Tetesi: Ripoti za uchunguzi wa uhalali wa shahada ya uzamivu (PhD) ya hayati Magufuli pamoja na wengine zimefichwa

Tetesi: Ripoti za uchunguzi wa uhalali wa shahada ya uzamivu (PhD) ya hayati Magufuli pamoja na wengine zimefichwa

Kwa mambo aliyoyafanya makubwa ya kimaendeleo mh magufuli.kwa mwenendo was awamu hii ya sita labda itawale miaka 30 ndo ifikie pale alipofikia magufuli.miradi mikubwa kama sgr,bwawa LA nyeree zilikuwa no za kumalizia tu lakini kwa kuwa hii awamu ya wazembe itatuchukua miaka 30 kuimaliza
Ni kitu gani transformative alichofanya magufuli? Kukopa hela na kujenga au kununua vitu ni kazi inayoweza kufanywa na yeyote.

Miradi mnayoitaja hakuna hata mmoja ambao yeye ni muasisi wake na wala hakuna hata mmoja uliokamilika kwa asilimia mia moja wakati anakufa (ukiacha madaraja ya tazara na ubungo ambayo yalikuwa na mkono wa japan na world bank).

Halafu kama mnavyoona miradi hiyo inaendelea kama kawaida. Mbwembwe zote za magufuli bado kwa miaka mitano hakuweza kumaliza sgr kutoka dar hadi hapo moro tu.
 
Hapa tukubali kutokubaliana.

Hizi ni propaganda tupu. Miradi kipindi cha magufuli ilikuwa na spidi ya kawaida kabisa isipokuwa yeye ndio alikuwa na makelele kila mahali ili aonekane anafanya kazi peke yake.

Hao wengine uliowataja walipotezwa kama Ben Saanane?
Propaganda zipi, hizo flyover nyingi zilifunguliwa kwa kuharakishwa wakandarasi, mfano ni ile ya Tazara.

Nakushangaa unapotumia kigezo cha kupotezwa pekee ili kuhalalisha hoja yako isiyo na mantiki ili kumzungumzia Ben, mbona yupo Lissu aliyepigwa risasi nyingi tu kisa kupingana na mawazo ya Magufuli? humkumbuki?!

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
 
Propaganda zipi, hizo flyover nyingi zilifunguliwa kwa kuharakishwa wakandarasi, mfano ni ile ya Tazara
Miradi mnayoitaja hakuna hata mmoja ambao yeye ni muasisi wake na wala hakuna hata mmoja uliokamilika kwa asilimia mia moja wakati anakufa (ukiacha madaraja ya tazara na ubungo ambayo yalikuwa na mkono wa japan na world bank).

Halafu kama mnavyoona miradi hiyo inaendelea kama kawaida. Mbwembwe zote za magufuli bado kwa miaka mitano hakuweza kumaliza sgr kutoka dar hadi hapo moro tu.

Nakushangaa unapotumia kigezo cha kupotezwa pekee ili kuhalalisha hoja yako isiyo na mantiki ili kumzungumzia Ben, mbona yupo Lissu aliyepigwa risasi nyingi tu kisa kupingana na mawazo ya Magufuli? humkumbuki?!
Lissu kapona kwa neema ya Mungu tu lakini na yeye alikuwa anamalizwa.
 
Kwa kile kichwa cha Magufuli huwa siamini kama PhD yake ilikuwa feki, alionekana kuwa "active" kiakili zaidi ya viongozi wengi serikalini wakati wake, alikuwa ni mtu aliyependa kujisomea mpaka akatuambia alikuwa akilala na ma - file kitandani.

Alipenda kuishughulisha akili yake na hili lilionekana maeneo mengi, kwa namna alivyokuwa anakagua miradi, maswali aliyokuwa anawauliza makandarasi nk..

Huwa naona kinachowafanya wengi waamini PhD ya Magufuli ilikuwa feki, ni kwasababu hakumpa Saanane nafasi ya kuihakiki, na hii kwangu sio kwasababu alikuwa hajiamini/hauamini ubora wa PhD yake, hapana.

Ukweli ni kwamba, Magufuli wakati wake hakuwa anapenda upinzani kwenye jambo lolote, mifano ipo mingi; hata Lissu, Nape, na wengine wanalijua hili, kwani nao yaliwakuta walipojaribu kwenda kinyume na Magufuli, hakuwa Ben pekee aliyeathirika alipohoji.
Prospectus ya UDSM ya mwaka 2006 kifungu 2.7.7 kilisema mwanafunzi wa full time wa PhD minimum muda wa kumaliza ni miaka 3 na mwanafunzi wa kutoka kazini ni miaka 5.

Like chapisho alikopi kutoka kwa Dr J Y Philip ambaye alikuwa anafanya sandwich program limaitwa "The potential of anarcadic acid self assembled monopolymers from cashewnut shell liquid as corrosion protection coating"

Supervisor wake alikuwa Prof Bucheschwaija ambaye alimsimamia Dr J Y Phillip as well.

Mwaka 2016 alipopata uRais wa Tanzania akampa Prof Bucheschwaija uwenyekiti wa Bodi ya TIB kama kumpoza kwa kwa kazi aliyomlinda kwenye fake PhD
 
Kama PhD haina umuhimu ni kwanini yeye aliipata kwa njia zenye mashaka makubwa?
Soma na wewe mkuu upate ya kwako isiyo na mashaka. Au kama tayari unayo, lisaidie taifa lako kupambana na vita ya uchumi na kuleta maendeleo.

