Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Tena apewe Fast track process, moja kwa moja ndani...hakuna purpose ya kuhangaika na process...ni gaidi, should be arrested for treason kwa kuiba mali za wananchi
 
Kula kona Rost tamu hata kule Makunduchi ni Rost tamu tu hivi huyu ndo raisi wa Tanzania ati?ukisema Kagoda yumo,ukisema Rich Monduli yumo,ukisema domo wazi yumo,kuteua watu wa sirikali yumo ah kula kona ankia ka pweza
 
[/QUOTE

Andika unachojua na mimi nitaandika ninachojua kuhusu Fisadi John Malecela
Kama unaona Malecela ni msafi,basi endelea kumsifia.

Domo ni jumba la maneno na usema kila jambo baya na zuri
Sasa mimi siwezi kulizua domo lako kusema uongo hapa kwa wana jf.

Ni tabia yako.[/QUOTE]

Anne Kilango trashes allegations against her, throws olive branch

DAILY NEWS Reporters, Dodoma and Dar es Salaam, 6th November 2009 @

SAME East MP Anne Kilango-Malecela has dismissed as "baseless" allegations of collusion with embezzlers directed at her by the Minister of State in the President's Office, Good Governance, Ms Sophia Simba.

The CCM MP claimed today that the minister has embarked on "a deliberate campaign to tarnish her image before the public for reasons better known to herself’’.

Ms Kilango said, however, that she would not like to enter into a war of words with the minister because it would neither be profitable nor productive to Tanzanians.

The MP wondered why the minister, who is responsible for good governance, had not taken the matter to such state organs as the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB).

“My electorate and Tanzanians as a whole know me and they are able to identify between the husks and rice in this issue,” reads part of her statement issued here yesterday.

She was responding to allegations raised by Mrs Simba on Wednesday during a meeting convened by a special CCM team formed to identify causes of the existing rift between the MPs and their party.

The minister claimed that the outspoken MP was not clean enough to point fingers to other people as mafisadi (corrupt people) because she had used ill-gotten money in her own campaigns and her wedding.

The minister also wondered why the MP was attacking former president Mr Benjamin Mkapa while the ex-president was the one who elevated her from nowhere to political stardom.

“I'm not discouraged by such allegations which I'm pondering to establish its sources and reasons, especially at this time when the anti-graft war has gained momentum and is being supported by all patriotic Tanzanians.

“If the Honourable Sophia Simba had watertight evidence on such serious allegations since 2005, why hasn’t she reported the matter to the state organs?” Mrs Malecela wondered.

Meanwhile, the IPP Chairman, Mr Reginald Mengi, told reporters in Dar es Salaam today that the allegations by Ms Simba, Dar es Salaam CCM Regional Chairman John Guninita and Regional CCM Secretary Shaaban Ng’enda that he was not a member of the ruling party were all baseless, as he is one of the veteran members.

Quoting an old adage: "Don’t argue with a fool because people may not know the difference between you and the fool,” Mr Mengi, said there are occasions when one is forced to speak to set the record straight.

“I am a CCM member since April 18, 1977 and my card number is B124595 issued at Kisutu Branch, Ilala Municipality in Dar es Salaam,” he elaborated.

He presented before reporters a copy of a letter signed by the Secretary of Kisutu Branch, Mr Mussa Kambanga, certifying that he is registered and active CCM member.

He took a swipe at the minister, claiming that she was not a clean person. He said the allegations were aimed at demoralising those among us and CCM leaders who are fighting graft in the country.

Meanwhile, the three-day meeting of the committee, chaired by retired president Ali Hassan Mwinyi, ended here on yesterday night with MPs continuing to trade accusations. The CCM’s Publicity and Ideology Secretary, Mr John Chiligati, described the sessions as "hot but fruitful".

He said the sessions were characterised by transparency and freedom of expression in which MPs were able to vent their feelings on a number of issues.

The report of the special team will be submitted to the party's Central Committee before being discussed by its National Executive Committee (NEC) later this month.
 
Ni tabia yako.

