii ni rasmi Sasa, baada ya Ndugai kushauri tujitegemee, Rais Samia alimshukia vikali Hadi kumtambia kuwa kama kukopa atakopa sana.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa
Hii imepelekea deni la Taifa kukua Kwa zaidi ya TSH.60T Ndani ya miaka 4.
IMF wametoa orodha ya nchi kumi zenye madeni makubwa, Tanzania imekuwa nchi ya 8.
Ni matumaini yangu baada ya miaka 5 ya Rais Samia deni litakuwa kubwa zaidi nakuifanya Tanzania iingie kwenye Tano Bora Kwa nchi zenye deni kubwa Afrika.
Mama endelea kukopa sisi tunakuunga mikono.
Kukopa ni ujasiri,kiafrika ukitaka mke,swali la kwanza,utaulizwa,una madeni?Ukisema huna madeni,hupewi mke,unaonekana utamlaza njaa mtoto wa watu.Ukiona mtu anapiga makelele kuhusu madeni ujuwe huyo sio mwanamme.Asilimia 77.4 ya deni la nje la Tanzania linashikiliwa na Central government, ikimaanisha kuwa serikali ndiyo mkopaji mkuu. Hii inaashiria utegemezi mkubwa wa mikopo ya kimataifa kwa ajili ya maendeleo, miundombinu, na mahitaji ya kifedha.
Tanzania ambayo deni lake la Taifa limepaa kwa kasi na kufikia kiasi cha shilingi za Kitanzania Tril 107.7 katika muda mfupi wa uongozi wa Raisi Samia Suluhu Hassan huku kukiwa hakuna mnyambulisho na mchanganuo bora juu ya matumizi ya mkopo huo kwa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Mkopo ukiwa umefunikwa na Giza zito la wanasiasa wasioitakia mema Tanzania.
Mtaalamu wa uchumi mzaliwa wa Zambia na Master's Graduate katika chuo cha Havard University, Dambisa Felicia Moyo, anapinga vikali dhana hii, akiwa na uzoefu mkubwa katika taasisi za kifedha kama World Bank na Goldman Sachs. Kupitia kitabu chake cha "Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa", Anaweka bayana kwamba licha ya Afrika kupokea matrilioni ya dola za misaada katika kipindi cha zaidi ya miaka hamsini, bado bara hili limeendelea kuwa masikini, tegemezi, na lenye migogoro ya kijamii na kisiasa.
Tusipo kuwa makini Nchi hii itapigwa mnada ---> "In Ndugai Voice"
LIST & LINK BELOW
View attachment 3462764
![]()
10 African countries with the highest IMF debt in July 2025
Just in July alone, the International Monetary Fund (IMF) is reported to be looking into the disbursements of loans to Egypt and Ethiopia, raising new worries about Africas growing reliance on IMF financingafrica.businessinsider.com
#DeadAid
Dunia nzima wanakopa,ukiona mtu anaogopa madeni,ujuwe huyo ni.mwehuUkimtawala mtu asiye na uchungu na rasilimali zake, utachukua chochote akikuangalia na kukufurahia na kukuchekea tu.
Hii haipo duniani popote isipokuwa Tanzania tu.
Mpaka atokee mtu mwingine nje yetu atuonee huruma ya kutuendeleza, kitu ambacho hakitatokea asilani.
Aliishia Nyerere tu aliyejenga viwanda zaidi ya 400 Watanganyika wakaviuza na kubinafsisha kila shirika la umma kwa watu binafsi na wawezekezaji matapeli , hata yaliyokuwa yanazalisha faida kubwa na taasisi zote.
Kukopa lazima,ukiona mtu hakopi,huyo ni mwendawazimu,mkichaa peke yake,duniani ndio hana madeniAsilimia 77.4 ya deni la nje la Tanzania linashikiliwa na Central government, ikimaanisha kuwa serikali ndiyo mkopaji mkuu. Hii inaashiria utegemezi mkubwa wa mikopo ya kimataifa kwa ajili ya maendeleo, miundombinu, na mahitaji ya kifedha.
Tanzania ambayo deni lake la Taifa limepaa kwa kasi na kufikia kiasi cha shilingi za Kitanzania Tril 107.7 katika muda mfupi wa uongozi wa Raisi Samia Suluhu Hassan huku kukiwa hakuna mnyambulisho na mchanganuo bora juu ya matumizi ya mkopo huo kwa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Mkopo ukiwa umefunikwa na Giza zito la wanasiasa wasioitakia mema Tanzania.
Mtaalamu wa uchumi mzaliwa wa Zambia na Master's Graduate katika chuo cha Havard University, Dambisa Felicia Moyo, anapinga vikali dhana hii, akiwa na uzoefu mkubwa katika taasisi za kifedha kama World Bank na Goldman Sachs. Kupitia kitabu chake cha "Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa", Anaweka bayana kwamba licha ya Afrika kupokea matrilioni ya dola za misaada katika kipindi cha zaidi ya miaka hamsini, bado bara hili limeendelea kuwa masikini, tegemezi, na lenye migogoro ya kijamii na kisiasa.
Tusipo kuwa makini Nchi hii itapigwa mnada ---> "In Ndugai Voice"
LIST & LINK BELOW
View attachment 3462764
![]()
10 African countries with the highest IMF debt in July 2025
Just in July alone, the International Monetary Fund (IMF) is reported to be looking into the disbursements of loans to Egypt and Ethiopia, raising new worries about Africas growing reliance on IMF financingafrica.businessinsider.com
#DeadAid
Acha ujinga ukiona mtu hakopi,huyo sio mwanamme wa kutunza familia.Ni kichaa peke yake,ndio hana madeniYaani watanganyika wote hatuna cha kumfanya huyu mama?
Asiyekopa ni mkichaa peke yake,mwenye akili timamu,lazima akopeJust Dec 2020 tulikua hatudaiwi ht mia mbovu na IMF na ma miradi tulikua nayo kila kona...fast forward 5yrs tupo top 10 na vitu kwa ground ni vya kutafuta na tochi...we are truly li likichwa la mwendawazimu...View attachment 3463054
Mnavuta kwanza Bangi chooni, alafu mna-comment ushuzi hapa JF.Kukopa lazima,ukiona mtu hakopi,huyo ni mwendawazimu,mkichaa peke yake,duniani ndio hana madeni
Hiyo dunia nzima ndiyo ganiDunia nzima wanakopa,ukiona mtu anaogopa madeni,ujuwe huyo ni.mwehu