Yaani kiukweli huwa namshangaa sana mtu anayemjudge mtu mwingine kwa kiwango cha elimu, physical appearance au family status badala ya uwezo wake wa kutatua changamoto za kimaisha.

Elimu ya darasani ina umuhimu pale tu inapotumika kutatua matatizo yanayotukabili zaidi ya hapo ni ubatili mtupu sawa na kujilisha upepo.

Nb: chochote ulichonacho kama hakikusaidii kutatua matatizo au changamoto ulizonazo, ni sawa na kutokuwa nacho!

Nchi hii tunajisifia wasomi, rasilimali kama vile dhahabu, gesi, wanyama, mito, milima nk, lakini hivyo vyote kama havitusaidii ni sawa na kutokuwa navyo.

I wish huyo baba hata kama phd yake ina mashaka, angekuwepo hadi leo. Alikuwa na akili sana. Nahisi kuna watu siku zijazo wanaweza kuomba kufanya utafiti wa akili za huyu mwamba. Wenye akili tu ndio waliweza kumuelewa, wajinga si rahisi kumuelewa! Alale salama
 
We utakuwa na Mimba ya magufuli unamfuatilia MTU aliyefariki siku nyingi Acha huo ushamba.
Ndugu yangu ss watu weusi ni tatizo sana ulimwenguni hebu fikiria watu wako viwandani wanatengeneza midege mikubwa mikubwa ss tunajadili na kuhangaika na marehemu.Sijui kuna nn nchi hii.
 
Miradi mnayoitaja hakuna hata mmoja ambao yeye ni muasisi wake na wala hakuna hata mmoja uliokamilika kwa asilimia mia moja wakati anakufa (ukiacha madaraja ya tazara na ubungo ambayo yalikuwa na mkono wa japan na world bank).

Halafu kama mnavyoona miradi hiyo inaendelea kama kawaida. Mbwembwe zote za magufuli bado kwa miaka mitano hakuweza kumaliza sgr kutoka dar hadi hapo moro tu.

Lissu kapona kwa neema ya Mungu tu lakini na yeye alikuwa anamalizwa.
Kadri navyozidi kukusoma, nakuona umetawaliwa na chuki na hasira kwa Magufuli isiyo na maana mpaka unashindwa kufikiria mambo madogo.

Hayo madaraja pia ni miradi, flyover pia vilevile, na zaidi, hata kina Kikwete na Mkapa nao iko miradi walianzisha lakini hawakuimalizia, ni kawaida kwa marais.

Lakini pia, kama Magufuli angekuwa hai mpaka leo, naamini mradi wa SGR Dar - Moro ungekuwa umekamilika hasa tukizingatia muda alipofariki mpaka sasa.
 
Kwa mambo aliyoyafanya makubwa ya kimaendeleo mh magufuli.kwa mwenendo was awamu hii ya sita labda itawale miaka 30 ndo ifikie pale alipofikia magufuli.miradi mikubwa kama sgr,bwawa LA nyeree zilikuwa no za kumalizia tu lakini kwa kuwa hii awamu ya wazembe itatuchukua miaka 30 kuimaliza
Shahidi mzee Ali Hassan Mwinyi,rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania awamu ya pili,alikiri hadharani na ikumbukwe huyu mzee ni mcha mungu sana
 
Badala ya kufuatilia madudu yanayoendelea saa hizi kama ufisadi,kupanda Kwa gharama ya maisha,tozo zinazoanzishwa ovyoovyo ,kupanda kwa bei ya mafuta hivyo kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu unafuatilia mambo yasiyokuwa na msingi.haya fuatilia pia doctorate ya Rais mmoja mstaafu ya kupewa bure.
Huyo ni hawala yake ,hawezi mgusa
 
Kichwa cha habari na maelezo mbona tofauti?
Sisi tunajua nyie mliyokula hela za mabeberu kumchafua jpm mnadaiwa chenji maana mumefeli kabisa.
Nani utamwambia kuhusu Phd ya magufuli wakati kaiona kwa vitendo?
PhD ya Magufuli ni FAMBA au FEKERO kwa lugha ya mjini. Immediately ilipohojiwa na Ben Saanane mwaka 2016, management ya UDSM iliitoa kwenye shelves za makataba kwenye Idara husika.

Kama kuna mtu haamini, basi aende UDSM next Monday akaiombe kuitumia kwa hadidu rejea. Magufuli alivyo mtu wa sifa, kama kweli ile PhD ilikuwa genuine angekuwa wa kwanza kuitoa na ikibidi kuichapisha Thesis yake gazetini. Nafikirinakumbuka alivyokuwa wa kwanza KUHAKIKI Bastola yake baada ya Makonda kuitisha zoezi la uhakiki.
 
mashaka, angekuwepo hadi leo. Alikuwa na akili sana. Nahisi kuna watu siku zijazo wanaweza kuomba kufanya utafiti wa akili za huyu mwamba. Wenye akili tu ndio waliweza kumuelewa, wajinga si rahisi kumuelewa
Kauli kama hizi huwa zinanisikitisha sana ninapozisoma kutoka kwa watu ambao wanasema wamesoma.

Umewahi kusoma angalau ripoti za mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kati ya 2016 na 2020? Yaani magufuli yule aliyekuwa anakopa hovyo na kujenga vitu huku anatangaza ni hela za ndani ndio ana akili kweli?

Magufuli huyu aliyeiba uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 na kuiba bila aibu uchaguzi mkuu wa 2020 ndio mtu mwenye akili? Magufuli aliyekuwa anatoa maelekezo kwa spika na jaji mkuu anazo akili timamu kweli?

Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom