Tetesi: Ripoti za uchunguzi wa uhalali wa shahada ya uzamivu (PhD) ya hayati Magufuli pamoja na wengine zimefichwa

Kupata PhD inawezekana lakini kwamba aliipata within shortest possible time nakataa katakata kwa mtu ambaye ana majukumu ya ubunge na uwaziri.

Nimefanya project kadhaa na waheshimiwa na ukweli ni kwamba hakuna muda wa kuweza kufanya hivyo. Majukumu ni mengi mno.

Ben alipohoji ilikuwa ni fursa nzuri sana kwake kujionesha kama PhD yake ilikuwa halali. Kitendo cha Ben kupotea kinathibitisha madai yake.
 
Kumekucha tena
 
Kichwa cha habari na maelezo mbona tofauti?
Sisi tunajua nyie mliyokula hela za mabeberu kumchafua jpm mnadaiwa chenji maana mumefeli kabisa.
Nani utamwambia kuhusu Phd ya magufuli wakati kaiona kwa vitendo?
 
Hapa sasa hivi macho yote ni kwa Prof Anangisye. Ukweli utajulikana.
 
Sioni sababu ya msingi kwako kukataa kuipata within shortest period of time, ikiwa JPM alikuwa na tabia ya kufanya kazi zake usiku na mchana, usitumie mifano ya wengine kumhukumu JPM, hakuwa mzembe.

Na hii tabia yake, ndio aliwaambukiza hadi watendaji wa serikali yake tukawaona wanakimbizana field, mpaka wakandarasi, nao kuhakikisha wanafanya majukumu yao usiku na mchana ili miradi ikamilike kwa wakati uliopangwa, au iwahi zaidi, hii ilikuwa ni spirit ya Magufuli, acheni reasoning kwa ushabiki.

Kuhusu suala la Ben kuhoji, na Magufuli kuto respond, nimeshakueleza pale juu, hiyo ilikuwa tabia yake, hakupenda upinzani, na hii iliwakuta wengi mpaka chamani kwake, wakiwemo kina Nape, Membe, Sophia Simba na wengine.
 
Sioni sababu ya msingi kwako kukataa kuipata within shortest period of time, ikiwa JPM alikuwa na tabia ya kufanya kazi zake usiku na mchana, usitumie mifano ya wengine kumhukumu JPM, hakuwa mzembe.
Hapa tukubali kutokubaliana.

Hizi ni propaganda tupu. Miradi kipindi cha magufuli ilikuwa na spidi ya kawaida kabisa isipokuwa yeye ndio alikuwa na makelele kila mahali ili aonekane anafanya kazi peke yake.

Kuhusu suala la Ben kuhoji, na Magufuli kuto respond, nimeshakueleza pale juu, hiyo ilikuwa tabia yake, hakupenda upinzani, na hii iliwakuta wengi mpaka chamani kwake, wakiwemo kina Nape, Membe, Sophia Simba na wengine.
Hao wengine uliowataja walipotezwa kama Ben Saanane?
 
Aisee, kwako msarani unaenda porini, cha nje , cha ndani au self container ?
 
Akili za yule baba, ni zaidi ya Phd za kibongo.

Watanzania bado tuko nyuma sana.
Tunathamini elimu ya darasani kuliko hata uwezo wa mtu wa kutenda.

Hata hao wenye phd wengi wao wanazidiwa maarifa na wasio na elimu ya darasani, ila wana maarifa ya kutatua changamoto zinazokabili taifa. Na baadhi yao ndio wafanyabiashara wakubwa!

Kuna tofauti kubwa sana kati ya level of education and knowledge. (Kiwango cha elimu vs maarifa)

Mtu kama mwigulu na phd yake ya uchumi bado anang'ang'ana kukusanya tozo ili kujenga uchumi wa nchi yenye rasilimali nyingi zilizo chini na juu ya ardhi! 😲🤔
 
Kwa mambo aliyoyafanya makubwa ya kimaendeleo mh magufuli.kwa mwenendo was awamu hii ya sita labda itawale miaka 30 ndo ifikie pale alipofikia magufuli.miradi mikubwa kama sgr,bwawa LA nyeree zilikuwa no za kumalizia tu lakini kwa kuwa hii awamu ya wazembe itatuchukua miaka 30 kuimaliza
 
Kama PhD haina umuhimu ni kwanini yeye aliipata kwa njia zenye mashaka makubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…