ungeandika mambo ya maana zaidi, ingekua jambo la muhimu sana gentleman,Huwa unaandika mambo ya kijinga sana. Sasa sijajua kati ya wewe na hao wanaokulipa nani mjinga zaidi. Gentromeni πππ
Wewe umeandika lipi la maana? Je wajua watu humu wanakuchukulia kama Lucas Mwashambwaungeandika mambo ya maana zaidi, ingekua jambo la muhimu sana gentleman,
kuliko kujipiga kifua na kuonyesha mihemko nonsnse tu jukwaani
Huenda wanalipwa kuvuruga mada za Maana au wamerukwa na dishi kuyumbia kushoto!Wewe umeandika lipi la maana? Je wajua watu humu wanakuchukulia kama Lucas Mwashambwa
Kwa vile anayeweka serikali za mataifa ni Mungu, then Mungu hawezi kuruhusu udhalimu kwa watu wake.Hii chuki haiwezi kuisha as long as hii serikali dhalimu ipo madarakani
Mtaumbuka siku Moja,HAKIKA!nadhani ungejikita kwenye hoja mahususi mezani ingependeza zaidi gentleman?
Huo ni uongo! Walioandamana na waliobaki majumbani wapi wengi?Chawa usiye na akili, kama 95% ya nchi inampenda huyo kilaza kama unavyosema mbona hatukuwaona hao watu wakijitokeza kutoka kwenda kumpigia kura ile 29 oktoba?!.
Ile 97.6% ni kura za tume sio za wananchi...wananchi walio wengi walikubali 'no reforms no election'!.
Report umetumika kunanga watu, na sio kuwaponya na kuwaganga mioyo yaoKwa vile anayeweka serikali za mataifa ni Mungu, then Mungu hawezi kuruhusu udhalimu kwa watu wake.
Angalia nimewahi kusema nini kuhusu udhalimu na nini kilitokea
P.
- GE2015 - Kama hii ni kweli, then Serikali yetu ni dhalimu na haramu? Hukumu ya karma ijuu yake!
- Japo hakuna ajuaye sababu za kuitwa Kaka, isipokuwa YEYE, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akaitwa. Dada ukisikia Hii usipuuzeοΌ
- Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...
- Kufanya Kosa si Kosa, kosa Kurudia Kosa!, Kama Kosa lina consequences, ukirudia, the consequences are the same!. Je Tujiandae for The Consequences au?
hizo ramli achana nazo banaMtaumbuka siku Moja,HAKIKA!
Bahati mbaya siko Huko!Utakiri kwa mdomo Wako!hizo ramli achana nazo bana
achana na ramli useless za kishirikina kama hizo gentleman πBahati mbaya siko Huko!Utakiri kwa mdomo Wako!
Unashupaza shingo,utavunjika Wala hutopata dawa,msalimie Lukas mwashambwa!achana na ramli useless za kishirikina kama hizo gentleman π
kwamba ni mfuata mkumbo lofa kama wew right?πUnashupaza shingo,utavunjika Wala hutopata dawa,msalimie Lukas mwashambwa!
Yangu macho na maskio!kwamba ni mfuata mkumbo lofa kama wew right?π
kwani mfuata mkumbo anatumia nini zaidi ya hivyo gentleman?πYangu macho na maskio!