Ripoti ya Upambanaji wa rushwa na Ufisadi kimataifa - Tanzania yang'ara

Mkuu Mwananchi Huru,

Nimekuelewa vizuri sana hasa aya mbili za mwisho,

Nikweli kabisa rushwa inapingwa kwa kuwaacha Whistloblowers huru ili kila wanapoona dalili za rushwa kusema haraka,

Nimekuwa nawaambia Watanzania kama kuna wakati Tanzania imepata Rais Mweledi basi ni sasa,
Tuko pamoja kiongozi, Tunampenda Rais Samia sana,
 
IMG-20220204-WA0002.jpg
 
Utafiti huwa unapingwa kwa utafiti.Tuleteeni ripoti yenu inayopinga ripoti hii.
Mengine yote ni uzushi na majungu.
Mr. Slow ..Nenda polisi,halmashauri au hospitali ya karibu utapata jibu au kama vipi mtembele mwenyekiti wako wa mtaa kwa huduma nyepesi kama mhuri tu utapata jibu.
 
Unaelewa maana ya utafiti. Hakuna Nchi duniani imefanikiwa kumaliza rushwa kwa kiwango cha 100%.
Hata Singapore, Finland ,New Zealand na Sweden bado zinapambana kuzuia rushwa.
Rushwa ni matokeo ya wananchi kutokujua haki zao,vipato vidogo na mmomonyoko wa maadili na wahusika kutotimiza wajibu wao.
Utafiti hupingwa kwa utafiti.Kusema azuru hizo sehemu sio picha halisi ya hali ilivyo Nchini.
Utafiti unaonyesha rushwa imepungua kidogo. Kupinga huu utafiti njoo na data sio stori za kahawa.
 
Nimekuelewa kwa 100% mkuu wangu,
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Utafiti unaonyesha rushwa imepungua kidogo. Kupinga huu utafiti njoo na data sio stori za kahawa
1. Hata KAMA ningekuwa sijui maana ya utafiti hiyo siyo sababu ya kubali report mbovu kama mjinga fulani hivi. 2. Hata usidhubutu kulinganisha nchi kama Sngapore etc na Tz kwenye kupambana na rushwa, utaishia kuleta mjadala mwingine hapa. 3. Haupo sawa kichwani kama unasifia ripoti ya tafiti isiyokwa na uhalisia na kinachoendelea kwenye ground.
 
Wewe kinachokufanya usiikubali ripoti hii ya kitafiti ni nini?

Wewe kwa maoni yako Tanzania rushwa imeongezeka au imepungua?

Upambanaji wa Rushwa zaidi unabebwa na uwazi, ( Trancyparency )

Uwazi ni kama Mwanga ndani Ya giza la rushwa,
 
  • Thanks
Reactions: Tui
1. Hata KAMA ningekuwa sijui maana ya utafiti hiyo siyo sababu ya kubali report mbovu kama mjinga fulani hivi. 2. Hata usidhubutu kulinganisha nchi kama Sngapore etc na Tz kwenye kupambana na rushwa, utaishia kuleta mjadala mwingine hapa. 3. Haupo sawa kichwani kama unasifia ripoti ya tafiti isiyokwa na uhalisia na kinachoendelea kwenye ground.
Unajua kusoma?Hiyo ripoti ya kimataifa iliyofanywa na wataalamu wa kupambana na rushwa.
Wewe unakurupuka World Transparency ni shirika linalotambulika na kuheshimika na linapotoa CPI serikali huwa zinaifanyia kazi ripoti yao.
Kuhusu Singapore sikulinganisha bali nilielezea kuhusu ugumu wa kupiga vita rushwa ndio nikatoa mfano wa Singapore.
Jifunze kusoma na uelewe unachosoma.
 
Unaongea mambo yakweli kabisa
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom