Ripoti ya Upambanaji wa rushwa na Ufisadi kimataifa - Tanzania yang'ara

Tanzania sio Malawi,
 
Halafu wewe ni mwepesi mno kupumbazwa na hizi multinational institutions, acha tu tutaongea 2025.
 
Unapinga ripoti za dunia?
Tatizo ni presentation yako imekuwa ya kikuda sana. Ungeweka taarifa ya Amnesty international na mafanikio ya tanzania ya kupanda nafasi 7 toka mwaka 19/20, bila kuingiza hayo makandokando mengine ungeeleweka vizuri tu. Lakini jinsi ulivyowasilisha sasa, lol ......, tuna safari ndefu sana.
 
Hiyo amri ya Raisi Magufuli ya kukataza taasisi binafsi kutoa data mbalimbali zinazohusu Tanzania ilishafutwa au bado?
 
Mkuu Mwananchi Huru,

Nimekuelewa vizuri sana hasa aya mbili za mwisho,

Nikweli kabisa rushwa inapingwa kwa kuwaacha Whistloblowers huru ili kila wanapoona dalili za rushwa kusema haraka,

Nimekuwa nawaambia Watanzania kama kuna wakati Tanzania imepata Rais Mweledi basi ni sasa,
 
Mbona yeye alishika nafasi ya 97 na Samia kashika nafasi ya 86 au hujasoma vizuri?
Yaani hiyo ni Magufuli effects kiongozi. Mama subiria ripoti yake ya urefu wa kamba. Mimi nampenda sana Mama ila si muadilifu kiasi hicho kwa sababu anakumbatia waovu, yaani badala ya kuanza na serikali yake anaazima, labda kama ni timing ya 2025 ili kundi la jk limpiganie apate urais then awageuke
 
Nikwasababu unaweza kusikia kwamba flani kaomba au kachukua rushwa mkuu wangu,

Soma vizuri andiko langu,
Nonsense
Wanaochukua rushwa huwa wanajitoa hadharani kuwa niko huku nachukuwa rushwa
Uchumi unapumulia mashine mpo humu kuabudu na kusifu for what?

? Umbumbumbu wa mwafrika ni fikra potofu kama hizi
 
Nonsense
Wanaochukua rushwa huwa wanajitoa hadharani kuwa niko huku nachukuwa rushwa
Uchumi unapumulia mashine mpo humu kuabudu na kusifu for what?

? Umbumbumbu wa mwafrika ni fikra potofu kama hizi
Tunamsifu nani? Tunamwabudu nani?
 
Daaah,
 
Miezi kumi nafasi saba juu sio jambo dogo WATANZANIA wenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…