Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2020/21

Taasisi hizi zote za masuala ya ukaguzi ni hatari kwa rushwa..upande wa cag hao jamaa wakikuta hoja huwa wanakomalia wakipewa kifungu cha maana wanafuta hoja..hoja nyingi sana hufutwa.

Nivyema kuwe na vyombo angalau viwili kila kimoja vyenye weredi.

Ila kimsingi hali sio nzuri.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hakuna pa kuponea. Muda mwingine unasema bora na wewe ukipata gep upige tu. Lakini pia vilio kama hivi inawezekana mtu kapigwa ripoti kali anakuja humu kuchafua watu. Maana ile ripoti kuna sehemu madudu yameanikwa mbaya kabisa
 
Somesha nawewe watoto zako waje wapige pesa mzee baba,,
 
True maana uozo ni mwingi Sana
 
Hakuna siku ambayo ripoti ya CAG imewahi kuwa nzuri.
 
Ukiona mtu anakataa mzigo ujue dau lake halijafikiwa,amini nakuambia
Kwa hiyo Kwa kuwa dau kubwa ndio ukubali,ni Bora uniambie dau lenyewe limeambatana na tisho la maisha ya mhusika(uharamia)🤔.
 
 
Hata siku moja hakuna Mkurugenzi atakayependa apewe HATI CHAFU na CAG wakati anazo fedha za Serikali ziko kwenye akaunti na matokeo yake apoteze Ukurugenzi.
 
Very true, mke wangu ni mhasibu serikalini, ananiambia baada ya Polisi, staff wa CAG ni namba mbili kwa kula rushwa. hizi ripoti za PCCB ni uchafu mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…