The report of the special team will be submitted to the party's Central Committee before being discussed by its National Executive Committee (NEC) later this month.[/QUOTE]

So what?

wanatupotezea muda wetu na ngonjera za kila siku.Tumezisikia tangu ukiwa tumbon kwa mama yako.
umewahi kuwa kijana mzuri na sasa unakwenda wrong way.Unapoteza dira na mwelekeo wako.Angalia kijana utaishia ubungo!!!
 
umewahi kuwa kijana mzuri na sasa unakwenda wrong way.Unapoteza dira na mwelekeo wako.Angalia kijana utaishia ubungo!!![/QUOTE]

So what?

wanatupotezea muda wetu na ngonjera za kila siku.Tumezisikia tangu ukiwa tumbon kwa mama yako.
umewahi kuwa kijana mzuri na sasa unakwenda wrong way.Unapoteza dira na mwelekeo wako.Angalia kijana utaishia ubungo!!!
 
Andika unachojua na mimi nitaandika ninachojua kuhusu Fisadi John Malecela
Kama unaona Malecela ni msafi,basi endelea kumsifia.

Domo ni jumba la maneno na usema kila jambo baya na zuri
Sasa mimi siwezi kulizua domo lako kusema uongo hapa kwa wana jf.

Ni tabia yako

.

Labda wewe K4jolly ndiyo kwanza unayasikia leo hayo.Tulisema na kuandika sana tangu miaka ya 90
Mrema aliyahubiri sana kuhusu serikali ya mwinyi na waziri mkuu wake john malecela .watu walitoroshea nje urithi wa nchi yetu.Mrema alijaribu ata kwenda uwanja wa ndege kwenda kukamata na ni huyohuyo John Malecela na mwinyi walinyamazisha.
Mrema amehamia upinzania na alisema yote maovu ndani ya serikali ya awamu ya pili,lakini ni huyohuyo john malecela akamwita mrema ni kichaa na apelekwe mirembe.Leo hii baada ya kukataliwa marambili kugombea urasi na kuenguliwa umakamu wa rais tanzania bara, naye anajiita kinara wa ufisadi.

Nani mpuuzi atakubali ujinga huu?.Nyerere aliwahi kumwambia Gama, ambaye alikuwa katibu mkuu wa ccm wakatiu huo,kuwa kama watashindwa kuliondoa jina la John Malecela,basi yeye asingeshiriki kwenye mchakato mzima wa mgombea urais ndani ya ccm.Kwann alisema Hivyoo?''we kalia bao''

Vyama vya upinzani vimenza kusema siku nyingi sana kuhusu ufisadi ndani ya ccm.Kama wewe unataka mpaka samwel sitta ndiye aseme ndipo uhamini kuwa kweli kuna ufisadi,pole sana.

- Mkuu JF ni taasisi kubwa sana kuliko hizi nale nale zako, kama una matatizo na Malecela as a person basi ninaweza kukupatia namba yake ya simu, ambayo ninajua kua unayo maana nilikuwepo Malecela mwenyewe akikupa, sasa kwa nini unataka kutusumbua watu hapa bila hoja wala ukweli? Exactly matatizo yako ni nini ninashindwa kuelewa,

1. Unasema Malecela ni fisadi, lakini unakumbuka jinsi ulivyosafiri usiku na watoto wako kwenda kumuona, tena ukaomba sana kupiga picha naye na hata ukampa hela za mchango wako kwa jimbo lake, sasa unapokuja hapa na hizi nale nale against Malecela ambaye unadai ulikuwa unajua toka in the 90s kwamba ni fisadi na wewe hupendi mafisadi sasa mkuu huoni kwamba unakosa credibility?

2. Ya kukamtawa Airport Mwalimu alisema wazi Mwanza kwamba zilikuwa ni dhahabu za Mama Sitti, na Mwinyi wakati huo alikuwa alikuwa Mozambique aliporudi aliulizwa vipi kuhusu maneno ya Mwalimu, Mwinyi akajibu kwa unyenyekevu sana kwamba kama sio Mwalimu yeye asingekua Rais sasa kama kweli amesema hayo basi tunahitaji kujiangalia na kujirekebisha, lakini akasema hawezi kubishana na Mlima Mwalimu, wakati yeye Mwinyi ni kichuguu tu! sasa unaona uongo wako ulipo mkuu!

3. Unasema maneno ya Mrema kuwa kichaa yalianza na Malecela, ukweli ni kwamba yalianzia kwenye kamati ya Sekretariat ya Uenezi ya CCM, ambako Kingunge alikua Mwenyekiti, akishirikiana na Sozigwa aliyekuwa Mkurugenzi wa kampeni za uchaguzi za CCM, walipomaliza kikao hicho ndipo kwa mara ya kwanza Sozigwa akatamka wazi kwamba Mrema ni kichaa anahitaji kutibiwa haraka sana. sasa unaona uongo wako mkuu!

