Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
- Thread starter
- #21
Tanzania sio Malawi,Malawi iliwahi kuwa na Rais ambae alirithi kiti hicho baada ya kifo cha incumbent , baada ya kumaliza muhula wake Rais Banda alikumbwa na kashfa ya ufisadi wa mamilioni ya $$$ zilizoibiwa wakati wa utawala wake!!! Nadhani umeelewa na swali lako kujibiwa!!