Ripoti ya Tume ya Lowasa kuhisu Majengo ilifanyiwa kazi?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Mwaka 2006 Jengo la Chang'ombe Inn liliporomoka pale Keko!
Wakati huo Serikali ya Awamu ya nne ilikiwa ndio kwanza ya moto.
Chini ya Waziri Mkuu Edward Lowasa iliundwa Tume ! Tume ilifanya kazi na kuwasilisha ripoti yake! Nakumbuka mojawapo ya taarifa ya Tume hiyo ilibainisha kuwa majengo mengi Dsm ( ikiowemo Hilo lilolodondoka la Chang'ombe) yamejengwa chini ya kiwango na ...mbaya zaidi bila vibali vya Mamlaka husika!
Tunaoishi kwa matumaini tukajua sasa ujen zi holela itakuwa historia!
Kinyume chake Kariakoo ikaendelea kujengwa ! Magorofa yaliyokuwa Makazi ya watu yakabadilishwa kuwa ya kibiashara! Yaani mtu anakarabati Jengo anaweka fremu, na wengine wamethubutu Hadi kujenga magorofa ya chini...underground floor! Hili halihitaji uwe na Diploma ya Uhandisi kuhoji uhalali na usalama wa hatua hizi!
Bila shaka Wataalam wale walishauri mambo mazuri kuondoka na kadhia hii!
Leo hii yamejirudia Yale Yale tunapoteza watu ! Pale K
isutu Jengo liliporomoka likijijengwa ....tatizo Nini !
Mbona tunakuwa kama wanyama!
 
Ilitupwa
20241013_092620.jpg
 
Hili lililoporomoka wanasema kulikuwa na ujenzi au ukarabati wa kuunganisha underground (basement) za majengo mawili ziwasiliane.
Ikiwa kweli tujiulize, walitafuta mtaalamu sahihi wa kuangalia athari za marekebisho?
Wakati wa JPM ilikuwa kukarabati uzio tu lazima upate kibali serikali ya mtaa na manispaa. Sasa wapo wanaofuatilia hii sheria?
 
Mwaka 2006 Jengo la Chang'ombe Inn liliporomoka pale Keko!
Wakati huo Serikali ya Awamu ya nne ilikiwa ndio kwanza ya moto.
Chini ya Waziri Mkuu Edward Lowasa iliundwa Tume ! Tume ilifanya kazi na kuwasilosha ripoti yake! Nakumbuka mojawwpo ya taarifa ya Tume hiyo ilibainisha kuwamajengo mengi Dsm ( iklowemo Hilo lilolodondoka la Chang'ombe) uamejengwa chini ya kiwango na ...mbaya zaidi bila vibali vya Mamlaka husika!
Tunaoishi kwa matumaini tukajua sasa uje zi holela itakuwa historia!
Kinyume chake Kariako ikaendelea kujengwa ! Magirofa yaliyokuwa Makazi ya watu yakabadilishwa kuwa ya kibiashara! Yaani mtu anakarabati Jengo anaweka fremu, na wengine wamethubutu Hadi kujenga magorofa ya chini...underground floor! Hili halihitaji uwe na Diploma ya Uhandisi kihoji uhalali na usaoama wa hatua hizi!
Bila shaka Wataalam wale walishauri mambo mazuri kuondoka na kadhia hii!
Leo hii yamejirudia Yale Yale tunapoteza watu ! Pale Kosutu Jengo liliporomoka likijijengwa ....tatizo Nini !
Mbona tunakiwa kama wanyama!
It's none of the Regime's business
 
Hili lililoporomoka wanasema kulikuwa na ujenzi au ukarabati wa kuunganisha underground (basement) za majengo mawili ziwasiliane.
Ikiwa kweli tujiulize, walitafuta mtaalamu sahihi wa kuangalia athari za marekebisho?
Wakati wa JPM ilikuwa kukarabati uzio tu lazima upate kibali serikali ya mtaa na manispaa. Sasa wapo wanaofuatilia hii sheria?
Hii Sheria ipo tangia enzi za mkoloni wala sio ya JPM wala haijawahi fukutwa building permit ni muhimu kwa lolote lile (tatizo imebadilika kuwa rushwa ukijenga wanakuwekea X ili utoe mpunga na uendelee)
 
Niliwahi kuwa kwenye tume fulani kutathimini chanzo cha mafuriko, mkoloni aliliacha kama buffer zone ikaja kizazi jeuri pima viwanja na mafuriko ikawa sio janga bali ni majira ya mwaka ile report ilipofika kwa hawafu mwenye nguvu ikatunzwa kwenye droo
Za chinichini tulisikia hatuwezi hamisha wapiga kura
 
Trump anapoinanga Afrika huwa naona kama anailenga Tanzania!
 
