Risasi 15 kwa sekunde 1, Bunduki hatari sana

Risasi 15 kwa sekunde 1, Bunduki hatari sana

Niliwahi kutumia/kupiga MP5 nikiwa National Service, risasi zinawekwa kwenye magazine sikuwahi kuona mkanda wa risasi unawekwa kwenye MP5 - sina uhakika kama sifa zinazo tolewa hapa zina ukweli wowote - nilipiga full burst lakini it didn't register to me kwamba ina uwezo wa kupiga risasi 15 per second!!

Unless kama kuna MP5 series nyingine hapo sawa, lakini ungesema labda bunduki aina ya UZZI ndiyo yenye uwezo kama huo hapo ninge kubaliana nawe.
Ulikua kambi gani ya jkt iliyokua na hiyo bunduki?,JkT wana G3,SAR na Ak 47,hebu kumbuka vizuri utakua umechanganya somewhere
 
Sijabishia elimu yako, nacho kikataa ni matumizi ya MP5 kwenye makambi ya JKT
Unaweza nambia silaha rasmi zinazotumika hapa nchini ktk vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, na kama kipo ni wakati gani inatumika,na kwanini,je kwa uzoefu wako hata hivi vyombo vyetu viendapo op. Yyt ni silaha gani rasmi huko waendako?
 
Wakuu naomba kujua kuhusu thompson machine uwezo wake ni mkubwa kiasi gani na inatengenezwa nchi gani?

Ikilinganishwa na ak 47 au mp5 ipi ni hatari?
 
Dah... Shabaha nzuri? Ulenge Shabaha mara 900 kwa dakika.... mara 15 kwa sekunde...hata malaika hawezi[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Malaika yupo huyo asiyeweza? Hata yule wa kuzima mitandao yote hawezi? Itakuwa na utani na maharage pondamali juma wewe sio bure.
 
Hizi silah zimeundwa Kwa ajiri ya binadam tu, inaelekea wabishi Sana
 
Wakitaka kukuarrest itabidi wakae mita 300 kwa usalama wao
Mimi naomba nipatiwe hio nizame mtaani kusaka mavumba maana kwa usawa huuu wa kusitisha ajira Naona njia rahisi ni kuipata hio kitu.
 
Niliwahi kutumia/kupiga MP5 nikiwa National Service, risasi zinawekwa kwenye magazine sikuwahi kuona mkanda wa risasi unawekwa kwenye MP5 - sina uhakika kama sifa zinazo tolewa hapa zina ukweli wowote - nilipiga full burst lakini it didn't register to me kwamba ina uwezo wa kupiga risasi 15 per second!!

Unless kama kuna MP5 series nyingine hapo sawa, lakini ungesema labda bunduki aina ya UZZI ndiyo yenye uwezo kama huo hapo ninge kubaliana nawe.
The MP5 is a 9mm sub machine gun. It's compactness, accuracy and reliability has made it a favorite of Special Operations units the world over for more than 3 decades.

The MP5 was, for a time, the weapon of choice for US Counter Terrorist units such as Delta Force and DEVGRU as well as Navy SEAL boarding teams.

Concerns over the stopping power of the 9mmx19mm round fired by the MP5 have, in recent times, led to the adoption of 5.56x45mm such as M4A1 and CQBR carbines in the CQB (Close Quarters Battle) role.

MP5s, of one flavor or another, are still used by US SOF units, particularly for personal protection and covert operations.

Various US Special and Tactics (SWAT) teams also use the MP5, as do some military tactical teams such as USMC Special Reaction Teams (SRT).


MP5A3 Specifications
weight: 6.8 lb
length: 27.6 inches (stock extended)
21.7 inches (Stock retracted)
barrel length: 8.9 inches
rate of fire : 800 rpm
muzzle velocity : 1,312 feet per second
caliber : 9mm x 19mm Parabellum
magazine : 15 / 30 round magazine / 100-round drum
 
Kama risasa 15 kwa sekunde,nimebaki najiuliza tuu hyo magazine yake inauwezo wa kubeba risasi ngapi ??
 
Back
Top Bottom