4. Unasema Mwalimu alimuambia Gama kuhusu Malecela, wakati ukweli ni kwamba Mwalimu aliwaambia kamati kuu nzima kwamba kama jina la Malecela linarudi atahamia Zambia na kuwa mkimbizi wa siasa kule, ndipo Siovelwa, Mungai, na Lusinde wakamuomba Malecela aondoe jina lake and he did, sasa unaona uongo wako mkuu ulivyo wazi!

- Punguza jazba mkuu jadili hoja hapa uelimishe taifa badala ya kutema sumu zisizo na faida kwa taifa, wizi ni tabia ya kuzaliwa nayo sio kujifunza ukiangalia viongozi wetu wote mafisadi walikotoka utagundua kwua kote walikowahi kupita wamewahi kuiba. Jaribu kuongea na facts na ukweli mkuu hakuna anyekuzuia kusema anything ila tu kumbuka kwamba ni lazima uwe responsible na unayoyasema, na utajibiwa tu regardless of anything! na sitachoka kukujibu!

Field Marshall Es!
= The Real Deal
 
So what?

wanatupotezea muda wetu na ngonjera za kila siku.Tumezisikia tangu ukiwa tumbon kwa mama yako.
umewahi kuwa kijana mzuri na sasa unakwenda wrong way.Unapoteza dira na mwelekeo wako.Angalia kijana utaishia ubungo!!!

- Pure Nonsense!

FMEs!
 
- Pure Nonsense!

FMEs!
.

Simpendi John Malecela kutokana na ufisadi wake.
Tangu kuwa mkuu wa wilaya-balozi mpaka uwaziri mkuu.amefisadi sana.

Siwezi nikalazimishwa na wewe mjinga kumpenda malecela.Nina mengi juu ya huyu bwana kama nilivyo na mengi juu ya baba yako fisadi nyangumi.

Unaweza kuwa uliaminiwa sana hapa jf na sasa unapoteza mwelekeo Idiot wewe.
 
- Mkuu JF ni taasisi kubwa sana kuliko hizi nale nale zako, kama una matatizo na Malecela as a person basi ninaweza kukupatia namba yake ya simu, ambayo ninajua kua unayo maana nilikuwepo Malecela mwenyewe akikupa, sasa kwa nini unataka kutusumbua watu hapa bila hoja wala ukweli? Exactly matatizo yako ni nini ninashindwa kuelewa,

1. Unasema Malecela ni fisadi, lakini unakumbuka jinsi ulivyosafiri usiku na watoto wako kwenda kumuona, tena ukaomba sana kupiga picha naye na hata ukampa hela za mchango wako kwa jimbo lake, sasa unapokuja hapa na hizi nale nale against Malecela ambaye unadai ulikuwa unajua toka in the 90s kwamba ni fisadi na wewe hupendi mafisadi sasa mkuu huoni kwamba unakosa credibility?

2. Ya kukamtawa Airport Mwalimu alisema wazi Mwanza kwamba zilikuwa ni dhahabu za Mama Sitti, na Mwinyi wakati huo alikuwa alikuwa Mozambique aliporudi aliulizwa vipi kuhusu maneno ya Mwalimu, Mwinyi akajibu kwa unyenyekevu sana kwamba kama sio Mwalimu yeye asingekua Rais sasa kama kweli amesema hayo basi tunahitaji kujiangalia na kujirekebisha, lakini akasema hawezi kubishana na Mlima Mwalimu, wakati yeye Mwinyi ni kichuguu tu! sasa unaona uongo wako ulipo mkuu!

3. Unasema maneno ya Mrema kuwa kichaa yalianza na Malecela, ukweli ni kwamba yalianzia kwenye kamati ya Sekretariat ya Uenezi ya CCM, ambako Kingunge alikua Mwenyekiti, akishirikiana na Sozigwa aliyekuwa Mkurugenzi wa kampeni za uchaguzi za CCM, walipomaliza kikao hicho ndipo kwa mara ya kwanza Sozigwa akatamka wazi kwamba Mrema ni kichaa anahitaji kutibiwa haraka sana. sasa unaona uongo wako mkuu!