Hii Sheria ipo tangia enzi za mkoloni wala sio ya JPM wala haijawahi fukutwa building permit ni muhimu kwa lolote lile (tatizo imebadilika kuwa rushwa ukijenga wanakuwekea X ili utoe mpunga na uendelee)
Najua hilo, JPM siyo muanzilishi.
Hapo nilitaka kuonesha usimamiaji wa sheria ukilega athari kubwa hujitokeza.
Wafanyabiashara wadogo wengi walishangaa uwepo wa service levy ilipo anza kusimamiwa na serikali awamu ya JPM wakati ilikuwepo miongo kadhaa kabla.
 
Mwaka 2006 Jengo la Chang'ombe Inn liliporomoka pale Keko!
Wakati huo Serikali ya Awamu ya nne ilikiwa ndio kwanza ya moto.
Chini ya Waziri Mkuu Edward Lowasa iliundwa Tume ! Tume ilifanya kazi na kuwasilisha ripoti yake! Nakumbuka mojawapo ya taarifa ya Tume hiyo ilibainisha kuwa majengo mengi Dsm ( ikiowemo Hilo lilolodondoka la Chang'ombe) yamejengwa chini ya kiwango na ...mbaya zaidi bila vibali vya Mamlaka husika!
Tunaoishi kwa matumaini tukajua sasa ujen zi holela itakuwa historia!
Kinyume chake Kariakoo ikaendelea kujengwa ! Magorofa yaliyokuwa Makazi ya watu yakabadilishwa kuwa ya kibiashara! Yaani mtu anakarabati Jengo anaweka fremu, na wengine wamethubutu Hadi kujenga magorofa ya chini...underground floor! Hili halihitaji uwe na Diploma ya Uhandisi kuhoji uhalali na usalama wa hatua hizi!
Bila shaka Wataalam wale walishauri mambo mazuri kuondoka na kadhia hii!
Leo hii yamejirudia Yale Yale tunapoteza watu ! Pale K
isutu Jengo liliporomoka likijijengwa ....tatizo Nini !
Mbona tunakuwa kama wanyama!
Mwaka 2006 Jengo la Chang'ombe Inn liliporomoka pale Keko!
Wakati huo Serikali ya Awamu ya nne ilikiwa ndio kwanza ya moto.
Chini ya Waziri Mkuu Edward Lowasa iliundwa Tume ! Tume ilifanya kazi na kuwasilisha ripoti yake! Nakumbuka mojawapo ya taarifa ya Tume hiyo ilibainisha kuwa majengo mengi Dsm ( ikiowemo Hilo lilolodondoka la Chang'ombe) yamejengwa chini ya kiwango na ...mbaya zaidi bila vibali vya Mamlaka husika!
Tunaoishi kwa matumaini tukajua sasa ujen zi holela itakuwa historia!
Kinyume chake Kariakoo ikaendelea kujengwa ! Magorofa yaliyokuwa Makazi ya watu yakabadilishwa kuwa ya kibiashara! Yaani mtu anakarabati Jengo anaweka fremu, na wengine wamethubutu Hadi kujenga magorofa ya chini...underground floor! Hili halihitaji uwe na Diploma ya Uhandisi kuhoji uhalali na usalama wa hatua hizi!
Bila shaka Wataalam wale walishauri mambo mazuri kuondoka na kadhia hii!
Leo hii yamejirudia Yale Yale tunapoteza watu ! Pale K
isutu Jengo liliporomoka likijijengwa ....tatizo Nini !
Mbona tunakuwa kama wanyama!
kazi kubwa na ya maana sana iliyoko sasa ni kuwaokoa wahanga waliofunikwa na kifusi cha ghorofa lililoporomoka kariokoo..

Tumuombe Mungu aendelee kutufanyia wepesi na kutuonyesha njiani ili wahanga wengi zaidi walio hai, walionasa kwenye kifusi,waweze kuopolewa.

Mungu Ibariki Tanzania 🐒
 
Tatizo mama ni CCM.
 
Kwani tukibaini chanzo cha tataizo ni vibaya?
 
Kuwa na kibali ni jambo moja. Je mshauri ujenzi na msimamizi wa ubora huwa wapo kazini?

Inabidi sasa tuanze kutoa certification ya majengo walau kuanzia ghorofa 3.
 
Back
Top Bottom