Ripoti ya Jaji Chande, Bado Haijaweza Kutibu Chuki ya October 29!, Chuki Hii Inaendelea Kulitafuna Taifa Kimya Kimya!, Tuitibu Haraka Vinginevyo...!

Ripoti ya Jaji Chande, Bado Haijaweza Kutibu Chuki ya October 29!, Chuki Hii Inaendelea Kulitafuna Taifa Kimya Kimya!, Tuitibu Haraka Vinginevyo...!

Huwa unaandika mambo ya kijinga sana. Sasa sijajua kati ya wewe na hao wanaokulipa nani mjinga zaidi. Gentromeni 😂😂😂
ungeandika mambo ya maana zaidi, ingekua jambo la muhimu sana gentleman,
kuliko kujipiga kifua na kuonyesha mihemko nonsnse tu jukwaani :NoGodNo:
 
Screenshot_20260529-035149.png
 
Chawa usiye na akili, kama 95% ya nchi inampenda huyo kilaza kama unavyosema mbona hatukuwaona hao watu wakijitokeza kutoka kwenda kumpigia kura ile 29 oktoba?!.
Ile 97.6% ni kura za tume sio za wananchi...wananchi walio wengi walikubali 'no reforms no election'!.
Huo ni uongo! Walioandamana na waliobaki majumbani wapi wengi?
Kuna mikoa haikunusa vurugu kabisa.

Chadema,Wanaharakati,kanisa katoliki mnapenda nchi iingie kwenye machafuko.
 
Kutibu chuki ni jambo muhimu sana sana ila ufanisi wake utategemea na udhibiti wa vyanzo vya hizo chuki..
 
Sio kwamba serikali iko sahihi katika Yale iliyoyatekeleza hiyo Oct 29....kuna makundi yanachochea hizo chuki kama mtaji wao wa kisiasa na kujiaminisha ni wema na wako sahihi kwa wananchi.
 
Nilishtuka sana, MWANANCHI imepata wapi guts za kuchapa makala ya kuichana tume ya Chande

Kumbe ni uongo tu wa Mayalla

Unless kuna page two huko ambako kaigusa tume ya Chande
 
"Mjinga akisoma vitabu vingi vya kijinga, atageuka kuwa mjinga anayekera na hatari sana, kwa sababu atakuwa mjinga mwenye kujiamini. Hapo ndipo maafa yalipo." George Bernard Shaw.

Hakuna asiyejua sababu ya hizi chuki na mpaka tukafikia hapa tulipofika, maneno huumba basi tuwe na maneno mazuri ya upendo, amani na usalama.
Tuihitilafiane na wala tusihalifiane.
 
Back
Top Bottom