Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Zitaharibu image yao,kama kweli wapo kikazi na Kwa malengo ya kujua.Je independent auditing firm haziwezi kushawishiwa na rushwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitaharibu image yao,kama kweli wapo kikazi na Kwa malengo ya kujua.Je independent auditing firm haziwezi kushawishiwa na rushwa?
Mbwa Hali mbwa ila fisi anakula fisi🐆Mkaguzi anakula mlungula, yaani mbwa anakula mbwa....
Nakubaliana nawe asilimia 100 kada ya wakaguzi wakiwepo waaminifu ni asilimia ndogo sana wanakula rushwa kwelikweli wakienda ukaguzi wanaandaliwa mazingira mazuri sana ya kufikia halafu baadae wanashikishwa bahasha za maana wakitoka hapo wanachoandika ni sehemu ndogo sana ya uozo uliopo na hii inajulikana kila mahali hivyo haya makelele ya CAG ni a mere tip of the iceberg acheni watu wale kwa urefu wa kamba zaoHao wakaguzi wanaotumwa na CAG wanayoonesha tu maovu Kama ma 3 hivi Kati ya 100, Wana maisha mazuri kwa kupokea Rushwa wakati wa ukaguzi, madudu mengi wanaficha kwakuwa wanapewaga pesa huko wanapoenda kukagua , na pesa wanazolipwa ni hizo hizo Kodi za Wananchi. Hakuna kitu,
Hizo riport Zinazotolewa ni the best you can have, zoezi la ukaguzi ni zoezi la kupiga hela. Nyie mnapagawa na riport , je wakifanya kwa uwazi , wote mtaandamana hayo madudu
Nimemaliza.
Hata mimi ninaamini hivyo! Nchi inauzwa hivi hivi tukiona mchana kweupee na jua likiwaka. Siwezi amini eti ukaguzi umetoa ripoti ya hati safi 97.3%. Ningekuwa Raisi ningewaambia wakampelekee Nyanya yao hiyo ripoti kule kijijini kwao. Na wakishaifikisha wajisalimishe Rumande mara moja!Hao wakaguzi wanaotumwa na CAG wanayoonesha tu maovu Kama ma 3 hivi Kati ya 100, Wana maisha mazuri kwa kupokea Rushwa wakati wa ukaguzi, madudu mengi wanaficha kwakuwa wanapewaga pesa huko wanapoenda kukagua , na pesa wanazolipwa ni hizo hizo Kodi za Wananchi. Hakuna kitu,
Hizo riport Zinazotolewa ni the best you can have, zoezi la ukaguzi ni zoezi la kupiga hela. Nyie mnapagawa na riport , je wakifanya kwa uwazi , wote mtaandamana hayo madudu
Nimemaliza.
Maliza kabisa,kuwa namashetani yamejaamoo🏃Ndugu pambana tu na maisha yako. Utapasuka bure. Hii dunia si ya malaika.
Tanzania tunaishi kiujamaa hivyo tukifika huko unakotaka wewe tutabebeana mapangaHao wakaguzi wanaotumwa na CAG wanayoonesha tu maovu Kama ma 3 hivi Kati ya 100, Wana maisha mazuri kwa kupokea Rushwa wakati wa ukaguzi, madudu mengi wanaficha kwakuwa wanapewaga pesa huko wanapoenda kukagua , na pesa wanazolipwa ni hizo hizo Kodi za Wananchi. Hakuna kitu,
Hizo riport Zinazotolewa ni the best you can have, zoezi la ukaguzi ni zoezi la kupiga hela. Nyie mnapagawa na riport , je wakifanya kwa uwazi , wote mtaandamana hayo madudu
Nimemaliza.
Kila halmashauri hutenga angalau 100m kwa ajili ya auditing.
Hao wakaguzi wanaotumwa na CAG wanayoonesha tu maovu Kama ma 3 hivi Kati ya 100, Wana maisha mazuri kwa kupokea Rushwa wakati wa ukaguzi, madudu mengi wanaficha kwakuwa wanapewaga pesa huko wanapoenda kukagua , na pesa wanazolipwa ni hizo hizo Kodi za Wananchi. Hakuna kitu,
Hizo riport Zinazotolewa ni the best you can have, zoezi la ukaguzi ni zoezi la kupiga hela. Nyie mnapagawa na riport , je wakifanya kwa uwazi , wote mtaandamana hayo madudu
Nimemaliza.
Mimi wamenishangaza tu pale waliposema ccm Ina hati Safi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hati chafu ni zile taasisi zinazogoma kutoa mlungula(ambazo in fact ndizo zinazokuwa zimeperform vizuri) na zile safi ni chafu sema tu wanakuwa wametoa mlungula..
Allegedly......
Mimi nimesema kinachoendelea kwa sasa.Kwa hiyo una shauri wawe wanatenga hata 3 trillion kwa ajili ya rushwa tu kwa nchi nzima [emoji12][emoji2957]
Unawaza ubinafsi badala yakujali maslahi ya nchi.ata kama kazulumiwa ila hiyo haiondoi ukweli kua kuna mambo hayako sawa kwenye ofisi ya mkaguzi.Mleta mada mwenyewe naye mwizi tu pambafuuu. Au unafikiri hatukujui tutoe Siri zako hapa? Unalalamika kwa sababu madili yako umedhulumiwa na umeweka kando na wakuu wako. Tena unyamaze tutakuumbua hapa.