Mwaka 2006 Jengo la Chang'ombe Inn liliporomoka pale Keko!
Wakati huo Serikali ya Awamu ya nne ilikiwa ndio kwanza ya moto.
Chini ya Waziri Mkuu Edward Lowasa iliundwa Tume ! Tume ilifanya kazi na kuwasilisha ripoti yake! Nakumbuka mojawapo ya taarifa ya Tume hiyo ilibainisha kuwa majengo mengi Dsm ( ikiowemo Hilo lilolodondoka la Chang'ombe) yamejengwa chini ya kiwango na ...mbaya zaidi bila vibali vya Mamlaka husika!
Tunaoishi kwa matumaini tukajua sasa ujen zi holela itakuwa historia!
Kinyume chake Kariakoo ikaendelea kujengwa ! Magorofa yaliyokuwa Makazi ya watu yakabadilishwa kuwa ya kibiashara! Yaani mtu anakarabati Jengo anaweka fremu, na wengine wamethubutu Hadi kujenga magorofa ya chini...underground floor! Hili halihitaji uwe na Diploma ya Uhandisi kuhoji uhalali na usalama wa hatua hizi!
Bila shaka Wataalam wale walishauri mambo mazuri kuondoka na kadhia hii!
Leo hii yamejirudia Yale Yale tunapoteza watu ! Pale K
isutu Jengo liliporomoka likijijengwa ....tatizo Nini !
Mbona tunakuwa kama wanyama!