Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,577
Mwanakijiji pia kuna taarifa zaidi juu ya ripoti hiyo kuna ambayo inaonyesha mikataba iliyoingiwa na TANESCO na ipo sita hiyo ngoja ntakutumia kwenye mail yako ya jf muda huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kupitia thread mbalimbali ndani ya JF na kurejea makabrasha yangu LUNYUNGU nakuamini kabisa kuwa ujumbe ulioleta ni kweli; Mzee Mzima toka Mvumi ndiye asimamia mambo. Twaamini busara zitatumika kwa kuzingatia ukweli uliofukuliwa na kufunuliwa!!!
Asante Mwanakijiji, hii CD uliyotuma ina miziki mingi zaidi ya ile iliyotumwa mapema. Wacha niendelee kucheza.
Mukiweza unganisheni hii na ile ya Mnyika ili kuweka mtiririko msafi.
Leo JF imevunja record yake kwa kuwa na wasomaji wengi zaidi kuliko siku nyingine yoyote.
Thanks MKJJ
Hii report in deep kuliko nilivyotegemea...Yaani Dr na Timu yake wamefanya kazi kwenye ndani ya mwezi mmoja...kwa mara ya kwanza narithika na kazi ya Mbunge yoyote wa CCM
God forbid this Mwafrika wa Kike! Kamati kuchunguza kamati- no way. Naelewa kwa nini wafikiri hivyo, and deep in my heart i have a similar fear too. Ila kwa hatua aliyochukua Mheshimiwa Mwakyembe na kamati yake ya kuwa wazi kiasi hiki, ninaimani kubwa kuwa zile zama za kamati kuchunguza kamati-kuchunguza kamati etc zimefika ukingoni. Nijumuike nanyi wote kumpongeza Mh. Mwakyembe na kamati yake, na bila kumsahau JK kwa kuweza mazingira ya haya yote kuwezekana. Kama ninyi nyote, am all ears waiting to see action. The RIGHT action kwa manufaa ya taifa letu. JK, usitiangushe. God Bless Tanzania.Ogah,
Kikwete sasa ataunda tume ya kuchunguza kamati ya Mwakyembe....
Watch this space..............
Can i be a MoD for a day pleaase...!
God forbid this Mwafrika wa Kike! Kamati kuchunguza kamati- no way. Naelewa kwa nini wafikiri hivyo, and deep in my heart i have a similar fear too. Ila kwa hatua aliyochukua Mheshimiwa Mwakyembe na kamati yake ya kuwa wazi kiasi hiki, ninaimani kubwa kuwa zile zama za kamati kuchunguza kamati-kuchunguza kamati etc zimefika ukingoni. Nijumuike nanyi wote kumpongeza Mh. Mwakyembe na kamati yake, na bila kumsahau JK kwa kuweza mazingira ya haya yote kuwezekana. Kama ninyi nyote, am all ears waiting to see action. The RIGHT action kwa manufaa ya taifa letu. JK, usitiangushe. God Bless Tanzania.
Kwa kweli nilipoanza kusoma summary hiyo sikuamini kama DR.Mwakyembe na kamati yake angediriki kuandika kwa uwazi namna hii. Nawapa pongezi saana.
Naomba pia huu uwe mfano kwa wabunge wengine wa CCM kuwajali watanzania wanaoumia ili wao wapate posho nene na kutembelea magari ya kifahari huku watu waliowatuma wakikosa hata kandambili. Nyinyi Wabunge hamna budi kujiuliza ni nchi gani mnayoitumikia.Matumbo yenu au Tanzania. Atleast Mwakyembe na Kamati yake wameonyesha kuwa wanawajali zaidi watu waliowatuma.
tatizo la pombe kigonjwa gpnjwa tu
ila yuko makini ni mtu safi
Mwakyembe For Presidency 2015!