4. Unasema Mwalimu alimuambia Gama kuhusu Malecela, wakati ukweli ni kwamba Mwalimu aliwaambia kamati kuu nzima kwamba kama jina la Malecela linarudi atahamia Zambia na kuwa mkimbizi wa siasa kule, ndipo Siovelwa, Mungai, na Lusinde wakamuomba Malecela aondoe jina lake and he did, sasa unaona uongo wako mkuu ulivyo wazi!

- Punguza jazba mkuu jadili hoja hapa uelimishe taifa badala ya kutema sumu zisizo na faida kwa taifa, wizi ni tabia ya kuzaliwa nayo sio kujifunza ukiangalia viongozi wetu wote mafisadi walikotoka utagundua kwua kote walikowahi kupita wamewahi kuiba. Jaribu kuongea na facts na ukweli mkuu hakuna anyekuzuia kusema anything ila tu kumbuka kwamba ni lazima uwe responsible na unayoyasema, na utajibiwa tu regardless of anything! na sitachoka kukujibu!

Field Marshall Es! = The Real Deal
.

Lazima niwe na jazba.mmefisadi sana wajinga ninyi.sasa tumeshtuka na ondokeni.pumbavu sana
 
Una Quate mwenzio za nn?yeye amekwenda kulala.Quote za kwako tu si unajiona na wewe fisadi mpiganaji?twende tu na domo lako.
 
Unipe mimi namba ya fisadi malecela?.wewe mjinga nn?Nitaongea nn na fisadi?wewe ongea naye kwa sababu maongezi yenu mafisadi yako sawa.
 
Hivi Rostam azizi amekuwa Raisi mpake achunguzwe na Jopo la Majaji, ? na ndio matusi yanguoni hayo kwa judicial system yetu au ni kwamba ame waweka mkononi ndio maana anakuja na idea kama hiyo?
 
1.
.

Simpendi John Malecela kutokana na ufisadi wake.
Tangu kuwa mkuu wa wilaya-balozi mpaka uwaziri mkuu.amefisadi sana.

Siwezi nikalazimishwa na wewe mjinga kumpenda malecela.Nina mengi juu ya huyu bwana kama nilivyo na mengi juu ya baba yako fisadi nyangumi.

Unaweza kuwa uliaminiwa sana hapa jf na sasa unapoteza mwelekeo Idiot wewe.

2.
Unipe mimi namba ya fisadi malecela?.wewe mjinga nn?Nitaongea nn na fisadi?wewe ongea naye kwa sababu maongezi yenu mafisadi yako sawa.

3.
Una Quate mwenzio za nn?yeye amekwenda kulala.Quote za kwako tu si unajiona na wewe fisadi mpiganaji?twende tu na domo lako.

- Loh! mkuu alienda kujitangaza Michuzi kuwa kapata PhD, huwa ninajiuliza swali moja ni PhD kama za kutolea jasho za kina Dr. Kitila kweli au ndio hizi hizi za kina Mahanga na Nchimbi, I mean PhD unaweza kuandika this low? kweli haya ni maajabu ya Musa!

- Sisi tulidhani tusiokuwa na elimu tutafadika na elimu kubwa za wenzetu, sasa tunajiuliza kulikoni jamani na hizi elimu za siku hizi?

FMEs!
 
Hivi Rostam azizi amekuwa Raisi mpake achunguzwe na Jopo la Majaji, ? na ndio matusi yanguoni hayo kwa judicial system yetu au ni kwamba ame waweka mkononi ndio maana anakuja na idea kama hiyo?

Mkuu
ama kweli mzigo mzito mpe Mnyamwezi. Hapa ni ama kachukua wazo la Zitto Kabwe au walikaa pamoja wakapanga kuwa ndio njia ya kujinasua kwani kitu kama hicho muasisi wake ni Zito.
 
Ramadhan Semtawa na Exuper Kachenje

SIKU moja baada ya mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, kutaka Tume huru ya majaji kuchunguza upya kashfa ya Richmond; Spika wa Bunge, Samuel Sitta amesema maamuzi ya Bunge yaliyofikiwa juu sakata la kampuni hiyo, hayawezi kuchunguzwa na mhimili mwingine wa dola.

Juzi Rostam alijitokeza kuzungumzia msimamo wake huo na gazeti hili, baada ya taarifa zisizo rasmi kumnukuu kwamba, alitoa hoja hiyo mbele ya Kamati ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, ilipokutana na wabunge wa CCM mjini Dodoma.

