Tetesi: Ripoti za uchunguzi wa uhalali wa shahada ya uzamivu (PhD) ya hayati Magufuli pamoja na wengine zimefichwa

Kwa kile kichwa cha Magufuli huwa siamini kama PhD yake ilikuwa feki, alionekana kuwa "active" kiakili zaidi ya viongozi wengi serikalini wakati wake, alikuwa ni mtu aliyependa kujisomea mpaka akatuambia alikuwa akilala na ma file kitandani.

Alipenda kuishughulisha akili yake hili lilionekana maeneo mengi, kwa namna alivyokuwa anakagua miradi, maswali aliyokuwa anawauliza makandarasi nk..

Huwa naona kinachowafanya wengi waamini PhD ya Magufuli ilikuwa feki, ni kwasababu hakumpa Saanane nafasi ya kuihakiki, na hii kwangu sio kwasababu alikuwa hajiamini/hauamini ubora wa PhD yake, ukweli ni kuwa hakuwa anapenda upinzani kwenye jambo lolote, hata Lissu na wengine wanajua hili.
Kupata PhD inawezekana lakini kwamba aliipata within shortest possible time nakataa katakata kwa mtu ambaye ana majukumu ya ubunge na uwaziri.

Nimefanya project kadhaa na waheshimiwa na ukweli ni kwamba hakuna muda wa kuweza kufanya hivyo. Majukumu ni mengi mno.

Ben alipohoji ilikuwa ni fursa nzuri sana kwake kujionesha kama PhD yake ilikuwa halali. Kitendo cha Ben kupotea kinathibitisha madai yake.
 
Nilimtembelea rafiki yangu mmoja ambaye ni mhadhiri pale Udsm na katikati ya maongezi likaja suala la uwezekano wa mtu kupata PhD bila kupitia taratibu sahihi.

Hapo akasema kuna uchunguzi ulifanyika karibu mwaka mzima umepita na ripoti imeishia pale utawala. Ilikuwa ni katika routine ya kawaida kuangalia ubora wa kazi za wanafunzi wa miaka ya nyuma zilizopitishwa.

Huko udasa hizi tetesi inaonekana zinaongelewa na Prof Mwandosya aliwahi kuhoji hapa mwaka jana Prof. Mark Mwondosya atilia mashaka shahada za uzamivu wanazotunukiwa wanasiasa, ahoji vigezo au viwango vimebadilika?? Inasemekana kwamba PhD tajwa hapo juu ni mojawapo.

Kama ni kweli basi Prof Anangisye ajivike ujasiri na kuufahamisha umma wa watanzania.
Kumekucha tena
 
Kichwa cha habari na maelezo mbona tofauti?
Sisi tunajua nyie mliyokula hela za mabeberu kumchafua jpm mnadaiwa chenji maana mumefeli kabisa.
Nani utamwambia kuhusu Phd ya magufuli wakati kaiona kwa vitendo?
 
Hapa sasa hivi macho yote ni kwa Prof Anangisye. Ukweli utajulikana.
 
Kupata PhD inawezekana lakini kwamba aliipata within shortest possible time nakataa katakata kwa mtu ambaye ana majukumu ya ubunge na uwaziri.

Nimefanya project kadhaa na waheshimiwa na ukweli ni kwamba hakuna muda wa kuweza kufanya hivyo. Majukumu ni mengi mno.

Ben alipohoji ilikuwa ni fursa nzuri sana kwake kujionesha kama PhD yake ilikuwa halali. Kitendo cha Ben kupotea kinathibitisha madai yake.
Sioni sababu ya msingi kwako kukataa kuipata within shortest period of time, ikiwa JPM alikuwa na tabia ya kufanya kazi zake usiku na mchana, usitumie mifano ya wengine kumhukumu JPM, hakuwa mzembe.

Na hii tabia yake, ndio aliwaambukiza hadi watendaji wa serikali yake tukawaona wanakimbizana field, mpaka wakandarasi, nao kuhakikisha wanafanya majukumu yao usiku na mchana ili miradi ikamilike kwa wakati uliopangwa, au iwahi zaidi, hii ilikuwa ni spirit ya Magufuli, acheni reasoning kwa ushabiki.

Kuhusu suala la Ben kuhoji, na Magufuli kuto respond, nimeshakueleza pale juu, hiyo ilikuwa tabia yake, hakupenda upinzani, na hii iliwakuta wengi mpaka chamani kwake, wakiwemo kina Nape, Membe, Sophia Simba na wengine.
 
