tajiri tumbo kubwa
JF-Expert Member
- May 27, 2021
- 429
- 567
magufuri ndie alikuwa FISADI NAMBA MOJA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah,Mkuu kwema lakini?magufuri ndie alikuwa FISADI NAMBA MOJA
Mkuu salama lakini?magufuri ndie alikuwa FISADI NAMBA MOJA
39/100 Kutoka 36/100??? Hii kama ni Shule basi ni Form four failure.View attachment 2098543
=====
Taasisi inayojishughulisha na harakati za kusimamia uwazi na mapambano dhidi ya rushwa na Ufisadi duniani ya " Transparency International " tayari imetoa ripoti yake ya mwaka,
Taasisi hii iliyofanya kazi ya kuchunguza kiasi cha rushwa na Ufisadi kwenye nchi zipatazo 180 duniani kwa kutumia kipimo cha Corruption Perceptions Index ( CPI ) huku Tanzania nayo ikiwemo mwaka 2020|21.
Ripoti iliyotolewa na taasisi hiyo inayoheshimika zaidi duniani kwa kuwa na taarifa za kweli ya Transparency International inaonesha nchi ya Tanzania rushwa na Ufisadi vimepungua kwa kasi hasa kwenye Uongozi huu wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Mtakumbuka Tanzania ilipata alama 36 kati ya alama 100 zilizotolewa na taasisi hiyo mwaka 2019|20 huku Tanzania tukishika nafasi ya 94 kati ya nchi 180 zilizochunguzwa mwaka huo,
Kwamujibu wa ripoti iliyotolewa hivi majuzi Tanzania imepanda kwa nafasi saba ( 7 ) toka ile ya 94/180 mwaka 2019|20 hadi kufikia nafasi ya 87/180 huku ikijizolea alama 39 kati ya alama 100 zilizotolewa,
Point to note,
Rushwa duniani kote inazuiwa kwa watu kuwa huru kupitia asasi mbalimbali za kiraia kuweza kupaza sauti kama ilivyo sasa,
Rushwa kamwe huwezi kuipinga kwa kutumia vitisho na tumbuatumbua kwenye hili hata Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli alichemka sana,
Soma tena ni 94/180 to 86/180 in descending39/100 Kutoka 36/100??? Hii kama ni Shule basi ni Form four failure.
Hata cheti hupati.
Scores mkuu out of 100 pointsSoma tena ni 94/180 to 86/180 in descending
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Ukitaka Kujitoa kuangalia Vichekeshohivi ubonyeze Ngapi
Mwendo wa kujipimia tu, kulingana na urefu wa kambaView attachment 2098543
=====
Taasisi inayojishughulisha na harakati za kusimamia uwazi na mapambano dhidi ya rushwa na Ufisadi duniani ya " Transparency International " tayari imetoa ripoti yake ya mwaka,
Taasisi hii iliyofanya kazi ya kuchunguza kiasi cha rushwa na Ufisadi kwenye nchi zipatazo 180 duniani kwa kutumia kipimo cha Corruption Perceptions Index ( CPI ) huku Tanzania nayo ikiwemo mwaka 2020|21.
Ripoti iliyotolewa na taasisi hiyo inayoheshimika zaidi duniani kwa kuwa na taarifa za kweli ya Transparency International inaonesha nchi ya Tanzania rushwa na Ufisadi vimepungua kwa kasi hasa kwenye Uongozi huu wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Mtakumbuka Tanzania ilipata alama 36 kati ya alama 100 zilizotolewa na taasisi hiyo mwaka 2019|20 huku Tanzania tukishika nafasi ya 94 kati ya nchi 180 zilizochunguzwa mwaka huo,
Kwamujibu wa ripoti iliyotolewa hivi majuzi Tanzania imepanda kwa nafasi saba ( 7 ) toka ile ya 94/180 mwaka 2019|20 hadi kufikia nafasi ya 87/180 huku ikijizolea alama 39 kati ya alama 100 zilizotolewa,
Point to note,
Rushwa duniani kote inazuiwa kwa watu kuwa huru kupitia asasi mbalimbali za kiraia kuweza kupaza sauti kama ilivyo sasa,
Rushwa kamwe huwezi kuipinga kwa kutumia vitisho na tumbuatumbua kwenye hili hata Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli alichemka sana,
Hii ni dalili kuwa mafisadi ya kizungu yanakula kwa urefu wa kamba wanazojiwekea wao wenyeweView attachment 2098543

Hii inatakiwa kuwa endelevu. Leo yuko rais Samia kesho atakuja rais mwingine. Kinachotakiwa ni kujenga culture ya kuchukia rushwa na kuipunguza na mwishowe kuimaliza. Wananchi wakiendelea kuhimizwa kuacha vitendo vya rushwa ikawa culture yetu na ikawa alama ya nchi. Nchi isiyokumbatia rushwa.View attachment 2098543
=====
Taasisi inayojishughulisha na harakati za kusimamia uwazi na mapambano dhidi ya rushwa na Ufisadi duniani ya " Transparency International " tayari imetoa ripoti yake ya mwaka,
Taasisi hii iliyofanya kazi ya kuchunguza kiasi cha rushwa na Ufisadi kwenye nchi zipatazo 180 duniani kwa kutumia kipimo cha Corruption Perceptions Index ( CPI ) huku Tanzania nayo ikiwemo mwaka 2020|21.
