Ripoti ya Jaji Chande, Bado Haijaweza Kutibu Chuki ya October 29!, Chuki Hii Inaendelea Kulitafuna Taifa Kimya Kimya!, Tuitibu Haraka Vinginevyo...!

Chawa usiye na akili, kama 95% ya nchi inampenda huyo kilaza kama unavyosema mbona hatukuwaona hao watu wakijitokeza kutoka kwenda kumpigia kura ile 29 oktoba?!.
Ile 97.6% ni kura za tume sio za wananchi...wananchi walio wengi walikubali 'no reforms no election'!.
 
Kama inakusaidia kunya basi kheri
 
Nani kasema 5% ipo na wahuni walifanya vurugu,ulisoma takwimu walau O level!?
 
Uongozi sio wa kurithisha kama nyumba au shamba, uongozi unahitaji hekima, uvumilivu, na subira.

Kiingozi asiyekuwa na kifua kuacha hata dogo limpite, yeye yuko bize kujibu yote yanayopita mbele yake, huyo hana sifa za kiuongozi.

Laiti kama kiongozi angekuwa na uvumilivu na staha, basi naamini yale ya Okt. 29 yasingetokea.

Lakini kwasbabu tuna kiongozi anayeshindana na anaotuongoza, anayejipamba yeye ndie amiri jeshi mkuu, ndio maana tukapoteza ndugu zetu ile Okt. 29.
 
Umeandika uwongo uliotumgwa na tume

Yaani kufanyike Mafunzo maalumu ya kiuharifu wa vita na jeshi lipo?

Ni mahali Gani ambapo utaweza kuwakusanya mamia ya watu uwafundishe kupindua serikali kwa kipindi ambacho nchi ilikuwa kwenye joto Kali la maandamano na machafuko ya uchaguzi?

Mbuzi wewe
 
We mzee ni fala
 
kwanza kabisa gentleman,
jitahidi sana kujiepusha na mihemko isiyo ya lazima, licha ya kwamba ukweli hua una kera sana ukigusa akili na moyo wa asiependa kuuona ukielezwa au kusemwa.
pole sana gentleman.

hata hivyo,
ukweli utabaki palepale kwamba baadhi ya AZAKI nchini, pamoja na baadhi ya vyama vya siasa vilivyokosa agenda na kupoteza uelekeo wa kisiasa nchini, viliwakusanya vijana na na kuwapatia mafunzo ya kihalifu na vifaa maalumu vya kufanyia fujo na kuchukulia picha na video, lakini pia AZAKI hizo zilifikia mahali mpaka kuwapangishia vijana hao majengo maalumu maeneo mbalimbali nchini, ili wakawe wepesi kwenye kufanya uharibifu na kuua watu wote watakaoshiriki uchaguzi mkuu na watakao goma kushiriki vurugu hizo ambazo walizipa jina la maandamano ya amani.

Nchi yetu ni ya amni na ustaarabu sana,
hukuna ambae angekua na mashaka kwamba baadhi ya AZAKI wanapanga vurugu na maafa nchini, hata ifike mahali vyombo vya ulinzi na usalama kuanza kuwapekua.
Hakuna kabisa ambae alikua na masha nao.

Lakini kumbe AZAKI ni chui mkali sana kwa taifa letu.
kugundua uovu wao kidogo ilikua too late, but walidhibitiwa ipasavyo na wanausalama na kuzuia maafa zaidi.

hii inatukumbusha kwamba,
nyakati hizi uovu mwingi umejificha kwenye wema.


lakini pamoja na hayo yote bado baadhi ya AZAKI wanasambaza chuki kwa kasi sana nchini, huenda ni kwasababu ya uovu wao ulivyodhibitiwa kwa ustadi sana na malengo yao maovu kusambaratishwa, huku wakiwa wametumia gharama kubwa sana kufadhili vurugu zile.
 
Uchama na ubinafsi ndio uliotufikisha hapa mkuu!
 
Huyu nae ni mmoja wao wa uchama!
 
Mambo ya kudharau sauti za wananchi Kwa Kukosa ywajibikaji Kwa viongozi waliopewa dhamana,watu wanauliwa,wanatekwa, bahati mbaya sana Hadi wananchi wanawataja wahusika; Hakuna kiongozi anayejali, Mfano mzuri ni huyu aliyezuiwa asikanyage USA!Hii ni aibu sana,Unategemea wananchi wacheke?!!!
 
Sio uchama na ubinafsi, ni ujinga na upumbavu wa wajinga fulani na wapumbavu fulani, ndio umetufikisha hapa.
P
Sawa,hebu angalia mtu anasema sahihi watu kuuwawa kama Hawa wenzetu kina Lukas mwashambwa na huyu tlaahtlaah wanajuelewa kweli?Tufike mahali tuwe wazalendo wa nchi Kwa kuweka mambo sawa.Raisi hawezi kusimamia Kila sehemu,hawa aliowapa dhamana ndio wanamuangusha na wapambe au chawa kina Lukas mwashambwa, tlaahtlaah nk.
 
Huwa unaandika mambo ya kijinga sana. Sasa sijajua kati ya wewe na hao wanaokulipa nani mjinga zaidi. Gentromeni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…