Ripoti ya Upambanaji wa rushwa na Ufisadi kimataifa - Tanzania yang'ara

True
 
TZS 1.5T ndio ziliivuruga awamu ya tano
 
Wewe jamaa ni immature sana. Unajua Marekani na vyombo vyake vya usalama vinavyoheshimika sana vilienda UN vikasema Iraq wana weapon of mass destruction lakini ilikuwa uwongo. Inshort hizi institutions zipo pale kwa ajili ya manufaa yao usidanganyike kirahisi kama a house nigga. Report zao zinasema Tanzania rushwa imepungua lakini naishi ndani ya hii nchi naona na ninapitia uchungu na kadha ya rushwa ninapokuwa polisi,mahakamani, hospitali, halmashauri, tra, maofisini tena ipo nje nje. Let's wind this up, kama unataka kuamini report na research ya kipuuzi iliyotolewa na mzungu well and good. Mimi nasema F the report.
 
Vipi ile ya mwaka jana ilikuwa sahihi?
 
Wewe upo nchini huitaji kuambiwa kwamba rushwa imeshuka wakati unaona vinginevyo thus either walioweka ripoti wamepwaya au rushwa imezidi kiasi cha kuweza kupika ripoti za kimataifa
Wewe na tathmini yako ya Ufipa lazima useme hivi,

Utafiti unapingwa kwa Utafiti
 
Serikali ni watu mkuu be specific
Cheki my previous posts nimekuwa specific, hata hivyo toka mwaka uanze nimeombwa rushwa na Traffic police, TRA, Osha na watu wa halmashauri. Imeingia kichwani hiyo. Stop playing dumb bro au nyie ni waajiriwa mnaosubiri mishahara,hampiti maisha kama sisi? Please usilete habari za kwenda kuripoti wakati kuna ukiritimba mrefu suala linapofika polisi na mahakamani wengine hatuna muda wa kupoteza masaa ambayo ningeingiza pesa ya maana kisa laki 5. Hii nchi toka Rais hadi mwenyekiti wa mtaa hawana nia wala ubunifu wa kuzuia rushwa sababu rushwa imekuwa kama posho za wafanyakazi wa umma. Ina ni piss off hata kueleza haya mambo kwa mswahili anaekaa Tanzania ni kama vile mnaishi kwenye bubble.
 
Kwanini unatoa? Kwanini huripoti?
Nadhani leo umemsikia RC Hapi anavyovyolamika kwa Rais jinsi wakuu wa idara wa halmashauri za Mara wanavyokula rushwa (wana syndicate) lakini hana la kuwafanya huyo ni RC.. Je sisi turipoti wapi kama system nzima ni mbovu hivyo.
 
daah
 
Mr. Slow ..Nenda polisi,halmashauri au hospitali ya karibu utapata jibu au kama vipi mtembele mwenyekiti wako wa mtaa kwa huduma nyepesi kama mhuri tu utapata jibu.
Kazi kwelikweli,
 
Tanzania iko vizuri sana wakati huu,

Mungu azidi kutusimamia,
 
Eti mwananchi huru. Acha upumbavu wewe. Una uhuru gani mlamba viatu mkubwa wewe. Ameng'ara nini. Amezuia rushwa lini hadi atambulike? Mama yenu anahamasisha watu wale rushwa kwa urefu wa kamba zao halafu unaleta uharo wako hapa?
 
Utumwa huu kijana. Shida yenu nini? Au hamkwrnda shule sawa sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…