Ripoti iliyotolewa na taasisi hiyo inayoheshimika zaidi duniani kwa kuwa na taarifa za kweli ya Transparency International inaonesha nchi ya Tanzania rushwa na Ufisadi vimepungua kwa kasi hasa kwenye Uongozi huu wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Mtakumbuka Tanzania ilipata alama 36 kati ya alama 100 zilizotolewa na taasisi hiyo mwaka 2019|20 huku Tanzania tukishika nafasi ya 94 kati ya nchi 180 zilizochunguzwa mwaka huo,
Kwamujibu wa ripoti iliyotolewa hivi majuzi Tanzania imepanda kwa nafasi saba ( 7 ) toka ile ya 94/180 mwaka 2019|20 hadi kufikia nafasi ya 87/180 huku ikijizolea alama 39 kati ya alama 100 zilizotolewa,
Point to note,
Rushwa duniani kote inazuiwa kwa watu kuwa huru kupitia asasi mbalimbali za kiraia kuweza kupaza sauti kama ilivyo sasa,
Rushwa kamwe huwezi kuipinga kwa kutumia vitisho na tumbuatumbua kwenye hili hata Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli alichemka sana,
CHADEMA hawana hoja, Hoja yao ni matusi tuUkiona mtu anakurupuka kwenye hoja na kuanza matusi jua wazi hana hoja.Ni hoja muflis.
Umeletewa ripoti ya rushwa duniani wewe leta ripoti yako inayopinga hii ripoti.Data hupingwa kwa data.Matusi na kuwa label watu haitakusaidia.Ripoti ipo mwanzoni kabisa au mvivu wa kusoma?
Khaaaamagufuri ndie alikuwa FISADI NAMBA MOJA
Hongera Sana Tanzania, Mama Samia kaza uzi,View attachment 2098543
=====
Taasisi inayojishughulisha na harakati za kusimamia uwazi na mapambano dhidi ya rushwa na Ufisadi duniani ya " Transparency International " tayari imetoa ripoti yake ya mwaka,
Taasisi hii iliyofanya kazi ya kuchunguza kiasi cha rushwa na Ufisadi kwenye nchi zipatazo 180 duniani kwa kutumia kipimo cha Corruption Perceptions Index ( CPI ) huku Tanzania nayo ikiwemo mwaka 2020|21.
Ripoti iliyotolewa na taasisi hiyo inayoheshimika zaidi duniani kwa kuwa na taarifa za kweli ya Transparency International inaonesha nchi ya Tanzania rushwa na Ufisadi vimepungua kwa kasi hasa kwenye Uongozi huu wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Mtakumbuka Tanzania ilipata alama 36 kati ya alama 100 zilizotolewa na taasisi hiyo mwaka 2019|20 huku Tanzania tukishika nafasi ya 94 kati ya nchi 180 zilizochunguzwa mwaka huo,
Kwamujibu wa ripoti iliyotolewa hivi majuzi Tanzania imepanda kwa nafasi saba ( 7 ) toka ile ya 94/180 mwaka 2019|20 hadi kufikia nafasi ya 87/180 huku ikijizolea alama 39 kati ya alama 100 zilizotolewa,
Point to note,
Rushwa duniani kote inazuiwa kwa watu kuwa huru kupitia asasi mbalimbali za kiraia kuweza kupaza sauti kama ilivyo sasa,
Rushwa kamwe huwezi kuipinga kwa kutumia vitisho na tumbuatumbua kwenye hili hata Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli alichemka sana,
Tutaongea 2025Halafu wewe ni mwepesi mno kupumbazwa na hizi multinational institutions, acha tu tutaongea 2025.
Nadharia tuMwendo wa kujipimia tu, kulingana na urefu wa kamba
Rushwa imepungua sana TanzaniaView attachment 2098543
=====
Taasisi inayojishughulisha na harakati za kusimamia uwazi na mapambano dhidi ya rushwa na Ufisadi duniani ya " Transparency International " tayari imetoa ripoti yake ya mwaka,
Taasisi hii iliyofanya kazi ya kuchunguza kiasi cha rushwa na Ufisadi kwenye nchi zipatazo 180 duniani kwa kutumia kipimo cha Corruption Perceptions Index ( CPI ) huku Tanzania nayo ikiwemo mwaka 2020|21.
Ripoti iliyotolewa na taasisi hiyo inayoheshimika zaidi duniani kwa kuwa na taarifa za kweli ya Transparency International inaonesha nchi ya Tanzania rushwa na Ufisadi vimepungua kwa kasi hasa kwenye Uongozi huu wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Mtakumbuka Tanzania ilipata alama 36 kati ya alama 100 zilizotolewa na taasisi hiyo mwaka 2019|20 huku Tanzania tukishika nafasi ya 94 kati ya nchi 180 zilizochunguzwa mwaka huo,
Kwamujibu wa ripoti iliyotolewa hivi majuzi Tanzania imepanda kwa nafasi saba ( 7 ) toka ile ya 94/180 mwaka 2019|20 hadi kufikia nafasi ya 87/180 huku ikijizolea alama 39 kati ya alama 100 zilizotolewa,
Point to note,
Rushwa duniani kote inazuiwa kwa watu kuwa huru kupitia asasi mbalimbali za kiraia kuweza kupaza sauti kama ilivyo sasa,
Rushwa kamwe huwezi kuipinga kwa kutumia vitisho na tumbuatumbua kwenye hili hata Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli alichemka sana,
NdioHongera Sana Tanzania, Mama Samia kaza uzi,
Rushwa ni mfumo tu ndio unaweza kuidhibiti sio vitisho,Wewe upo nchini huitaji kuambiwa kwamba rushwa imeshuka wakati unaona vinginevyo thus either walioweka ripoti wamepwaya au rushwa imezidi kiasi cha kuweza kupika ripoti za kimataifa
Hizi ni chuki tuWewe upo nchini huitaji kuambiwa kwamba rushwa imeshuka wakati unaona vinginevyo thus either walioweka ripoti wamepwaya au rushwa imezidi kiasi cha kuweza kupika ripoti za kimataifa