Akizungumzia msimamo huo wa Rostam ambaye Kampuni yake ya Caspian inatajwa kufanya mawasiliano na Richmond, Spika Sitta alisema mwa mshangao: "Aaa...hakuna kitu kama hicho kinachoweza kufanyika!"

Ripoti ya Kamati Teule ya Bunge chini ya Dk Harrison Mwakyembe, haikuwataja Rostam na Edward Lowassa kuwa wamiliki wa Richmond, isipokuwa Caspian ya Mbunge wa Igunga, anuani yake ilitumiwa katika mawasiliano wakati wa mchakato huo.

Baada ya taarifa hiyo bunge lilipitisha maamuzi kufuatia ushauri wa kamati hiyo teule na kumpa Lowassa kujipima mwenyewe kuhusiana na madai yanayomhusisha na mchakato wa zabuni ya Richmnond.

Lowassa alijipima na kuangalia nafasi yake ya Uwaziri Mkuu; kisha akatangaza kujiuzulu huku Rostam akiwa kimya. Lakini siku za hivi karibuni aliibuka na kuishutumu ripoti ya Dk Mwakyembe kwamba ilipotosha ukweli.

Spika Sitta alisisitiza kuwa haingii akilini, kwa Rostam kutaka uchunguzi wa suala hilo ufanywe na majaji.

"Kwanza, labda nikwambie tu, maamuzi yaliyofikiwa na Bunge katika Richmond hayawezi kuchunguzwa upya na mhimili mwingine wowote wa Dola," alisisitiza na kuongeza:

"Tunazungumzia kumaliza suala la Richmond si kuanza upya, kama ana pesa zake (Rostam) za kulipa majaji, ni huko huko, lakini hilo haliwezekani".

Spika alisema ushahidi mbalimbali ulionyesha uhusiano wa mawasiliano ya mbunge huyo na Richmond kisha Dowans.

"Hivi mnataka ushahidi upi zaidi, ushahidi wa mawasiliano ulionyesha jinsi mtu huyu alivyokuwa akiratibu Richmond kisha Dowans," aliongeza Spika.

Mbunge huyo wa Urambo Mashariki ambaye aliingia katika kiti cha uspika na kauli mbiu ya Kasi na Viwango, alisema: “Kwanza serikali pia haina pesa za mchezo. Yaani sasa hivi zitoke pesa nyingine kuchunguza Richmond wakati wananchi wana matatizo makubwa kiuchumi na kijamii".

Alihoji kwamba; Richmond ilichunguzwa na watu wakapewa nafasi kujitetea, lakini hawakufanya hivyo sasa wanataka nini?

Kuhusu tuhuma za kuileta Richmond, alisema ni upuuzi kwani zipo barua hata 20,000 ambazo aliziandika akiwa Mkurugenzi Mtendaji (TIC), kuhusu wawekezaji mbalimbali.

"Haingii akilini hata kidogo, hivi wewe (alimtaja mwandishi) kama tulikutana mwaka 2000, halafu tukaachana, ukija kufanya ujambazi leo na mimi nitakuwemo?" alihoji.

Alikiri ni kweli aliwahi kuandikia barua Richmond kwa ajili ya kufunga bomba la mafuta la Mwanza, kwa ushirikiano na akina Elisante Muro, lakini kampuni hiyo ilibainika kuwa haiwezi kazi.

Richmond iliwahi kukataliwa na Wizara ya Nishati na Madini kufunga bomba hilo mwaka 2004, msimamo ambao ulitolewa na Kamishna wa Nishati, Bashir Mrindoko.

Spika alifafanua zaidi akisema: "Ningeweza kuhusika au kuwajibika kama kashfa hiyo ingetokea katika mradi wa bomba la mafuta," alisema na kuongeza:

"Kampuni ilikwishabainika kuwa haina uwezo, wakaileta tena, wakaipokea na kuipigia debe ipate tenda wakati ilishakataliwa katika mradi wa bomba la mafuta. Eboo..!"

Alipoulizwa kuhusina na hoja ya Rostam ya kutaja achanguzwe na majaji watatu, Wakili wa Mahakama Kuu, Bob Makani, alisema anashangazwa na kauli yake (Rostam) kutaka kuundwa tume ya majaji kuchunguza upya kashfa hiyo.

