Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2020/21

Nakubaliana nawe asilimia 100 kada ya wakaguzi wakiwepo waaminifu ni asilimia ndogo sana wanakula rushwa kwelikweli wakienda ukaguzi wanaandaliwa mazingira mazuri sana ya kufikia halafu baadae wanashikishwa bahasha za maana wakitoka hapo wanachoandika ni sehemu ndogo sana ya uozo uliopo na hii inajulikana kila mahali hivyo haya makelele ya CAG ni a mere tip of the iceberg acheni watu wale kwa urefu wa kamba zao
 
Hata mimi ninaamini hivyo! Nchi inauzwa hivi hivi tukiona mchana kweupee na jua likiwaka. Siwezi amini eti ukaguzi umetoa ripoti ya hati safi 97.3%. Ningekuwa Raisi ningewaambia wakampelekee Nyanya yao hiyo ripoti kule kijijini kwao. Na wakishaifikisha wajisalimishe Rumande mara moja!
 
🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
VAR inahitajika huko. Wakaguzi wengine wanaogopa kupigwa kipapai(kurogwa)
 
Tanzania tunaishi kiujamaa hivyo tukifika huko unakotaka wewe tutabebeana mapanga
 

Umesema ukweli. ofisi ya CAGhaifanyi kazi kwa uwazi bali ina msukumo wa kisiasa na rushwa sana. Hata hivyo kwa sasa hivi hizo ndizo ripoti tunazopewea na tunalazimika kuzikubali. Ila hata tukitumia makampuni ya nje, tusitumie amaajenti wao wa hapa kwa mfano Ernst & Young iliyoko Dar inafanya mambo hayo hayo inapokuwa wateja wake ni serikali au mashirika ya umma. Inafanya vizuri sana kwa makampuni binafsi lakini siyo kwa serikali.
 
Hati chafu ni zile taasisi zinazogoma kutoa mlungula(ambazo in fact ndizo zinazokuwa zimeperform vizuri) na zile safi ni chafu sema tu wanakuwa wametoa mlungula..
Allegedly......
Mimi wamenishangaza tu pale waliposema ccm Ina hati Safi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada mwenyewe naye mwizi tu pambafuuu. Au unafikiri hatukujui tutoe Siri zako hapa? Unalalamika kwa sababu madili yako umedhulumiwa na umeweka kando na wakuu wako. Tena unyamaze tutakuumbua hapa.
 
Mleta mada mwenyewe naye mwizi tu pambafuuu. Au unafikiri hatukujui tutoe Siri zako hapa? Unalalamika kwa sababu madili yako umedhulumiwa na umeweka kando na wakuu wako. Tena unyamaze tutakuumbua hapa.
Unawaza ubinafsi badala yakujali maslahi ya nchi.ata kama kazulumiwa ila hiyo haiondoi ukweli kua kuna mambo hayako sawa kwenye ofisi ya mkaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…