Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Itabidi nitumie hiyo MP5.
Nitaipataje.?
Nitaipataje.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetumia SMG au SRA wewe usitudanganyeeNiliwahi kutumia/kupiga MP5 nikiwa National Service, risasi zinawekwa kwenye magazine sikuwahi kuona mkanda wa risasi unawekwa kwenye MP5 - sina uhakika kama sifa zinazo tolewa hapa zina ukweli wowote - nilipiga full burst lakini it didn't register to me kwamba ina uwezo wa kupiga risasi 15 per second!!
Unless kama kuna MP5 series nyingine hapo sawa, lakini ungesema labda bunduki aina ya UZZI ndiyo yenye uwezo kama huo hapo ninge kubaliana nawe.
alitumia National service, bangi ni kitu kibaya sana.umeambiwa inatumiwa na makomando wa Dunia wewe utaipata wapi
itakuwa old versionalitumia National service, bangi ni kitu kibaya sana.
Unaweza kuwa baharini ukadhani upo ulaya-- Makonda.
Nani atanipa ajira ya ujambazi wa kutumia silaha za moto jamani
Si ajabu hata Old version hajawahi kuiona, unajua ukivuta bangi kuna maluweluwe yanakuja na unaona kama unapigana vita umeshika AK 47itakuwa old version
Labda wanipe hiyo ajira alafu ndio wanikamate![]()
Zinakuhusu, maana naona mate yanakutoka kila ukipita Segerea
Tayari imeshakuwa ya kizamani sahv kuna MP5K hata hapa tz zipo
We muongo kuruta upewe MP5 hahahahahaMkuu ndiyo maana niliongezea neno "labda kama nilitumia/piga MP5 series nyingine" i.e ya zamani kidogo.
Kuna baadhi ya Watanzania sijui vichwa vyao viko wired vipi, mtu na akili zake timamu anadiriki kusema eti nadanganya!!
Yaani kwa kuwa yeye ajawahi kuona/tumia MP5 basi anafikiri Watanzania wengine hawajawahi, na hii ni tabia iliyo jengeka kwa baadhi ya Watanzania, wana tabia ya kubishi bishi tu wanabishana na watu ambao wala awawajui vizuri backgrounds zao, badala ya kujifunza kitu kutoka kwa Watu wenye exposure wao wanaishia kubeza beza watu.
Mwingine anakuja na hoja eti labda nazungumzia SAR as if alikuwepo!!! FYI nimetumia/piga SAR, G3, MP5, SMG, LMG silaha ambazo sijawahi kuzijaribu ni RPG na handgranade.
Wakitaka kukuarrest itabidi wakae mita 300 kwa usalama waokwa hiyo ukiwa na shabaha nzuri ndani ya dakika unaua watu 900....duh wazee wakisikia mtaani kwenu kuna mtu ana mtutu kama huo hawatimbi kijinga jinga
Mkuu kuna SMG 9mm nazo zipo tayari Tanzania zina uwezo kama huoUmetumia SMG au SRA wewe usitudanganyee
Mkuu umewahi kuua watu wangapi hadi leo??Mkuu ndiyo maana niliongezea neno "labda kama nilitumia/piga MP5 series nyingine" i.e ya zamani kidogo.
Kuna baadhi ya Watanzania sijui vichwa vyao viko wired vipi, mtu na akili zake timamu anadiriki kusema eti nadanganya!!
Yaani kwa kuwa yeye ajawahi kuona/tumia MP5 basi anafikiri Watanzania wengine hawajawahi, na hii ni tabia iliyo jengeka kwa baadhi ya Watanzania, wana tabia ya kubishi bishi tu wanabishana na watu ambao wala awawajui vizuri backgrounds zao, badala ya kujifunza kitu kutoka kwa Watu wenye exposure wao wanaishia kubeza beza watu.
Mwingine anakuja na hoja eti labda nazungumzia SAR as if alikuwepo!!! FYI nimetumia/piga SAR, G3, MP5, SMG, LMG silaha ambazo sijawahi kuzijaribu ni RPG na handgranade.
Twende taratibu kidogo maana kuna watu wazima humu pengine kukushinda weweMkuu ndiyo maana niliongezea neno "labda kama nilitumia/piga MP5 series nyingine" i.e ya zamani kidogo.
Kuna baadhi ya Watanzania sijui vichwa vyao viko wired vipi, mtu na akili zake timamu anadiriki kusema eti nadanganya!!
Yaani kwa kuwa yeye ajawahi kuona/tumia MP5 basi anafikiri Watanzania wengine hawajawahi, na hii ni tabia iliyo jengeka kwa baadhi ya Watanzania, wana tabia ya kubishi bishi tu wanabishana na watu ambao wala awawajui vizuri backgrounds zao, badala ya kujifunza kitu kutoka kwa Watu wenye exposure wao wanaishia kubeza beza watu.
Mwingine anakuja na hoja eti labda nazungumzia SAR as if alikuwepo!!! FYI nimetumia/piga SAR, G3, MP5, SMG, LMG silaha ambazo sijawahi kuzijaribu ni RPG na handgranade.
Kupasha habari/kutoa elimu ya viwandalengo lako ni nini mtoa mada?
Pre info huyu jamaa ni muhaya, according to his/her name, so usisumbuke nae, tunawajuaTwende taratibu kidogo maana kuna watu wazima humu pengine kukushinda wewe
Ulikuwa kikosi gani, intake gani, mkuu wako wa kikosi alikuwa na cheo gani na alikuwa anaitwa nani?
Op gani? Maana kwa vitu unavyovieleza hapa napata ukakasi labda uje uniambie ulikuwa MT baadae ukakimbia jeshi kidogo nitamuelewa.,,,,
Pia labda useme ulishaenda/kupelekwa kozi maalum nje ya nchi...
Kinyume na hapo unakaribia kutudanganya,,,uniwie radhi sana
Achana nao hao, mi mwenyewe nimeishaitumia, hiyo na uzi zinataka kufanana kitabia, sema hiyo ina mtetemo sana, kwa maana ukiitumia hiyo na ukiitumia uzi zinapishana kidogo kwenye [emoji457]Mkuu ndiyo maana niliongezea neno "labda kama nilitumia/piga MP5 series nyingine" i.e ya zamani kidogo.