Sioni sababu ya msingi kwako kukataa kuipata within shortest period of time, ikiwa JPM alikuwa na tabia ya kufanya kazi zake usiku na mchana, usitumie mifano ya wengine kumhukumu JPM, hakuwa mzembe.
Hapa tukubali kutokubaliana.

Na hii tabia yake, ndio aliwaambukiza hadi watendaji wa serikali yake tukawaona wanakimbizana field, mpaka wakandarasi, nao kuhakikisha wanafanya majukumu yao usiku na mchana ili miradi ikamilike kwa wakati uliopangwa, au iwahi zaidi, hii ilikuwa ni spirit ya Magufuli, acheni reasoning kwa ushabiki
Hizi ni propaganda tupu. Miradi kipindi cha magufuli ilikuwa na spidi ya kawaida kabisa isipokuwa yeye ndio alikuwa na makelele kila mahali ili aonekane anafanya kazi peke yake.

Kuhusu suala la Ben kuhoji, na Magufuli kuto respond, nimeshakueleza pale juu, hiyo ilikuwa tabia yake, hakupenda upinzani, na hii iliwakuta wengi mpaka chamani kwake, wakiwemo kina Nape, Membe, Sophia Simba na wengine.
Hao wengine uliowataja walipotezwa kama Ben Saanane?
 
Nilimtembelea rafiki yangu mmoja ambaye ni mhadhiri pale Udsm na katikati ya maongezi likaja suala la uwezekano wa mtu kupata PhD bila kupitia taratibu sahihi.

Hapo akasema kuna uchunguzi ulifanyika karibu mwaka mzima umepita na ripoti imeishia pale utawala. Ilikuwa ni katika routine ya kawaida kuangalia ubora wa kazi za wanafunzi wa miaka ya nyuma zilizopitishwa.

Huko udasa hizi tetesi inaonekana zinaongelewa na Prof Mwandosya aliwahi kuhoji hapa mwaka jana Prof. Mark Mwondosya atilia mashaka shahada za uzamivu wanazotunukiwa wanasiasa, ahoji vigezo au viwango vimebadilika?? Inasemekana kwamba PhD tajwa hapo juu ni mojawapo.

Kama ni kweli basi Prof Anangisye ajivike ujasiri na kuufahamisha umma wa watanzania.
Aisee, kwako msarani unaenda porini, cha nje , cha ndani au self container ?
 
Akili za yule baba, ni zaidi ya Phd za kibongo.

Watanzania bado tuko nyuma sana.
Tunathamini elimu ya darasani kuliko hata uwezo wa mtu wa kutenda.

Hata hao wenye phd wengi wao wanazidiwa maarifa na wasio na elimu ya darasani, ila wana maarifa ya kutatua changamoto zinazokabili taifa. Na baadhi yao ndio wafanyabiashara wakubwa!

Kuna tofauti kubwa sana kati ya level of education and knowledge. (Kiwango cha elimu vs maarifa)

Mtu kama mwigulu na phd yake ya uchumi bado anang'ang'ana kukusanya tozo ili kujenga uchumi wa nchi yenye rasilimali nyingi zilizo chini na juu ya ardhi! 😲🤔
 
Kwa mambo aliyoyafanya makubwa ya kimaendeleo mh magufuli.kwa mwenendo was awamu hii ya sita labda itawale miaka 30 ndo ifikie pale alipofikia magufuli.miradi mikubwa kama sgr,bwawa LA nyeree zilikuwa no za kumalizia tu lakini kwa kuwa hii awamu ya wazembe itatuchukua miaka 30 kuimaliza
 
Akili za yule baba, ni zaidi ya Phd za kibongo.

Watanzania bado tuko nyuma sana.
Tunathamini elimu ya darasani kuliko hata uwezo wa mtu wa kutenda.

Hata hao wenye phd wengi wao wanazidiwa maarifa na wasio na elimu ya darasani, ila wana maarifa ya kutatua changamoto zinazokabili taifa. Na baadhi yao ndio wafanyabiashara wakubwa!

Kuna tofauti kubwa sana kati ya level of education and knowledge. (Kiwango cha elimu vs maarifa)

Mtu kama mwigulu na phd yake ya uchumi bado anang'ang'ana kukusanya tozo ili kujenga uchumi wa nchi yenye rasilimali nyingi zilizo chini na juu ya ardhi! 😲🤔
Kama PhD haina umuhimu ni kwanini yeye aliipata kwa njia zenye mashaka makubwa?
 
Back
Top Bottom