"Namshangaa Rostam, yeye ni nani mpaka anataka achunguzwe na majaji? Jamani tuheshimu Bunge, tuheshimu kamati za Bunge na maamuzi yake," alisema Makani.

Makani ambaye pia ni Mwenyekiti mstaafu wa Chadema alisisitiza jana akisema: "Yeye (Rostamu) ajitetee tu, hawezi kusema iundwe kamati ya majaji. Majaji ni watu wazito, hawawezi kumchunguza yeye."

Alisisitiza kuwa, mbunge huyo anapaswa kuheshimu maamuzi ya Bunge.

"Lazima kamati za Bunge ziheshimiwe, ninachosema yeye ajitetee tu kwa tuhuma zake na si kutaka iundwe kamati ya majaji," alisema Makani alisisitiza.

Juzi Rostam, akijibu maswali ya gazeti hili kuhusu taarifa hizo alizozitoa mbele ya kamati ya mzee Mwinyi, alithibitisha na kusema mbali na kuchukuliwa hatua za kisheria, endapo tume hiyo huru ya majaji itabaini kuwa anahusika na ufisadi wowote wa Richmond; afukuzwe katika nafasi zote anazoshikilia katika chama (CCM) na Bunge.

Rostam ni mjumbe wa Kamati Kuu (CC) na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM; lakini amekuwa akitajwa kama mmoja wa vigogo walioleta kampuni ya Richmond yenye taarifa tata za kutoka Costa Rica na Marekani na kuwezesha kusainiwa kwa mkataba kati yake (Richmond) na Tanesco Juni 23, 2006.

Lakini baada ya kusakamwa kwa muda mrefu, alipopata nafasi katika kikao cha kamati ya Mzee Mwinyi na wabunge wa CCM, ilidaiwa kuwa Rostam alizungumzia kuundwa kwa tume huru kuchunguza kashafa nzima ya Richmond kwa madai kumba, Kamati teule ya Bunge iliyoongozwa na Dk Mwakyembe ilipotosha.

Hata hivyo, katika majibu yake kwa gazeti la Mwananchi, baada ya kuwasiliana naye kwa kumtangulizia maswali kuhusu ukweli na mantiki ya kauli hiyo, alisema hawezi kuzungumzia ya kikao cha CCM, lakini ana maoni ya kuhusu sakata la Richmond.

"Msimamo wangu tangu Tume Teule ya Bunge itoe taarifa yake bungeni uko pale pale. Ripoti ilijaa upotoshaji na uongo. Nilitaka kuzungumza bungeni nikazuiwa," alisema.

Tangu sakata hilo litokee bungeni Februari 2008, kumekuwa na mvutano kati ya Bunge na Serikali katika utekelezaji wa maazimio yaliyofikiwa, ikiwa ni pamoja na kuwachungulia hatua maafisa wote wa serikali walioshiriki kwenye uzembe wa kupisha zabuni ya Richmond.

Source: Mwananchi
 
Hivi mheshimwa kabisa mkubwa wa mhimili mmoja wa dola, hivi kila kitu lazima wewe ujibu au useme?
 
To quote Hon. Six - 'Eboo' Kasheshe unataka afunge mdomo anapofuatwa na kuulizwa maswali. I believe he is not a coward.
 
Hivi mheshimwa kabisa mkubwa wa mhimili mmoja wa dola, hivi kila kitu lazima wewe ujibu au useme?

Sasa ndugu, kama si yeye ulitegemea nani ajibu maswali aliyoulizwa na waandishi? Kama majibu anayo na haogopi acha ajibu mzee, usikereke!!
 
Hivi mheshimwa kabisa mkubwa wa mhimili mmoja wa dola, hivi kila kitu lazima wewe ujibu au useme?

Mkuu Kasheshe heshima kwako.

Mheshimiwa S Sitta kafanya jambo jema kutoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari.Tumekuwa wapiga kelele kwa maafisa/watendaji wa taasisi mbali mbali wanaoficha habari au wanaokataa kutoa habari kwa visingizio luluki.

Mheshimiwa Sitta anastahili pongezi badala ya lawama au kejeli.utamaduni wa kutoa habari bila vikwazo zinazohusu idara / taasisi bado haujazoeleka Tanzania,wanapojitokeza watu waliotayari kutoa habari tusipende kuwakatisha tamaa.
 
Back
Top Bottom